Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

Hawa watumishi waongezwe kwenye list ya watakiwao the Hague Kama watavuruga uchaguzi, gharama za kuhudumia wakimbizi wawapazo mabeberu ni kubwa Sana sababu ya watu wachache wasiotenda haki.
 
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.

Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.

Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.

Huyu ataupata mwisho anaoutafuta,waliokaribu nae wamshauri kusimamia jukumu lake kwa mujibu wa sheria maana yeye sio wa kwanza kuwa mkurugenzi wa NEC
 
Ukimtizamaga huyo mahega sura yake kama maiti,akisema hujisahau akaitetea CCM .anaanza vizuri sana tatizo Mwenyezi Mungu huwafichua wanafiki wanaojichanganya na imani,ndio unamkuta mahega anaaazirika bila ya kujijua.
 
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.

Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.

Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.

Huyu ataupata mwisho anaoutafuta,waliokaribu nae wamshauri kusimamia jukumu lake kwa mujibu wa sheria maana yeye sio wa kwanza kuwa mkurugenzi wa NEC,kwamba huyu jamaa hajui kwamba kwa aina ya taasisi anayoiongoza tena kwa kipindi hiki anaweza tibua amani na akaja kulipia kwa gharama kubwa.Maneneo gani anayoongea hayo kweli
 
Mahera ndie ameshika fyuzi ya amani yetu akiiilipua asidhani atabaki salama nae
 
Wamshauri aache kutoa matamko ambayo hayaendani na majukumu yake ya msingi, anazidi kuleta mtafaruku. Suala la ulinzi na usalama 0ni la polisi na suala la kampeni ni la vyama vya siasa. Yeye ni msimamizi na mtunza maadili ya kampeni za uchaguzi na utaratibu wa kushughulikia changamoto za kimaadili upo wazi. Hahusiki na kampeni za vyama wala majukumu ya polisi. Iweje atoe kauli km hiyo?

Km anatekeleza maagizo, awe makini na ajitafakari sana na km hayo anayaongea kwa utashi wake, basi ajue huenda yakamgharimu baadae.

Ni bora akatambua kwamba, wadau wa uchaguzi huu wameuelewa msimamo wake na upande anaoupigia chapuo kinyume na maadili yake ya kazi. Kwa bahati mbaya sana, haya anayaongea kwenye press na yanakuwa recorded. Km lolote litatokea likihusishwa na kauli hizi, atakutana na wakati mgumu sana .
 
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.

Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.

Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.

Kwa hiyo wanafurahia sio
 
Naona next time watapanda jukwaani ................!!
 
Ni dalili ya Panic!! hawakutegemea counter attack kali kama hii toka kwa watanzania..!!
 
Dr. Mahera piga kazi.
Huyo mahera siyo DR halisi atakuwa aliiba mitihani akafaulu na kumiliki vyeti kienyeji kwa njia haramu za kishetani pasipo Taaluma halisi kichwani, uwezo wake wa kufikiri ni Mdogo kuliko hata Le mutuz kubwa jinga na cyprian Musiba
 
Hawa watumishi waongezwe kwenye list ya watakiwao the Hague Kama watavuruga uchaguzi, gharama za kuhudumia wakimbizi wawapazo mabeberu ni kubwa Sana sababu ya watu wachache wasiotenda haki.
Mahera ashitakiwe ICC mapema iwezekanavyo maana asipodhibitiwa mapema atasababisha umwagaji damu mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom