Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Kwa jinsa CCM ilivyo zama, inavyoficha ukweli, inavyoendeshwa na matukio, ubinafsi na wizi wa viongozi wake ni wazi muda zi Mrefu haitakuwa na uwezo hata kidogo sana wakuweza kabiliana na changamoto za kimataifa.CCM hawakuweza hata jua kuhusu mabilioni yaliyofichwa Uswisi na hadi sasa wanamwomba mtu binafsi Zitto awasaidie na si wao ku deal na Taasisi za Kimataifa, hawakuwa wa kwanza dai change ya Radar, hawakuweza saidi TANESCO kujinasua ktk issue ya Richmond, na pia hawataweza fanya vyema suala la malawi ,Ni Wazi CCM watatufikisha mahali pabaya sana kabla ya kuanza tuimbia wimbo kuwa tumshafika hapa na hivyo hakuna haja y akulaumiana zaidi kukimbizana na tatizo.
Hadi sasa hatupo ktk hali njema sana kiutendani, kiuzalendo, na mikakati.Watanzania sasa hivi walipofikia hakuna tena uwezo wala nia ya watu kuhamasishana kama tulivyofanya ktk vita ya kagera.Kitu kinachotuweka katk hatari ya kuweza kabiliana na mashambulizi toka nchi kama 3 kwa pamoja.Na hili jambo jipaya sana kwani majirani zetu wanatutazama kwa hamu kubwa sana ,wanasubiri tuu nafasi ije ili watupigishe magoti.
Kwa mwenye uzalendo atakuw anaoan ahatarai tunayocheza nayo kwa mashaka yetu linapokuja suala la CCM.Hakuna tofauti na kumpatia Dakatari panga lenye kutu ili akafanyie upasuaji badala ya visu maalumu vya upasuaji.