Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Nilikuwa napitia magazeti ya hapa nyumbani mtandaoni nilichokiona kwa mwandishi huyu ni cha kusikitisha kuandika habari bila kufanya utafiti ni aibu kwa Taifa na kwa waandishi na wahariri wote wa habari. Habari kamili ina kichwa cha habari PAT ROBERTSON: Seneta wa Replican aliyefanya biashara na Mobutu, Taylor unaweza kuisoma kupitia hapa http://www.mwanahalisi.co.tz/index.php?id=884
Paragraph ya kwanza inasema: NI seneta mpya wa chama cha Repulican katika jimbo la Massachusetts. Amepita katika migogoro na shutuma nyingi kutokana na kauli zake.
Paragraph ya tano inasema: Huyo ndiye Pat Robertson, seneta mpya wa Massachusetts kwa kofia ya Republican. Alichaguliwa wiki iliyopita baada ya kumshinda mgombea wa Democrats, Martha Coakley.Uchaguzi huo ulikuwa unafanyika kufuatia kifo cha seneta Edward Kennedy, mwaka jana.
Nijuavyo mimi japo si mwandishi ni kuwa Pat Robertson si seneta na seneta mpya wa Massachusetts ni Scott Brown : Soma hapa http://www.nowpublic.com/world/scott-brown-biography-who-massachusetts-new-senator-2560170.html
Sasa kwa uandishi wa namna hii kuanduka habari bila kufanya utafiti tutafika kweli? au ni kweli kauri ya Mh. Rais kuwa waandishi wengi ni makanjanja kumbe ni kweli si kutegemea kwa mwandishi na mhariri kukubali habari kama hii kuandikwa ili umma usome na kuelewa kuwa Pat Robertson ni seneta.Nasema sitaki na kama hatuwezi uandishi ni bora turudi shule. Inauma sana tena sana