Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

Sio sahihi kabisa yeye hakustaafu bali alijiuzuru kutokana na kashfa za kifisadi basi,kwa hiyo anatakiwa kuitwa wziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashifa za kifisadi,sasa wale wenzangu mie kwa makusudi wanaogopa kusema hivyo,ili tusahau mawaa yake na tumuweka sawa na mawaziri wakuu wengine waliostaafu,retired na resigned ni maneno tofauti bana
Kwahiyo sokoine anaitwa waziri mkuu aliyepata ajali ya gari na kufari morogoro yani ndio uwe utambulisho wake kila atakapotajwa
Ni sahihi
 
Sio sahihi kabisa yeye hakustaafu bali alijiuzuru kutokana na kashfa za kifisadi basi,kwa hiyo anatakiwa kuitwa wziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashifa za kifisadi,sasa wale wenzangu mie kwa makusudi wanaogopa kusema hivyo,ili tusahau mawaa yake na tumuweka sawa na mawaziri wakuu wengine waliostaafu,retired na resigned ni maneno tofauti bana
Ameanza kuitwa waziri mkuu mstaafu alivyohamia CDM? Sitaki kukutukana lakini wewe ni
 
huyu bwàna wakati ule anazunguka kuungwa mkono ndani ya chama alikua na V8 brand new milage inasoma 0 km kama vipi mwite mchunga ng'ombe mwenye fweza zake
Milage haiwezi kusoma zero,kwani baada ya kuunda gari linajaribiwa kuendeshwa sio chini ya kilometer 10, kuna wakati yanaendeshwa kutoka viwandani hadi bandarini kabla kupakiwa melini na kutoka bandarini hadi kwenye warehouse au showrooms.
 
Kahakama ipo jamani, tumpelekeni kila siku fisadi fisadi huyu anaogopwaje, ikiwa kila MTU anamsema tu hakuna mwenye uwezo wa kumshtaki na ss Sera yetu tunapambana na ufisadi,yaani mnaboa CCM umpelekeni fisadi Lowasa mahkamani , kama hamna uwezo achani kumchukia mtu, mnatuaminisha huyu mtu hana hatia mnamtumia kisiasa tu lakini ni uongo acheni hizo chuki binafsi ,hamui kama wenzenu CHADEMA walipogundua sio fisadi wamekaa kimya lakini nyinyi kelele kila siku ,kwanini hamchukui hatua kaeni kimya basi muacheni na maisha yake, mnatuaminisha nyinyi ndio mafisadi mnajificha kupitia mgongo wa Lowasa, nyambaf pelekeni mahakamani zimejengwa kwakazi hiyo tu msitubanie pua hapa,ilikua tunawaamini lakini tushajua uongo wenu sasa nini chuki zenu tu kwako
 
Kama kuna Jambo ambalo watanzania wanajidhihirisha kwa unafiki wao ni issue ya mheshimiwa Edward Lowassa, mkuu huyu alijiuzuru kwa Kashifa ya Richmond, baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka miwili chini ya utawala wa awamu ya nne ya Jakaya kikwete, bunge la Spika Samweli Sita, marehemu kwa sasa lilimtia hatiani na kumwambia ajipime.
Sasa kila atajwapo, eti ni mstaafu, Kivip?, wakati alijiuzuru?
Tuache kukidanganya kizazi kijacho, ukora wake ndo ulisababisha ateme ngese.
Wastaafu wanajulikana wote, kuanzia marais, mawaziri wakuu, nafasi zingine za kiserikali na na za kichama.
Nashauri apewe jina lake stahiri na si kupotosha umma na kizazi kijacho
 
Huyo si mstaafu kama wengine,
Ni Waziri mkuu aliyeshinikizwa kuachia madaraka kwa sababu ya kashfa.
Ukweli bila kubebana alistahili kufungwa tu.
 
Katuibia, kibaka ni kibaka tu hata kama anatembelea STK,
Mwanafunzi akifukuzwa shule huwa hatumuiti muhitimu, hivo mwizi lowasa kafukuzwa
 
Back
Top Bottom