Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

Aisee nilitaka nisiseme kitu ila nilipo soma visa vya wenzangu nimegundua kuna ya kujifunza hapa kupitia wengine

Kwanza nimpe pole yule alie wekeza Dada yake na shemeji waka mzima aisee huo ni ukatili pia una moyo ningekuwa mimi ninge wachoma moto nili kisoma jana lakini hadi leo roho ina niuma kama nime fanyiwa mimi pole sana!

Pia ulie tapeliwa mzigo wa stationary pole yote ni mapito ina uma sana ila hatuna budi kupambana

Niseme kisa kuhusu mimi hapa nilikuwa nakaa kwa sister nikapata kazi kinyerezi kwa mtu nyumbani kwake nika sema acha niende nika piga kazi fresh kwa uaminifu wa hali ya juu kama kawaida yangu mama yangu ame nilea vema nika leleka na ana niamini kuliko sote alivyo tuzaa basi baada ya kupiga kazi kwa muda mama yangu kuna siku ali nipigia simu kuwa kuna pesa ame pata nifikirie biashara ya kufanya kama Mil 5 hivi, ili niweze kusaidia familia na kumsomesha mdogo wangu alikuwa kaanza form 5 Tabora (W) Kaliua

kwa haraka kwa sababu mimi ni dereva nika sema hapa ni nunue bajaji maana kwa gharama za uendeshaji sio kama gari

Siku zika fika Mother akanipa Mil 6.5 kuna rafiki yangu nika muagiza aka enda Bank aka pewa maana nilishindwa kutoka kwa sababu ya kazi nilio kuwa nafanya rafiki yangu aka niletea nika zihifadhi ila ndugu zangu wali kasirika sana,nika piga hesabu nikaona nyumbani hakuna umeme nika kata kama Milioni 1 nika enda kariakoo na rafiki yangu nika nunua vifaa vya umeme na fundi nika mlipa kazi ika isha ikabaki kulipia 321,000/= Tanesco umeme uwekwe nika sema nikisha anza kazi nita weka nika chukua tena laki 5 yule mdogo wangu alie kuwa ana soma Tabora alivyo sikia mama kanipa pesa aka anza kulalamika kuwa kule shule haifundishi ata feli uki zingatia kasoma shule ya kata O'level tuka mtafutia nafasi Minaki aka anza kusoma huu uhamisho pamoja na michango uli gharimu kama laki 5 hivi

Sasa hapa ilibidi niombe kuacha kazi kwa Boss wangu ili nika endeshe bajaji aka nikubalia ila aliniomba niongeze mwezi mmoja ili atafute kijana mwingine nika sema hapa ninunue bajaji mapema maana pesa za masikini hazikai ili bidi ile bajaji nimpe dereva aanze wakati nasubiria kuacha kazi nilipo acha kazi nika chukua bajaji nika i park kwa yule dada yangu jirani yake ni askari ili kuifanyia service maana haikuwa katika hali nzuri basi Tarehe 04/06/2017 Asubuhi naona simu ina ita yule jirani wa dada yangu ana nipigia simu Uncle njoo Bajaji ime ibiwa aisee nili iona dunia nime ibeba ghafla nika chukua boda faster nika fika kweli bajaji haikuwepo ime ibiwa kufuli la geti lime vunjwa basi tuka enda polisi kufungua kesi lakini hakuna kilichojiri mwisho wa siku nili shukuru mungu nika enda nika mueleza mama ali nielewa lkn kwa ndugu hawaku amini wanajua pesa nime tumia na rafiki zangu japo Doc's zote zilikuwepo hadi leo nikiona bajaji nazichukia sana sito kuja kumshauri mtu wa karibu yangu anunue bajaji au pikipiki lakini maisha yangu yame haribika hadi nilijuta kuacha kazi lakini napitia wakati mgumu sana hadi nime pata vidonda vya tumbo pia roho huwa huwa ina niuma nikienda nyumbani kuona nyumba haina umeme mama yangu bado ana lala gizani In all Mungu hakupi mtihani ambao huuwezi kupambana tuu!
Pole sana mkuu..
pole tena sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mwaka 2017 baada ya kumaliza chuo baba yang mdogo aliniunganisha mgodini nkawa napga kazi mshahara ulkuw mdogo kama Laki tatu lakin nilijibana sana ndani ya mwaka nilifikisha M 2.6 ili nifungue duka la dawa sikukaa sawa hata lengo langu halijatimiia mkataba ukasitishwa.
Tulikaa na bamdogo tukashauriana cha kufanya nikaona niende kwanza home huku nkfikiria cha kufanya, eee bwana eee sinikapanda gar mpak home. Ukwel mm nimelelewa na bibi na babu alafu familia mob kinoma huwez amin M 2.1 iliteketea kwa matumiz ya nyumbani na visa vya wazee mara babu atishie kukupa laana kisa hutoi hela na anasema mm ninapesa ila sitoi home na wakat natoa na matumizi nanunua kila mara na pia wakati huo wakati nafanya kazi nilikuwa nawatumia kila mwezi before mkataba haujaisha.
Sikukata tamaa baada ya hayo kutokea nkasema nkampgia sim mamdogo wangu akanitumia kama laki 3.5 nkafungua biashara ya kuuza chipsi, kiukweli niliipenda kazi yangu naondoka asubuh narud usiku, nakumbuka babu yangu ananiambia maneno ya ajabu kuhusu hyo biashara duh! Eeee bwana ee haikuchukua round ilikufa nkawa sina hata 100 nkabak mweupeee.
Nashukuru baada ya miez kadhaa nkaajiliwa serikalini lakin kila mipango ninayo ipanga shetan anaingilia kati saiv ninaandika haya nipo home nilipatwa na ajar ya pikipiki hvyo ndio najipanga kurud kazin ni miez miwili nipo home

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza sema una gundu duniani

Na hii inavunja sana moyo wa utafutaji

Binafsi sitaki tena.malengo, sijui future, naishi kama kesho sipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nilitaka nisiseme kitu ila nilipo soma visa vya wenzangu nimegundua kuna ya kujifunza hapa kupitia wengine

Kwanza nimpe pole yule alie wekeza Dada yake na shemeji waka mzima aisee huo ni ukatili pia una moyo ningekuwa mimi ninge wachoma moto nili kisoma jana lakini hadi leo roho ina niuma kama nime fanyiwa mimi pole sana!

Pia ulie tapeliwa mzigo wa stationary pole yote ni mapito ina uma sana ila hatuna budi kupambana

Niseme kisa kuhusu mimi hapa nilikuwa nakaa kwa sister nikapata kazi kinyerezi kwa mtu nyumbani kwake nika sema acha niende nika piga kazi fresh kwa uaminifu wa hali ya juu kama kawaida yangu mama yangu ame nilea vema nika leleka na ana niamini kuliko sote alivyo tuzaa basi baada ya kupiga kazi kwa muda mama yangu kuna siku ali nipigia simu kuwa kuna pesa ame pata nifikirie biashara ya kufanya kama Mil 5 hivi, ili niweze kusaidia familia na kumsomesha mdogo wangu alikuwa kaanza form 5 Tabora (W) Kaliua

kwa haraka kwa sababu mimi ni dereva nika sema hapa ni nunue bajaji maana kwa gharama za uendeshaji sio kama gari

Siku zika fika Mother akanipa Mil 6.5 kuna rafiki yangu nika muagiza aka enda Bank aka pewa maana nilishindwa kutoka kwa sababu ya kazi nilio kuwa nafanya rafiki yangu aka niletea nika zihifadhi ila ndugu zangu wali kasirika sana,nika piga hesabu nikaona nyumbani hakuna umeme nika kata kama Milioni 1 nika enda kariakoo na rafiki yangu nika nunua vifaa vya umeme na fundi nika mlipa kazi ika isha ikabaki kulipia 321,000/= Tanesco umeme uwekwe nika sema nikisha anza kazi nita weka nika chukua tena laki 5 yule mdogo wangu alie kuwa ana soma Tabora alivyo sikia mama kanipa pesa aka anza kulalamika kuwa kule shule haifundishi ata feli uki zingatia kasoma shule ya kata O'level tuka mtafutia nafasi Minaki aka anza kusoma huu uhamisho pamoja na michango uli gharimu kama laki 5 hivi

Sasa hapa ilibidi niombe kuacha kazi kwa Boss wangu ili nika endeshe bajaji aka nikubalia ila aliniomba niongeze mwezi mmoja ili atafute kijana mwingine nika sema hapa ninunue bajaji mapema maana pesa za masikini hazikai ili bidi ile bajaji nimpe dereva aanze wakati nasubiria kuacha kazi nilipo acha kazi nika chukua bajaji nika i park kwa yule dada yangu jirani yake ni askari ili kuifanyia service maana haikuwa katika hali nzuri basi Tarehe 04/06/2017 Asubuhi naona simu ina ita yule jirani wa dada yangu ana nipigia simu Uncle njoo Bajaji ime ibiwa aisee nili iona dunia nime ibeba ghafla nika chukua boda faster nika fika kweli bajaji haikuwepo ime ibiwa kufuli la geti lime vunjwa basi tuka enda polisi kufungua kesi lakini hakuna kilichojiri mwisho wa siku nili shukuru mungu nika enda nika mueleza mama ali nielewa lkn kwa ndugu hawaku amini wanajua pesa nime tumia na rafiki zangu japo Doc's zote zilikuwepo hadi leo nikiona bajaji nazichukia sana sito kuja kumshauri mtu wa karibu yangu anunue bajaji au pikipiki lakini maisha yangu yame haribika hadi nilijuta kuacha kazi lakini napitia wakati mgumu sana hadi nime pata vidonda vya tumbo pia roho huwa huwa ina niuma nikienda nyumbani kuona nyumba haina umeme mama yangu bado ana lala gizani In all Mungu hakupi mtihani ambao huuwezi kupambana tuu!
Pole sana ndugu pamoja na wadau wote wanao pitia changa moto za kimaisha,yatupasa kushukuru Mungu kwa kila jambo,pia yatupasa kuwa makini sana hasa katika suala la kuamini watu ama ndugu wa karibu.
Binadamu ni wachache sana wenye uaminifu,wengi ni wabaya na wanatamaa na hawapendi maendeleo ya wengine,Tusikate tamaa tuendelee kupambana na ninaamini asilimia kubwa wadau wote waliomu humu ni wapambanaji hivyo tukaze buti na tusitizame changamoto kama vitu vya kutuzuia kusonga mbele ila ni vitu vitupavyo uelewa zaidi na kutambua undani wa watu wetu walio karibu jinsi walivyo.kama ni wema au wabaya katika hali zote.

Kingine ni mzazi pekee anaeweza kuona uchungu wa mtoto pale anapo anguka au kufeli katika jambo fulani,hawa dada,kaka,shangazi ,mjomba sijui rafiki,nk ni wachache sana wenye upendo wa dhati,ni kuwa nao makini sana.Walio wengi ni wabaya sana na hawapendi kuona fulani anasonga mbelel.
Kumbuka usidhulumu,kutapeli au kuiba mali au kitu cha mtu yeyote,hii dhambi huwa inadumu na huendelea kuzaa riba,utakuja kupoteza vingi zaidi tena wakati usio taraji na kupoteza baraka ya kufanikiwa kwa mambo yako.kumbuka wema ni akiba,tenda wema kadri unavyoweza,pia samehe kwa walio kukosea na sahau.

Jifunze kupoteza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi Katika harakati za maisha kuna pingamizi nyingi sana, Kuna muda unapambana sana kutafuta kile unachokihitaji, unabahatika unakipata lakini kinapotea na kubakiza kama ambaye hajafanya chochote,

Yaweza iwe kwa kuibiwa, kutapeliwa, kuzurumiwa, kupoteza, kuharibika n.k n.k

Kwa kweli hua inauma sana, tena sanaaa,
Sizungumzii kitu kikubwa, hapana nazungumzia kitu chochote ambacho ulikipambania kukipata lakini kikatoweka haraka/kirahisi.

Binafsi Wakati nipo chuo mwaka wa kwanza nilikua nahifadhi pesa yangu kwa kujibana sana, zaidi ya nusu ya hela yangu ya Boom(nilikua napata 100%) nilikua naitunza inisaidie nikisha maliza au popote nitakapo pata nafasi ya kuianzishia biashara,

Hela yangu yote ya kujikimu, field, special faculty na za vikazi kazi kipindi cha likizo nikawa nimefikisha 2.6M mpk namaliza,

Wazo kubwa nililokua nalo baada ya kumaliza ni kufungua stationary morogoro, kulikua na uhaba sana wa stationary, nikaona hii ni fursa, na bahati nzuri nikapata eneo zuri kbsaa.

Basi ile nimehitimu tuu sikutaka kukaa kbsa nyumbn, nilienda tuu kuwasalimia wazee nikawaomba kuondoka baada ya week moja nikatafte maisha,

Ki ukweli hawakukubali mwanzo, waliomba hata wakae na mimi kidogo maana kiukweli sijawahi kukaa nao kwa mda mrefu tangu nianze darasa la kwanza, ila baadae wakalazimika sababu ya kuwashawishi, sikuwaambia chochote kuhusu ile pesa na mpango mzima.

Nikiwa nimeandika mahitaji yangu yote, nikaenda mjini kwenye duka flani hivi pale mtaa wa uhuru, nikanunua kila kitu kihusianacho na stationary(niliuza simu yangu nikajazia na kwingne ile hela ikafika 3.0M) na baadhi ya accessories za simu nikafungasha mzigo wangu ile jioni nikaupeleka Kwenye haya malori ya Mizigo yanayoleta mizigo Dar na kurudi mikoani Usiku, mimi nikarudi zangu home.

Lengo mzigo usafiri ule usiku, kuna rafiki yangu aupokee asubuhi mimi niukute huko mchana,
ile ndio ikawa kwa heri 3.0M yangu.

Kiufupi mpk leo hii sijajua ule mzigo ulipotelea wapi, Dereva na konda wanadai waliufikisha kwa mpokeaji na akapokea, Mpokeaji(rafiki yangu) nikimuuliza anadai amesubiri ila hakupata mzigo,

Mpk dk za mwisho naongea na konda anasema mpokeaji huyu hapa ongea naye, nikaongea na Mshkaji kweli akasema anashushiwa mzigo, Baadae nampigia sasa yeye kwa simu yake akasema hajapokea mzigo wala hajaongea na mimi kupitia simu ile...

Hio ilikua asubuh niko pale ubungo na mimi ndio nataka nitoke,

Sitosahau ile siku....nilikaachini bila kujijuaa,
Maumivu yale sitokuja kuyasahau, nilikaa pale chini kama nusu saa hivi,

Mdada mmoja msafiri aliona ile hali yangu ndio akaja kunisaidia,

Yule dada Alichelewesha safari yake kwa kunisaidia kunivusha barabara na kuhakikisha mpk napanda daladala akaniomba namba, akamwambia konda huyu anashukia sehem flani ni mgeni hapajui, ndio akaondoka, sidhani kama ile siku ningepita salama pale mataa,

Network ilipotea kabisa, kufika kituoni ndio konda akanishtua "shuka dogo ndio hapa" pasipo kujua nimekulia hapo ila pamegeuka pageni kwangu, narudi nyumbani wanashangaa, kila wanachouliza nipo kimya, sio kama sitaki kujibu ila hata kinywa hakifunguki, macho yanaonesha kbsa nazuia machozi, walielewa ile hali, wakaniambia nenda kalale,

Nilianza kwa kuwaomba sana msamaha wazee, nikawaelezea kisa changu, nikawaonesha reseat za manunuzi na za kusafirishia mzigo, waliumia sana Mwishowe wakanipa support...

Hasara zipo nyingi, lakini je ni ipi ilikuumiza zaidi na kuona kama imekurudisha sana nyuma na ni ngumu kurudi kwenye Hali ya kawaida.

Sio lazima iwe pesa,
Yaweza kua ulipoteza mda kwa kitu flani, Nguvu, Matuaini/Mtarajio makubwa yakabuma n.k n.k
SHARE

Pole sana ndugu inauma sana

COVID-19
 
Mmmmh hivi kwanini ukitakaga kufanikiwa, ghafla mambo yanachange?

Ni kitu gani kinasukuma hiyo hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuwa kalibu na ulinzi,mali bila ulinzi ni bure,itaibiwa au kupotea au kuharibika tu yenyewe.ndo mana tunatakiwa tuishi kwa misingi mizuri,Hii dunia ina mengi ila tatizo letu ni wapuuzi mno na tunapenda kupuuza kila kitu na matokeo yake kuanguka kila mara.Wenye mali wengi ni washirikina na watoa kafala wazuri tu,hivyo mali zao zinakuwa chini ya uangalizi wa nguvu za giza.
Wewe kama unamtambua Mungu jenga mahusiano nae mazuri,mkabidhi mali zako,biashara kazi au ajira yako na tenda yote kwa mjibu wa maandiko matakatifu,iwe gari,nyumba au chochote kitambulishe kwa Mungu akijue na kiweke mikononi mwake.
Usiwe chukizo kwa Mungu.Ishi kitakatifu na utafutaji wako utabarikiwa sana.Ukishindwa hili kuwa mchawi tu,hata kwenye gari weka hilizi ya kupumua kabisa then your safe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye haya malori ya Mizigo yanayoleta mizigo Dar na kurudi mikoani Usiku, mimi nikarudi zangu home.
Lengo mzigo usafiri ule usiku, kuna rafiki yangu aupokee asubuhi mimi niukute huko mchana,
ile ndio ikawa kwa heri 3.0M yangu.
Kiufupi mpk leo hii sijajua ule mzigo ulipotelea wapi, Dereva na konda wanadai waliufikisha kwa mpokeaji na akapokea, Mpokeaji(rafiki yangu) nikimuuliza anadai amesubiri ila hakupata mzigo,
Mpk dk za mwisho naongea na konda anasema mpokeaji huyu hapa ongea naye, nikaongea na Mshkaji kweli akasema anashushiwa mzigo, Baadae nampigia sasa yeye kwa simu yake akasema hajapokea mzigo wala
Malori ya Mikoani uwe unaenda kwenye Ofisi zao, mbona wanatoa risiti?
hapo ungelala nao kwa kutumia POLISI
maana lazima wahesabu vibox vyako wakupe invoice ya box ngapi na jamaa wampelekee Delivery
Pole Wazazi wamekuelewa
 
Vitunguu Dakawa ilikuwa investment yangu ya kwanza na nikapigwa,sikupata hata cha mboga,
Matikiti Mkuranga,
Forex ya Ontario
kwenye Udalali huko nako nimepigwa sana tu,

Ila ninachoamini hakuna pesa Rahisi,
na ukipata pesa itumie vilivyo.

Duh had forex umefanya?? Unamoyo!!..hahaa pole....udalali unapigwaje?..yes kuna my friend uliwah msaidia kupata mjengo hum😍😍!
 
Marudio Marudio marudio, yamenifanya vibaya sana yaani vibaya kweli kweli, yaani adi leo hii sina hata sanLG, tena bado nina wenge kichwani, shauri ya hii kitu inayo itwa marudio, ndiyo maana wakoloni waingereza walipaita ‘making loss’ nyumba mbili zimepotelea makongolosi.......,
 
Baada ya mama kufariki tuliachiwa nyumba Mimi na kaka mwangalizi alikua mama mkubwa,kaka aliposimama kimaisha akaomba kupokea kijiti coz nyumba ilikua inaingiza pesa nzuri,mama mkubwa alipoona hivyo akawahi benki fasta akachkulia mkopo m5 afu akachuna no kurudisha marejesho,tunakuja kushtuka mpangaji anapiga simu barua ya kuuza nyumba imekuja deni ni 8.5,..nlikua na miezi 2 ndo nmeanza kazi ikabidi wote na bro tukope ye akatoa3 mi 2 afu zilizobaki tukawa tunalipa kila mwezi,maisha yangu yalikua magumu mwaka ule sitasahau
 
Aisee nilitaka nisiseme kitu ila nilipo soma visa vya wenzangu nimegundua kuna ya kujifunza hapa kupitia wengine

Kwanza nimpe pole yule alie wekeza Dada yake na shemeji waka mzima aisee huo ni ukatili pia una moyo ningekuwa mimi ninge wachoma moto nili kisoma jana lakini hadi leo roho ina niuma kama nime fanyiwa mimi pole sana!

Pia ulie tapeliwa mzigo wa stationary pole yote ni mapito ina uma sana ila hatuna budi kupambana

Niseme kisa kuhusu mimi hapa nilikuwa nakaa kwa sister nikapata kazi kinyerezi kwa mtu nyumbani kwake nika sema acha niende nika piga kazi fresh kwa uaminifu wa hali ya juu kama kawaida yangu mama yangu ame nilea vema nika leleka na ana niamini kuliko sote alivyo tuzaa basi baada ya kupiga kazi kwa muda mama yangu kuna siku ali nipigia simu kuwa kuna pesa ame pata nifikirie biashara ya kufanya kama Mil 5 hivi, ili niweze kusaidia familia na kumsomesha mdogo wangu alikuwa kaanza form 5 Tabora (W) Kaliua

kwa haraka kwa sababu mimi ni dereva nika sema hapa ni nunue bajaji maana kwa gharama za uendeshaji sio kama gari

Siku zika fika Mother akanipa Mil 6.5 kuna rafiki yangu nika muagiza aka enda Bank aka pewa maana nilishindwa kutoka kwa sababu ya kazi nilio kuwa nafanya rafiki yangu aka niletea nika zihifadhi ila ndugu zangu wali kasirika sana,nika piga hesabu nikaona nyumbani hakuna umeme nika kata kama Milioni 1 nika enda kariakoo na rafiki yangu nika nunua vifaa vya umeme na fundi nika mlipa kazi ika isha ikabaki kulipia 321,000/= Tanesco umeme uwekwe nika sema nikisha anza kazi nita weka nika chukua tena laki 5 yule mdogo wangu alie kuwa ana soma Tabora alivyo sikia mama kanipa pesa aka anza kulalamika kuwa kule shule haifundishi ata feli uki zingatia kasoma shule ya kata O'level tuka mtafutia nafasi Minaki aka anza kusoma huu uhamisho pamoja na michango uli gharimu kama laki 5 hivi

Sasa hapa ilibidi niombe kuacha kazi kwa Boss wangu ili nika endeshe bajaji aka nikubalia ila aliniomba niongeze mwezi mmoja ili atafute kijana mwingine nika sema hapa ninunue bajaji mapema maana pesa za masikini hazikai ili bidi ile bajaji nimpe dereva aanze wakati nasubiria kuacha kazi nilipo acha kazi nika chukua bajaji nika i park kwa yule dada yangu jirani yake ni askari ili kuifanyia service maana haikuwa katika hali nzuri basi Tarehe 04/06/2017 Asubuhi naona simu ina ita yule jirani wa dada yangu ana nipigia simu Uncle njoo Bajaji ime ibiwa aisee nili iona dunia nime ibeba ghafla nika chukua boda faster nika fika kweli bajaji haikuwepo ime ibiwa kufuli la geti lime vunjwa basi tuka enda polisi kufungua kesi lakini hakuna kilichojiri mwisho wa siku nili shukuru mungu nika enda nika mueleza mama ali nielewa lkn kwa ndugu hawaku amini wanajua pesa nime tumia na rafiki zangu japo Doc's zote zilikuwepo hadi leo nikiona bajaji nazichukia sana sito kuja kumshauri mtu wa karibu yangu anunue bajaji au pikipiki lakini maisha yangu yame haribika hadi nilijuta kuacha kazi lakini napitia wakati mgumu sana hadi nime pata vidonda vya tumbo pia roho huwa huwa ina niuma nikienda nyumbani kuona nyumba haina umeme mama yangu bado ana lala gizani In all Mungu hakupi mtihani ambao huuwezi kupambana tuu!
Very touching, pole sana mkuuu
 
Unaweza sema una gundu duniani

Na hii inavunja sana moyo wa utafutaji

Binafsi sitaki tena.malengo, sijui future, naishi kama kesho sipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha kabisa una weza jiona una mikosi yaani sikia kwa mtu tuu from hero to zero mtu una kuwa mzunguko laki mbili au tatu ni kitu cha kawaida lakini kuna muda una kosa hadi Tsh 100 na hujui kesho una ishije kikweli ina umiza sana hata ukienda kwa ndugu unaona mapokeo yao sio mazuri kama mwanzo ukiwa huna pesa una kutana na vingi sana una weza ukanywa sumu na kujiona huna Thamani

Ila tusikate tamaa tupambane tuu
 
Baada ya mama kufariki tuliachiwa nyumba Mimi na kaka mwangalizi alikua mama mkubwa,kaka aliposimama kimaisha akaomba kupokea kijiti coz nyumba ilikua inaingiza pesa nzuri,mama mkubwa alipoona hivyo akawahi benki fasta akachkulia mkopo m5 afu akachuna no kurudisha marejesho,tunakuja kushtuka mpangaji anapiga simu barua ya kuuza nyumba imekuja deni ni 8.5,..nlikua na miezi 2 ndo nmeanza kazi ikabidi wote na bro tukope ye akatoa3 mi 2 afu zilizobaki tukawa tunalipa kila mwezi,maisha yangu yalikua magumu mwaka ule sitasahau

pole aisee kuna watu wana roho mbaya kuliko shetani
 
Pole sana ndugu pamoja na wadau wote wanao pitia changa moto za kimaisha,yatupasa kushukuru Mungu kwa kila jambo,pia yatupasa kuwa makini sana hasa katika suala la kuamini watu ama ndugu wa karibu.
Binadamu ni wachache sana wenye uaminifu,wengi ni wabaya na wanatamaa na hawapendi maendeleo ya wengine,Tusikate tamaa tuendelee kupambana na ninaamini asilimia kubwa wadau wote waliomu humu ni wapambanaji hivyo tukaze buti na tusitizame changamoto kama vitu vya kutuzuia kusonga mbele ila ni vitu vitupavyo uelewa zaidi na kutambua undani wa watu wetu walio karibu jinsi walivyo.kama ni wema au wabaya katika hali zote.

Kingine ni mzazi pekee anaeweza kuona uchungu wa mtoto pale anapo anguka au kufeli katika jambo fulani,hawa dada,kaka,shangazi ,mjomba sijui rafiki,nk ni wachache sana wenye upendo wa dhati,ni kuwa nao makini sana.Walio wengi ni wabaya sana na hawapendi kuona fulani anasonga mbelel.
Kumbuka usidhulumu,kutapeli au kuiba mali au kitu cha mtu yeyote,hii dhambi huwa inadumu na huendelea kuzaa riba,utakuja kupoteza vingi zaidi tena wakati usio taraji na kupoteza baraka ya kufanikiwa kwa mambo yako.kumbuka wema ni akiba,tenda wema kadri unavyoweza,pia samehe kwa walio kukosea na sahau.

Jifunze kupoteza,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa tujifunze kuwa tendea mema wengine hata kama tume fanyiwa mabaya ila namshukuru sana Rafiki yangu hadi hii leo yeye ana ni support vema ukiacha mama yangu lakini huyu rafiki yangu ana moyo hadi nashangaa maana kuna kipindi ana nilipia hadi kodi ya room siwezi kumsahau maisha yangu yote hadi nashangaa kama kuna zuri kiasi gani nime mfanyia hadi ani thamini kiasi hiki ila nilicho jifunza ndugu wana tupenda tukiwa na pesa
 
Back
Top Bottom