Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

Hi jamii forum members!
Sory jaman naomben mnisaidie utata huu nlionao ktk kichwa juu ya uhalali wa Edward lowasa kuitwa waziri mkuu mstaafu wa tz na km ni halali ni kwa vigezo vp?km sio ni kwa vigezo vp?pia katiba yetu ya nchi inasemaje juu ya hilo?
THANK YOU ALL IN ADVANCE!
Ni makosa.........
 
ni halali. Suala ni kwamba ameshawahi kushika wadhifa wa waziri mkuu period. Kwamba ameuachaje huo wadhifa katiba haikatazi kutomuita waziri mkuu mstaaa3u
 
Certainly, Ni halali kuitwa waziri mkuu mstaafu na kupewa haki zote kwa mujibu wa katiba ya tanzania!
YES, absolutely relevant! thanks
 
ni halali. Suala ni kwamba ameshawahi kushika wadhifa wa waziri mkuu period. Kwamba ameuachaje huo wadhifa katiba haikatazi kutomuita waziri mkuu mstaaa3u

You must be nut, Lowasa hawezi kuitwa waziri mkuu mstaafu, alijizulu tena kwa kashfa mbaya sana, tumwite mstaafu kwa kuwa katoka Arusha nini? Watz vipi siku hizi mna wehu nini? acheni ushabiki, let be realistic. Yule jamaa nchi nyingine ni muharifu mkubwa sana. Mimi huwa nashangaa sana kuona wanamwita mstaafu, so cjui wanamwita hivo kwa kutumia vigezo vipi
 
Habari zenu wanajamvi!
Mimi hii title ya lowasa inanitatiza sana. Utakuta watu wanamuita waziri mkuu mstaafu wakati it is white and clear kuwa alikuwa PM na baadaye alijiuzulu kwa kashfa na aibu juu. Naombeni mniambie maana ya kustaafu.
Thanks
 
hi waziri aliyejiuzulu, na angechelewa kidogo angekuwa waziri yaliyeachishwa kazi. ili awe waziri mstaafu, ilibidi akae na JK vipindi vyote viwili mpaka 2015 au atleast angemaliza 2010.
 
Hastahili kuitwa mstaafu kutokana na tafsiri ya kustaafu!coz hakumaliza japo muda wake wa miaka 5...
 
Habari zenu wanajamvi!
Mimi hii title ya lowasa inanitatiza sana. Utakuta watu wanamuita waziri mkuu mstaafu wakati it is white and clear kuwa alikuwa PM na baadaye alijiuzulu kwa kashfa na aibu juu. Naombeni mniambie maana ya kustaafu.
Thanks

Lowasa hakustaafu bali alilazimishwa kujiuzuru. Hivyo basi yeye ni waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzuru.
 
Alistaafu kwa kashfa ya Richmond lol!!!!!!! Hivi Msabaha yuko wapi sijamsikia siku nyingi sana
 
Waziri Mkuu wa kwanza Tanzania kufukuzwa kazi kwa UBADHIRIFU MKUBWA kwa taifa lake. Hili lipo ndani ya kumbukumbu na wala wajukuu zetu wasije wakadanganywa juu ya hilo.
 
Ehe! akiwa mstaafu, mjiuzulu, mfukuzwa kazi nyie hoja yenu hapa ni hipi, LIPI kati ya hayo mnaweza kuzuia?? mtamwita aliyejiuzulu, vyombo vya CCM watamwita mstaafu, then so what?? why stressing yourself in the things that you can only stop by being in POWER?????
 
Ni makosa tu yetu kushindwa kutofautisha. Kuyu bwana wala si mstaafu amejiuzulu kwa manufaa ya taifa!
 
Kuweka sawa ni waziri aliyejiuzulu kutokana na kashfa au kukaribia kufukuzwa kama ingelithibitika amehusika kwenye kashfa ya Richmond!!!
 
Habari zenu wanajamvi!
Mimi hii title ya lowasa inanitatiza sana. Utakuta watu wanamuita waziri mkuu mstaafu wakati it is white and clear kuwa alikuwa PM na baadaye alijiuzulu kwa kashfa na aibu juu. Naombeni mniambie maana ya kustaafu.
Thanks

vyombo vya habari vinavyopenda kuramba miguu ya mafisadi = waziri mkuu mstaafu

vyombo vya habari huru = Mheshimiwa(kwa sababu ya Ubunge) Edward Lowassa

mimi namuita desh-desh-desh
 
Back
Top Bottom