Ni halali Jakaya Kikwete kuitwa Al-Hajj.?

hija huwezi enda kama ni mchafu
kwenda hija ni kunuia kufuata nguzo kuu za kiislam
mojawapo ikiwa ni swala tano daily
matendo ya huruma kwa jamii hasa wasiojiweza
kusaidia kukuza dini ka kuchangia madraaaluute etc etc etc
KWA HIZI CHACHE NAAAAAAAAAMINI KABISA HAFAI KWA CHEO HICHO!
 
Haleluya.
 
mzee farijara hussein kada maarufu wa chama cha mapinduzi, siku ya ijumaa katika kipindi cha jambo tanzania, kinachorushwa hewani na tbc1, alimtamka dk. Jakaya mrisho kikwete ni al-hajji.
Tena kwa kumsisitizia kabisa malin hassan, "al-hajji jakaya kikwete". Nachouliza hapa nataka nijue kama mheshimiwa rais ana hadhi.

Nachojua mimi ili uitwe al-hajji, ni lazima uende safari ya kudhuru miji mitakatifu ya makka na madina, ndipo upatwe kuitwa al-hajji. Au katika hizi safari zake 315, kuna moja ambayo alikwenda hijja bila wengine kufahamu....?

hata angejiita mbuzi au nguruwe ni sawa tu. Haitukondeshi sisi wachakarikaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom