Ni halali kumpiga mke/mume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni halali kumpiga mke/mume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ugali, Aug 16, 2011.

 1. u

  ugali Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kuna wanawake/wanaume wakorofi. Je ni haki kuwapiga?
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Kila jambo lina malipo yake.
  Akitenda mema mshukuru,
  Akitenda mabaya mkanye,
  Akirudia kosa ulilowahi kumkanya, mpe onyo la mwisho,
  Akirudia tena ....... walokole husamehe na kufunga kwa maombi kumwombea.
  Watu wa dunia hutoa adhabu. Kuna kumtimua au kumdunda tena sana!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama hasikii ni halali unamchangamsha kidogo.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio halali hata kidogo.
   
 5. B

  Bucad Senior Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikibidi,ila kwa mwanamke kwa mwanaume ni aibu sana!
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Sio kumchangamsha - ni kumdunda kisawasawa hadi ikibidi alazwe ndo itamuuma. Ukimchemsha kidogo unamkomaza kwenye tabia mbaya aliyo nayo.
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wakuriya bana! Utawajua tu
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  mhhh! mapenzi ya sikuhizi si ya kupigana.. mambo hayo yamepitw na wakati....
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hizi ndoa hizi
   
 10. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Pote pote sawa - Mwanamume mkorofi kwa mkewe - kama mke ana ubavu ni halali kumdunda.
  Imagine mwanamume anayelala nje ya nyumba yake na viruka njia kila week-end, alafu mkewe anaamka asubuhi kuwagongea marafiki wa mume kuuliza aliko - kwa nini asitandikwe kama uwezekano upo? Vivyo hivyo mke wa mtu then anamegwa kinoma kwa nini mumewe asimdunde? (Hiyo ni baadhi ya mifano tu)
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hivi maisha ni makorofi namna hiyo au sisi ndio wakorofi?
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mambo ya wanandoa kupigana ni mambo ya kizamani sana ila kunawa2 ni vichwa ngumu hawasikii kwa mf. kuna mwanadada kaolewa na anamtoto mumewe ni dreva mume anapoondoka tu na yy kiguu na njiaa,kitanda hatandiki,vyombo hakoshi ikifka jionii ndo anarudi,mume akija anakuta nyumba chafu km handaki chakula hakuna akimuuliza mke kulikoni mke anakuja juu mme kakanya mpaka kamuitia wazaz, mkewe anajirekebisha siku mbili tatu mchezo unarudi palepale, ss kweli hapa ht kipigo kikitembea atakua kaonewa mtu hapa??
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwetu ukurian ni halali,ila huku kwenu mjini sio hata kidogo....kwa hiyo inategemea na sehemu
   
 14. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa mwanamke ruksa kumpiga lakini kutumia kanga yake au mto wa kulalia (ukorofi ukizidi)
  Kwa mwanamme wa kiafrika kupigwa na mke ni balaa. Adhabu anayoweza kutoa mwanamke ni kununa tu.
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Watoto wenyewe hawapigwi these days wewe unauliza kumpiga mke?? What for? Kumfundisha wakati keshakomaa? Au kumuonea na unadhani ni njia ya kumaliza hasira zako? Kama una hasira pigana na ukuta si mkeo.
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwanamke akileta za kuleta lazima achezee nakozi
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,208
  Likes Received: 3,773
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mungu tangu nimjue kiumbe aitwae mwanamke sijawahi kumsonya wala kumchukia achilia mbali kumpiga!
  Fimbo yake kuu ni mpini tu yani hulia chozi la kutosha lenye radha ya huba!!
   
 18. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  mara nyingi mtu akikosa busara na akili hutumia nguvu
   
 19. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Dawa ya mwanamke mpuuz ni kipigo,nishawah kumpa kichapo my wife hd nikahc nimemuua,nikatoroka,afta 3 days nikarudi home nikamkuta ananisubria kwa hamu,maisha yetu yakaendelea na ndo akazidisha pendo lake kwangu mara mbili zaidi!
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,208
  Likes Received: 3,773
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mungu tangu nimjue kiumbe aitwae mwanamke sijawahi kumsonya wala kumchukia achilia mbali kumpiga!
  Fimbo yake kuu ni mpini tu yani hulia chozi la kutosha lenye radha ya huba!!
   
Loading...