mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,188
- 6,011
kusimama wakati wa kufundishwa hio kawaida Sana Maana nilisomaga chuo kimoja nusu Semister nilikuwa nasimama Kutokana na idadi ya wanafunzi kuwa wengi
twende kwenye huyo nesi ni kweli Kwenye vyuo kunakuwaga na common diseas yamkini ndo maana mnapewa Dawa moja Kila mkienda ila hilo pia linaweza tokana na ukosefu wa dawa na vifaa vya upimaji