Ni hatari kubaki na CCM baada ya 2015

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa jinsa CCM ilivyo zama, inavyoficha ukweli, inavyoendeshwa na matukio, ubinafsi na wizi wa viongozi wake ni wazi muda zi Mrefu haitakuwa na uwezo hata kidogo sana wakuweza kabiliana na changamoto za kimataifa.CCM hawakuweza hata jua kuhusu mabilioni yaliyofichwa Uswisi na hadi sasa wanamwomba mtu binafsi Zitto awasaidie na si wao ku deal na Taasisi za Kimataifa, hawakuwa wa kwanza dai change ya Radar, hawakuweza saidi TANESCO kujinasua ktk issue ya Richmond, na pia hawataweza fanya vyema suala la malawi ,Ni Wazi CCM watatufikisha mahali pabaya sana kabla ya kuanza tuimbia wimbo kuwa tumshafika hapa na hivyo hakuna haja y akulaumiana zaidi kukimbizana na tatizo.

Hadi sasa hatupo ktk hali njema sana kiutendani, kiuzalendo, na mikakati.Watanzania sasa hivi walipofikia hakuna tena uwezo wala nia ya watu kuhamasishana kama tulivyofanya ktk vita ya kagera.Kitu kinachotuweka katk hatari ya kuweza kabiliana na mashambulizi toka nchi kama 3 kwa pamoja.Na hili jambo jipaya sana kwani majirani zetu wanatutazama kwa hamu kubwa sana ,wanasubiri tuu nafasi ije ili watupigishe magoti.

Kwa mwenye uzalendo atakuw anaoan ahatarai tunayocheza nayo kwa mashaka yetu linapokuja suala la CCM.Hakuna tofauti na kumpatia Dakatari panga lenye kutu ili akafanyie upasuaji badala ya visu maalumu vya upasuaji.
 
?................Hadi sasa hatupo ktk hali njema sana kiutendani, kiuzalendo, na mikakati.Watanzania sasa hivi walipofikia hakuna tena uwezo wala nia ya watu kuhamasishana kama tulivyofanya ktk vita ya kagera.Kitu kinachotuweka katk hatari ya kuweza kabiliana na mashambulizi toka nchi kama 3 kwa pamoja.Na hili jambo jipaya sana kwani majirani zetu wanatutazama kwa hamu kubwa sana ,wanasubiri tuu nafasi ije ili watupigishe magoti.........

Mkuu,
Umejikita katika jambo ambalo ni nyeti katika nchi yoyote hasa linapokuja swala la usalama wa raia wake. Ni hatari tunapoanza kuleta habari ambazo zina mlengo wa itikadi na udaku katika maisha ya Watanzania wote. Madhara ya vita sina haja ya kuyasema kwa vile natumaini unayajua. Vita haijalishi kama wewe una itikadi na malengo yapi. Ndiyo maana katika nchi yeyote ya kidemokrasia, jeshi la nchi huwa halitumiwi katika mpira wa kisiasa, hata shughuli zake ni classified information.

Labda tu nikuulize, ni kigezo gani umetumia kujua kama Watanzania hatuna uwezo wala nia Kuilinda nchi yetu?. Unataka kutuambia na kutuaminisha kuwa JWTZ kuna mgomo baridi katika utendaji wa kazi ambayo Watanzania wamewatuma.

Kigezo gani umetumia kujua kama jeshi letu halina uwezo wa kulinda mipaka ya nchi na "nchi hizo" tatu ni kivipi umepima uwezo wake kivita kujua zina uwezo zaidi ya Tanzania na zinasubili tu hiyo siku ifike ziingie ndani ya mipaka ya nchi.

CCM inaweza ikawa imechoka kama upendavyo iwe lakini nchi haiwezi kuruhusu jeshi na wananchi wake kuchoka katika kulinda mipaka ya nchi.

Siyo kila jambo ni siasa kama wana siasa uchwara wengi wanavyopenda iwe.

Uzalendo katika nchi haujengwi kwa misingi ya itikadi za kisiasa bali unajengwa na wananchi walio na mapenzi na nchi yao bila kujali itikadi zao kisiasa.

Kwa hili tukubali kutokubaliana maana hii ndiyo demokrasia.
 
kwa kiasi kikubwa Jeshi linaweza dhoofishwa na serikali iliyopo, kama Sialha zililipuka na fununu zikaja kuwa serikali haikutoa hela ya kuteketeza silaha zilizokuwa ktk hali mbaya ni wazi kuna mengi yamepita.

What if maafisa wa jeshi km binadamua wengine wanahongwa ili wafunge mdomo pale vitendea kazi vinapopungua?
 
Hatuna Tume Huru ya uchaguzi

Vyombo vya dola vinaitumikia CCM.

Sasa wananchi wafanyeje kama si kusubiri kutawaliwa?

Demokrasia iko wapi kwa tume hii ya uchaguzi na TISS, JWTZ, Polisi na Mahakama?
 
kwa kiasi kikubwa Jeshi linaweza dhoofishwa na serikali iliyopo, kama Sialha zililipuka na fununu zikaja kuwa serikali haikutoa hela ya kuteketeza silaha zilizokuwa ktk hali mbaya ni wazi kuna mengi yamepita.

What if maafisa wa jeshi km binadamua wengine wanahongwa ili wafunge mdomo pale vitendea kazi vinapopungua?

Mkuu,
Sikatai katika dunia hii kila jambo linaweza kuwezekana lakini hatuweji kujenga hoja ya msingi kwa kutumia "WHAT IF" na "FUNUNU" kwa sababu kwa kufanya hivi hata majibu yetu yatakuwa hayana kigezo mbadala.

Katika nchi yeyote yenye demokrasia, jeshi haliwezekani likadhoofishwa na serikali katika kiwango hicho unachokisema. Na misuguano kati ya serikali na jeshi huwepo hasa katika budget ya jeshi lakini mara nyingi wanasiasa huwa makini na sensitive katika kushughulikia mambo ya kijeshi kwa vile ni idara nyeti sana nchini.

Tatizo letu kubwa nchini ni jinsi swala la rushwa tunavyoliweka mbele ya fikra zetu na kufikiri mara nyingi kuwa rushwa inawezekana sehemu yoyote na kwa kirahisi. Jaribu kuangalia picha kwa mapana. Mara nyingi ninaweza kukubaliana na wewe kuwa rushwa katika jeshi inakuwa katika kiwango cha kimataifa pale biashara ya siraha inapofanyika kati ya nchi na nchi (tendering). Na hii kwa mara nyingi inakuwa ni kuboresha jeshi na siyo kudidimiza.

Kwa vile mambo ya jeshi ni siri sana, inakuwa hata ni vigumu kupata solid answer katika hii. Lakini hii isitufanye kuwa na majibu yenye vichagizo vya habari za mitaani.
 
bahati mabya sana "WHAT IF" ni swali muhimu sana ktk ulinzi wa nchi, n amipango ya nchi, US walijiuliza whata if ndipo wakaja ni MISSILE SHIELDS ambayo leo hii kila mtu anaona umuhimu wake.Leo Urusi hawataki hata iona ktk nchi zinazoizunguka kwa vile wanajua inafanya kazi na itakuwa kikwazo km watatokea kuanzisha na US.Jeshi letu linihitaji maswali yenye "what if" ila ziwe whata if sahihi.

BY the way rushwa hata ya ndani ipi ndio maana kuan meremeta, na kilimo kwanza.Tukiishia hapa unapotaka ni kufanya taifa liwe mikononi mwa watu wenye vichwa sahihi ila wakiongoezeka wenye vichw ambvu kama CCM basi ni wazi taif alinaanguka.Mataifa mengine yameweka mifumo mizuri kiasi ch akufanya hakuna jeshi, wala mwanasiasa anayeweza pindua nchi.

This time hatuwezi fnaya mambo mengi sana , kwa logistic iliyopo in case kuna matatizo ktk front zaidi ya tatu.Achilia mbali support ya wananchi kwa serikali.Mbaya kuwa mobilize watu kipindi cha vita ni hatari kw avile hata wageni waliopo nchi nao wanaweza saidia nchi zao au hata maadui kuweza pima joto yetu.

CCM ilipofikia inavunja kabisa misingi ya taifa letu, huku wakijitahidi ficha ukweli hata kwa kuadhuru wanaofichua.Ni wazi kuwa CCM ina wabomoa nchi wengine kuliko wajenga nchi, na wanazidi wamaliza kabisa wajenga nchi.
 
Soon hata usalama wa wale wanaodhani kuwa watapigana kuzuia CCM isiporomokee bondeni watajikuta wanahitaji nusuru maisha yao ya kisiasa na uhai.
 
munishi kaiona kama panya, ila wengi wenye maoni wationa kila kitu kibaya.
 
Wanaodhani ccm imekwisha wao ndio waliokwisha ccm imara na 2015 nchi ni yetu
 
mbona ni reality zaidi ya dhana.CCM iliyokufa ni salama zaidi, kwa watanzania, na kuendelea kubki ni jaribio baya kama kutumia panga lenye kutu kufanya operation.
 
Waziri mkuu anaongelea majanga ya wahamiaji haramu ktk mbuga na mapori ya hifadhi, mauaji ya watu na menginey a wageni wa nchi jirani.Bila kuwaambia wananchi kuwa watafanya nini na wamefikia wapi.NI wazi kuwa CCM hawajui wafanyalo ktk ulinzi wa hii nchi.
 
Tuache ccm tuchague chama gani,chadema?chadema ni chama hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu,ukanda na ukabila ni sababu kuu inachokifanya chama hiki kikose sifa.Majibu mepesi kwa maswali magumu yamekuwa yakitolewa na viongozi wa chama,ni majibu ya kitoto kabisa huku hali halisi inafahamika.wachaga wanauchu wa kuchukua nchi kwa udi na uvumba kupitia migongo ya vilaza ambao ni chambo! Ulisikia lini maandamano yakafanyika kilimanjaro?je, hao akina lucy owenya,suzan lyimo na komu wana kitu gani cha kipee kuendelea kuwa wabunge wa viti maalum tangu 2005? Msitufanye watz wajinga,bora tubaki na mafisadi wanaokumbuka wananchi hata kidogo kuliko watu wanaoendekeza undugu,ukabila na ukanda.chadema wanaivuruga nchi na nina uhakika hata humu jf wengi wanatumiwa na chadema.ujinga huu wa kuona wengine mabwege hatuukubali na tuko tayari kwa lolote dhidi ya upumbavu huu wa chadema.jitengeni kama alivyosema nassari,mabwege wakubwa nyie mnaoharibu utaifa,najua kuwa wewe administrator wa jf una maslahi na chadema na utafuta mchango wangu,sasa jf ni ya nini?iwe kwa wanaoendekeza ukabila,undugu na ukanda tu! Nauliza alipofariki Regia mtema kutoka morogoro aliyemrithi alitoka wapi vile,jibu ni upuuzi mwingine,wa tz mpo,mmelala! Mie sina chama maana ni upuuzi tu
 
teh teh, fikra zako zimeharibiwa, sasa hivi ni one way, na receiption itakuwa numb sasa hivi.Hukusikia pale Kibaha vijana wa CCM walisema nini kuhusu kaskazini na mama zao na mama zao hwakuongea kitu?hukuona makanisa yakiungua na na kampeni nyingi ktknyumba za ibada , nakushauri tazama kila wiki magazeti mangapi yanaongelea kampeni ktk nyumba za ibad halafu uone wana CCM walivyo wengi ktk hizo business.
 
kwa matamshi kama ya akina Nape kwa mambo ya msingi ya nchi ni ishara nyingine kuwa CCM ni tatizo tena tatizo lisilotakiwa vumiliwa tena.Ni kundi la crooks.
 
Kinachonikosesha usingizi CCM ikibakia after 2015 ni ufisdadi - JK kapoiga danadana kwa miaka 10 na amelinda wezi kibao! yaani sas aje mwingine tena, tuseme EL ambaye hata kuzungumzia ufisadi majukwaani sijapata kumsikia!

Watanzania amkeni, CCM yatosha kwa kuifikisha nchi hapa!
 
ukiongelea ufisadi CCM ,J.K mwenyewe atakuambiwa " shii...bwana mkubwa El yupo ndani ya nyumba,tazama usimuudhi".makamba Junior atawakaripia usalama nani kamruhusu huyu aje hapa?
 
Hadi chenge nae ana ujasii wa kuja mbele ya jamii na kulazimisha mikataba mingine,huku akijua kuwa aliiingiza nchi kubwaya,na leo bia haya.Ma ccm wanampigia upatu.
 
Mkuu,
Umejikita katika jambo ambalo ni nyeti katika nchi yoyote hasa linapokuja swala la usalama wa raia wake. Ni hatari tunapoanza kuleta habari ambazo zina mlengo wa itikadi na udaku katika maisha ya Watanzania wote. Madhara ya vita sina haja ya kuyasema kwa vile natumaini unayajua. Vita haijalishi kama wewe una itikadi na malengo yapi. Ndiyo maana katika nchi yeyote ya kidemokrasia, jeshi la nchi huwa halitumiwi katika mpira wa kisiasa, hata shughuli zake ni classified information.

Labda tu nikuulize, ni kigezo gani umetumia kujua kama Watanzania hatuna uwezo wala nia Kuilinda nchi yetu?. Unataka kutuambia na kutuaminisha kuwa JWTZ kuna mgomo baridi katika utendaji wa kazi ambayo Watanzania wamewatuma.

Kigezo gani umetumia kujua kama jeshi letu halina uwezo wa kulinda mipaka ya nchi na "nchi hizo" tatu ni kivipi umepima uwezo wake kivita kujua zina uwezo zaidi ya Tanzania na zinasubili tu hiyo siku ifike ziingie ndani ya mipaka ya nchi.

CCM inaweza ikawa imechoka kama upendavyo iwe lakini nchi haiwezi kuruhusu jeshi na wananchi wake kuchoka katika kulinda mipaka ya nchi.

Siyo kila jambo ni siasa kama wana siasa uchwara wengi wanavyopenda iwe.

Uzalendo katika nchi haujengwi kwa misingi ya itikadi za kisiasa bali unajengwa na wananchi walio na mapenzi na nchi yao bila kujali itikadi zao kisiasa.

Kwa hili tukubali kutokubaliana maana hii ndiyo demokrasia.
Mkuu usiumize kichwa chako,
Hawa makamanda wana miakili mikubwa mno, hasa wakiishapiga viroba wao hujiona magenius na wengine wote wasio makamanda ni viraza
Ila ninahofia vijana wengi wata comit suicide baada ya 2015 kwani watashindwa ku face reality
 
Siyo zaidi ya wauza sembe na wamiliki wa Danguro. Hivi una mke, alafu unakuwa na mpango wa Kando? Mbona aukuwaambia wananchi kwamba umekuwa na ushirikiano wa kimapenzi na Flora Lyimo?
 
Back
Top Bottom