Ni hatari kwa uandishi huu wa habari,ninaulaani na kama kuna mtu anaweza basi waambie

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Nilikuwa napitia magazeti ya hapa nyumbani mtandaoni nilichokiona kwa mwandishi huyu ni cha kusikitisha kuandika habari bila kufanya utafiti ni aibu kwa Taifa na kwa waandishi na wahariri wote wa habari. Habari kamili ina kichwa cha habari PAT ROBERTSON: Seneta wa Replican aliyefanya biashara na Mobutu, Taylor unaweza kuisoma kupitia hapa http://www.mwanahalisi.co.tz/index.php?id=884

Paragraph ya kwanza inasema: NI seneta mpya wa chama cha Repulican katika jimbo la Massachusetts. Amepita katika migogoro na shutuma nyingi kutokana na kauli zake.

Paragraph ya tano inasema: Huyo ndiye Pat Robertson, seneta mpya wa Massachusetts kwa kofia ya Republican. Alichaguliwa wiki iliyopita baada ya kumshinda mgombea wa Democrats, Martha Coakley.Uchaguzi huo ulikuwa unafanyika kufuatia kifo cha seneta Edward Kennedy, mwaka jana.

Nijuavyo mimi japo si mwandishi ni kuwa Pat Robertson si seneta na seneta mpya wa Massachusetts ni Scott Brown : Soma hapa http://www.nowpublic.com/world/scott-brown-biography-who-massachusetts-new-senator-2560170.html

Sasa kwa uandishi wa namna hii kuanduka habari bila kufanya utafiti tutafika kweli? au ni kweli kauri ya Mh. Rais kuwa waandishi wengi ni makanjanja kumbe ni kweli si kutegemea kwa mwandishi na mhariri kukubali habari kama hii kuandikwa ili umma usome na kuelewa kuwa Pat Robertson ni seneta.Nasema sitaki na kama hatuwezi uandishi ni bora turudi shule. Inauma sana tena sana
 
Slapdash Journalism, unaiambie kazi ya Jukwaa la wahariri kazi yake ni kutetea magazeti yanapofungiwa au MCT kazi yake ni kuintervene mambo kama yaliyotokea kwa Jerry Muro. Ndio maana wanasema journalism in Tanzania is the shoddiest profession.
 
To call this journalism is to insult journalists, this is not even tabloidism.

Hawa jamaa hawajui hata kutumia google, sitashangaa nikiambiwa hawajamaliza darasa la saba, na kama walimaliza walipoteza muda tu , maana hawajjifunza kitu.
 
Mkuu nijuavyo mimi nikuwa kabla habari haijaandikwa ama kutoka live kwenye luninga kuna hawa wahariri wa habari wanapitia na kuruhu hii iandikwe hii hapana sasa huyu mhariri aliyeruhusu hii habari kuandikwa hakuisoma kwanza au alitoa go ahead bila kuipitia?
 
Tatizo ni kwamba, principles za open society haziweki restrictions nyingi on who is qualified to be an editor, na ukianza ku impose conditions utaonekana kama unataka kubana freedom of speech.Kwa hiyo every Dick Tom or Harry not only end up being a "journalist" but some of these primary school dropouts with no personal initiative actually end up to be the so called "editors".

That's how you end up with this bs.
 
Nilishwahi kusema kwenye jukwaa flani hapa jamvini!

WE ARE SIMPLY NOT SERIOUS!

Na hasa kweye media ndio madudu matupu na haya ndo matokeo yake

si vi-REDIO VYETU; vi -TV VYETU; wachilia mbali vi-GAZETI vyetu ndo balaa!

Hebu ona hiyo article ilivyopotosha!
 
Hapo mkuu umenena kama ndio hivi hatutafika mbali kwa uandishi wa aina hii.
 
Me nshawaambia waandishi wengi ni Makanjanja tu ndo wale wale wanaripoti kuwa wananchi wameushangilia msafara wa Lowassa kumbe wameushambulia kwa mawe. Ndo wale wale hwasokuwa na data eti rais mstaafu wa awamu ya tatu TZ ni Mwinyi na eti wimbo wa taifa Tz ni unaanza na Tanzania Tanzania ..... nakupenda kwa moyo woteeeeeee...! Fanyeni uchunguzi!
 
Nilikuwa napitia magazeti ya hapa nyumbani mtandaoni nilichokiona kwa mwandishi huyu ni cha kusikitisha kuandika habari bila kufanya utafiti ni aibu kwa Taifa na kwa waandishi na wahariri wote wa habari. Habari kamili ina kichwa cha habari PAT ROBERTSON: Seneta wa Replican aliyefanya biashara na Mobutu, Taylor unaweza kuisoma kupitia hapa http://www.mwanahalisi.co.tz/index.php?id=884

Paragraph ya kwanza inasema: NI seneta mpya wa chama cha Repulican katika jimbo la Massachusetts. Amepita katika migogoro na shutuma nyingi kutokana na kauli zake.

Paragraph ya tano inasema: Huyo ndiye Pat Robertson, seneta mpya wa Massachusetts kwa kofia ya Republican. Alichaguliwa wiki iliyopita baada ya kumshinda mgombea wa Democrats, Martha Coakley.Uchaguzi huo ulikuwa unafanyika kufuatia kifo cha seneta Edward Kennedy, mwaka jana.

Nijuavyo mimi japo si mwandishi ni kuwa Pat Robertson si seneta na seneta mpya wa Massachusetts ni Scott Brown : Soma hapa http://www.nowpublic.com/world/scott-brown-biography-who-massachusetts-new-senator-2560170.html

Sasa kwa uandishi wa namna hii kuanduka habari bila kufanya utafiti tutafika kweli? au ni kweli kauri ya Mh. Rais kuwa waandishi wengi ni makanjanja kumbe ni kweli si kutegemea kwa mwandishi na mhariri kukubali habari kama hii kuandikwa ili umma usome na kuelewa kuwa Pat Robertson ni seneta.Nasema sitaki na kama hatuwezi uandishi ni bora turudi shule. Inauma sana tena sana
.
Pole, Mwanahalisi ni tabloid tuu yaani ni gazeti la udaku kama Uwazi na Ijumaa, tofauti Mwanahalisi anadeal na udaku wa siasa, hayo mengine ni udaku wa maisha ya watu.
 
Nilikuwa napitia magazeti ya hapa nyumbani mtandaoni nilichokiona kwa mwandishi huyu ni cha kusikitisha kuandika habari bila kufanya utafiti ni aibu kwa Taifa na kwa waandishi na wahariri wote wa habari. Habari kamili ina kichwa cha habari PAT ROBERTSON: Seneta wa Replican aliyefanya biashara na Mobutu, Taylor unaweza kuisoma kupitia hapa http://www.-----------.co.tz/index.php?id=884

Paragraph ya kwanza inasema: NI seneta mpya wa chama cha Repulican katika jimbo la Massachusetts. Amepita katika migogoro na shutuma nyingi kutokana na kauli zake.

Paragraph ya tano inasema: Huyo ndiye Pat Robertson, seneta mpya wa Massachusetts kwa kofia ya Republican. Alichaguliwa wiki iliyopita baada ya kumshinda mgombea wa Democrats, Martha Coakley.Uchaguzi huo ulikuwa unafanyika kufuatia kifo cha seneta Edward Kennedy, mwaka jana.

Nijuavyo mimi japo si mwandishi ni kuwa Pat Robertson si seneta na seneta mpya wa Massachusetts ni Scott Brown : Soma hapa http://www.nowpublic.com/world/scott-brown-biography-who-massachusetts-new-senator-2560170.html

Sasa kwa uandishi wa namna hii kuanduka habari bila kufanya utafiti tutafika kweli? au ni kweli kauri ya Mh. Rais kuwa waandishi wengi ni makanjanja kumbe ni kweli si kutegemea kwa mwandishi na mhariri kukubali habari kama hii kuandikwa ili umma usome na kuelewa kuwa Pat Robertson ni seneta.Nasema sitaki na kama hatuwezi uandishi ni bora turudi shule. Inauma sana tena sana

Nnauhakika ulimaanisha kauli, maana kauri ina maanisha kitu ambacho hakiendani na uliyoyaandika.

Umewahi kusikia kisa cha nyani?
 
Wengi wao wanadhani wasomji hawajui lolote kumbe hata cc tunafuatilia kwenye mitandao tunajiridhisha kuona kama hiki tunacholishwa ndo chenyewe?
 
Je ni hilo tu umeliona katika habari nzima?

Nimeona habari yote lakini nikaona ni vyema nikufundishe hilo ili siku nyingine uwe makini zaidi unapoandika. Ndiyo maana nikakuuliza "umewahi kusikia kisa cha nyani?", maana wewe hata "kauli" imekushinda kuandika sawa ukaandika "kauri" halafu unaandika "kulaani" waandishi wengine.

Sijuwi umeelewa hilo?

Ni sadaka yangu kwako.

Asiyefundwa na mama'e hufundwa na ulimwengu.
 
TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI TANZANIA NI JANGA LA TAIFA,,, NI MOJA YA TAALUMA AMBAYO inabidi iangaliwe kwa kina na wale manguli waliobobea kwenye hii taaluma ni wakati sasa wa kuliangalia hili,,, HABARI KWENYE VYOMBO VYETU ZINAANDIKWA TU BILA UCHUNGUZI WA KUELEWEKA,,,, WENGI WA WAANDISHI WA TANZANIA KINACHOWASUMBUA NI NJAA KIASI KWANGA WENGI WAMEGEUZWA CONDOM NA WANASIASA WA TANZANIA.. KIUKWELI TULIANGALIE HILI MAANA NI JANGA KUBWA.......
 
TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI TANZANIA NI JANGA LA TAIFA,,,  NI MOJA YA TAALUMA AMBAYO inabidi iangaliwe kwa kina na wale manguli waliobobea kwenye hii taaluma ni wakati sasa wa kuliangalia hili,,,  HABARI KWENYE VYOMBO VYETU ZINAANDIKWA TU BILA UCHUNGUZI WA KUELEWEKA,,,,  WENGI WA WAANDISHI WA TANZANIA KINACHOWASUMBUA NI NJAA KIASI KWANGA WENGI WAMEGEUZWA CONDOM NA WANASIASA WA TANZANIA.. KIUKWELI TULIANGALIE HILI MAANA NI JANGA KUBWA.......
 
To call this journalism is to insult journalists, this is not even tabloidism.

Hawa jamaa hawajui hata kutumia google, sitashangaa nikiambiwa hawajamaliza darasa la saba, na kama walimaliza walipoteza muda tu , maana hawajjifunza kitu.

Acha dharau za kitoto
 
Back
Top Bottom