Ni hatari kuwa na Chama tawala kisichokuwa na mwelekekeo wa rais ajaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni hatari kuwa na Chama tawala kisichokuwa na mwelekekeo wa rais ajaye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjomba wa taifa, Aug 16, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Fanya zoezi dogo sana upite katika mitaa michache ya maeneo yako au mazingira yako ya kazi na uwaulize baadhi ya watu, wanadhani CCM kama chama tawala kitasimamisha mgombea gani katika uchaguzi ujao wa Rais.

  Inajulikana kuwa Zoezi la uchaguzi bado halijafika na Rais aliyepo madarakani bado hajatangaza uchaguzi, lakini katika suala zima la uongozi lazima kuwe na succession plan.

  Kuwa na plan haimaanishi ndo maamuzi yamefanyika hapana, kama chama tawala kinatakiwa kuwa na watu wenye hadhi ya kugombea urais hata wasiopungua watano na zaidi, na kuanzia hapo ndo unafanyika utaratibu wa kuwachuja.

  Ni hatari iliyombele ya chama tawala kuwa na ombwe la uongozi wanaoweza kukamata nafasi ya urais.

  Hili linaashiria kuwa Serikali ya awamu ya 5 itaundwa toka chama/vyama vya upinzani, ama sivyo watanzania wanaweza kuwekewa Rais asie na uwezo wa kuongoza nchi, yaani yale yale ya Funika kombe mwanaharamu apite ili chama tawala kiendelee kubaki madarakani.
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,837
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Labda wanasubiri Membe atakapooteshwa kwenye Ndoto!! Ila Hii ni Hatari kwa Mustakabadhi wa Taifa!! Eeh Mungu tusaidie kutukwamua tulipokwama!!
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni hatari zaidi kwa chama kinachojiita tawala kutawala tena
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Mkuu umekurupuka. Siwapendi magamba lakini kwa hili umewaonea. Plan yao hata kama haipo wewe inakuhusu nini?
  Na kwa miaka 50 wametoa rais unataka kusema huwa wanakurupuka tu kama midume ya nyani?
  Ishu zingine uwe unazimaliza mwenyewe kichwani kwako usizilete humu
   
 5. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio kosa lako Rev. Mzito K. Kama hujui uendako kila njia itakufikisha.
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nynyiem siku hizi hawafiki shinyanga tangu walipopita kwa kura moja.Safari hii tunawawekea kijana anaitwa Rachel Mashishanga ndiye mrithi wa shelembi waziri wenu mwizi wa kura ataujua mji wa shinyanga
   
 7. D

  Dabudee Senior Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Chama TAWALA au chama TWAWALA?
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  Hama chama ulichopo njoo cdm ambako sisi tunaye rais wetu mtarajiwa dr.slaa
   
 9. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani mtaani kwangu hakuna hata mmoja atakayenijibu maana wanajua hawa jamaa mwisho wao ulishafika ila wahuni waliupotezea. Ila 2015, watakiona cha moto.
   
 10. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtaani kwangu hawaoni rais toka ccm 2015. Wanasema muda wa kupitia njia mbadala kupata rais haswa toka CDM.
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sera ya chama tawala - Hata wakiweka gogo litashinda - Kwa hivyo hawana haja ya kuumisha kichwa sasa.
   
 12. w

  wauwau JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 705
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo nilidhani ni hoja yao. Si yenu kwani nadhani hata nyie huko kwenu hawawajui ndio maana wenyewe sisikii wanawasemea. Hao wana mikakati yao nyie mnasema mitaani, wanawajua maana wanao wengi, maana kwao yeyote anashinnda, CUF tunamjua maana hakuna mwingine, CDM tunamtegemea huyo naye sukari yake ikirudi tumekwisha. Mnajadiri jirani kaibiwa wakati kwenu kishachukuliwa kila kitu. Watu wenye akili hawajadiri ya wenzao w na watu wao wanajadir yao na mauala, nyie mko wapi. Sasa hii mtaanza kunijadiri wakati hata hamniju. Mungu wasaide waja wako.
   
Loading...