Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 760
- 1,444
Kichwa chake kinafanana na cha magufuli sijui masukuma ya wapi haya
Sasa mkurugenziccm wa NECCCM Tumeccm anamwamrisha IGP kuumiza watanzania kwa mabomu? Nchi hii haitaisha vioja, hapo huyo mjinga mahera yupo NECCCM je? angekuwa ni waziri wa mambo ya ndani si angetangaza chadema wauawe wote? Katiba mpya inahitajika harakaWamshauri aache kutoa matamko ambayo hayaendani na majukumu yake ya msingi, anazidi kuleta mtafaruku. Suala la ulinzi na usalama 0ni la polisi na suala la kampeni ni la vyama vya siasa. Yeye ni msimamizi na mtunza maadili ya kampeni za uchaguzi na utaratibu wa kushughulikia changamoto za kimaadili upo wazi. Hahusiki na kampeni za vyama wala majukumu ya polisi. Iweje atoe kauli km hiyo?
Km anatekeleza maagizo, awe makini na ajitafakari sana na km hayo anayaongea kwa utashi wake, basi ajue huenda yakamgharimu baadae.
Ni bora akatambua kwamba, wadau wa uchaguzi huu wameuelewa msimamo wake na upande anaoupigia chapuo kinyume na maadili yake ya kazi. Kwa bahati mbaya sana, haya anayaongea kwenye press na yanakuwa recorded. Km lolote litatokea likihusishwa na kauli hizi, atakutana na wakati mgumu sana .
Dawa yake ni ICC The Hague pekeeKichwa chake kinafanana na cha magufuli sijui masukuma ya wapi haya
Tayari yupo kwenye list, dunia inaona, dunia imechoka gharama za kuhudumia wakimbizi sababu ya vibaraka wachacheMahera ashitakiwe ICC mapema iwezekanavyo maana asipodhibitiwa mapema atasababisha umwagaji damu mkubwa
Polisi hawana uwezo wa kuwapiga mabomu watz wote waulize Mbeya.Sasa mkurugenziccm wa NECCCM Tumeccm anamwamrisha IGP kuumiza watanzania kwa mabomu? Nchi hii haitaisha vioja, hapo huyo mjinga mahera yupo NECCCM je? angekuwa ni waziri wa mambo ya ndani si angetangaza chadema wauawe wote? Katiba mpya inahitajika haraka
Ndie atakaewasha fyuzi ya Moto this time.uzuri the Hague unasimama pekee yako kulingana na kosa lakoHuyo mkurugenziccm wa Tumeccm ni mvuta Bangi
Watu wameanza kuzoea mabomu angalia hapa yanapigwa watu hata hawakimbii.Heri kupigwa mabomu kuliko kuteswa tena miaka 5.Hofu Ni kwamba mzee wa visasi atamaliza watu this time
Watu wameanza kuzoea mabomu angalia hapa yanapigwa watu hata hawakimbii.
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.
Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.
Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.
Kwa hii Statement tu! Inatosha kumfikisha ICC. Na ya kutokea hayo aliyosema kesi ikifika kule ajiandae tu kuwa mfungwa!
Acha dharau zako....sura mbaya kama sokwe
Chapa kazi Mkurugenzi. Nchi haiwezi kwenda bila utaratibu. Uchaguzi hauwezi kufanyika bila utaratibu kufuatwa."Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.
Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.
Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.
Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.
Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.
Mkurugenzi wa tume siku hizi ana uwezo wa kuamrisha wananchi wapigwe mabomu?
Siku ya siku akili itamkaa sawa.Jiongeze,,,analishwa maneno na kutishwa na miamba iliyonyuma yake hivyo yeye hapo anachokifanya ni kutetea ugali wake tu
Sent using Jamii Forums mobile app