Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

Aliyejiuzulu kuilinda serikali ya CCM isianguke, baada ya mkuu wa kaya kulazimisha dili.
 
Dogo siasa umeanza kufatilia leo?mada hii tulishaijadili sanaaaaa it's enough of it..letw habari mpya.
 
Mwaka huu mutatafuta majina yote, ila ndio mwisho wa twiga kupakiwa kwenye ndege,ndio mwisho wa meno ya tembo kun'golewa, ndio mwisho wa ESCROW, ndio mwisho wa viungo vya albino kufanywa biashara, ndio mwisho wa mama zetu kujifungulia sakafuni, ndio mwisho Tanzamia kugeuzwa soko la bidhaa mbovu na mwisho kabisa ndio wakati wa Mtanzania kunufaika na kodi yake, rasilimali za Nchi na watoto wetu kupata mikopo ya elimu bila vikwazo vyovyote vile.
 
Aliyehiuzuru maana yeke nini........hawa raia wa kigeni wanatujazia wingi tu hapa.
 
Hili swali limekuwa likinitatiza siku nyingi, lakini nadhani sijui neno "kustaafu" maana yake ni nini. Hivi ni kweli pamoja na kashfa zote alizofanya na anazoendelea kufanya mpaka akalazimika kujiuzulu tunapashwa kumwita EL kwamba ni PM Mstaafu?

Nilidhani atafutiwe sifa nyingine, siyo hiyo. Je, tukimwita mstaafu, tutatumia sifa gani kwa Marehemu Baba wa Taifa, Mzee Mwinyi, Marehemu Kawawa, Warioba, Sumaye nk.

Naomba michango yenu ya mawazo ili hatimaye tupate sifa inayoendana na na ufisadi wake.

Nawakilisha.

Umekumbuka papuchi sorry, shuka wakati kumepambazuka! ulikuwa wapi muda wote kumwuliza rais wa nchi swali hilo?
 
Hili swali limekuwa likinitatiza siku nyingi, lakini nadhani sijui neno "kustaafu" maana yake ni nini. Hivi ni kweli pamoja na kashfa zote alizofanya na anazoendelea kufanya mpaka akalazimika kujiuzulu tunapashwa kumwita EL kwamba ni PM Mstaafu?

Nilidhani atafutiwe sifa nyingine, siyo hiyo. Je, tukimwita mstaafu, tutatumia sifa gani kwa Marehemu Baba wa Taifa, Mzee Mwinyi, Marehemu Kawawa, Warioba, Sumaye nk.

Naomba michango yenu ya mawazo ili hatimaye tupate sifa inayoendana na na ufisadi wake.

Nawakilisha.

Mi naipenda nukuu ya mh lema(mb) alisema Lowasa ni waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond. Nadhani hii ya mh lema imekaa vizuri sana
 
Nimekuwa nakutana na mijadala kuhusu jina sahihi linalomfaa Mh Lowassa.

Kuna wanaosema aitwe waziri mkuu mstaafu lkn inaonekana hajastaafu kwani alijiuzulu kwa lazima sawa kabisa na kufukuzwa.

Kuna wanaosema aitwe waziri mkuu wa zamani lkn wapo wanaohoji kuwa waziri mkuu wa zamani sio sahihi kwa sababu alionyeshi ni zamani kiasi gani.

Lipi jina linalomfaa?
 
Sababu amehamia Chadema ni sahihi, ila angebaki CCM, tusingemtambulisha kama Waziri mkuu Mstahafu..
 
Nimekuwa nakutana na mijadala kuhusu jina sahihi linalomfaa Mh Lowassa.

Kuna wanaosema aitwe waziri mkuu mstaafu lkn inaonekana hajastaafu kwani alijiuzulu kwa lazima sawa kabisa na kufukuzwa.

Kuna wanaosema aitwe waziri mkuu wa zamani lkn wapo wanaohoji kuwa waziri mkuu wa zamani sio sahihi kwa sababu alionyeshi ni zamani kiasi gani.

Lipi jina linalomfaa?
rais ajaye
 
Back
Top Bottom