Ni halali Jakaya Kikwete kuitwa Al-Hajj.?

Kwani kuna ukakasi gani JK kuitwa al-hajj kama kweli ameshahiji!! au kuna ugiligili mwingine unawatukunya mbongo zilizokwisha kuwa sychronised na itikadi na mrengo wa kushoto kiasi cha kuwafanya wafikiri kwa kutumia viungo vingine tofauti na vichwa vyao!
Ni afadhali ukae kimya bila kuchangia kitu hapa, maana hakuna adhabu yoyote kwa asiyechangia topic, kuliko kutumia makalio kufikiri na kuandika huu uharo wako. JK ni lini alikwenda Hijja?
 
It won't make any difference...let them call him whatever names that pleases them...Prof, DR Sheikh, Alhaji, ustaadhi, maalim mtukufu, mheshimiwa... etc
 
Mzee Farijara Hussein kada maarufu wa chama cha mapinduzi, siku ya ijumaa katika kipindi cha jambo Tanzania, kinachorushwa hewani na TBC1, alimtamka Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ni al-hajji.
Tena kwa kumsisitizia kabisa Malin Hassan, "al-hajji Jakaya Kikwete". Nachouliza hapa nataka nijue kama mheshimiwa rais ana hadhi.

Nachojua mimi ili uitwe al-hajji, ni lazima uende safari ya kudhuru miji mitakatifu ya MAKKA na MADINA, ndipo upatwe kuitwa al-hajji. au katika hizi safari zake 315, kuna moja ambayo alikwenda HIJJA bila wengine kufahamu....?
Hiyo ni honorary title!
 
no research no right to speak muacheni mh afanye kazi yake

Hauwezi kutufunga mdomo, isitoshe hawa wazee wanapenda kutoa sifa za kijinga, kwa mfano wale viongozi wa dini waliosema KIKWETE chaguo la mungu, Jamani tusimchezee mungu.
Uongozi unaotoka kwa mungu ndio huu..? labda kama fikra zetu waziweke luku.
 
Rais ALhaj jakaya mrisho kikwete huu ndio usahihi alikwenda alipokuwa waziri mambo ya nje. kama umasikini walaumuni baba zenu waliokimbia shule.
 
Ni afadhali ukae kimya bila kuchangia kitu hapa, maana hakuna adhabu yoyote kwa asiyechangia topic, kuliko kutumia makalio kufikiri na kuandika huu uharo wako. JK ni lini alikwenda Hijja?
Wewe Mshumaa, kila siku nakumbia JF, sio sehemu ya Porojo kama ujui kaa kimya sio mpaka kila thread uchangie!
Jk kaenda Hijja wakati Waziri, wakati huo wewe bado upo Kishimundu Njale
 
Sctatty!!! Ahahahahahahahahahahah,........bado nasubili tafsiri ya hilo neno bwana mdogo.
 
<font size="4"bSctatty!!! Ahahahahahahahahahahah,........bado nasubili tafsiri ya hilo neno bwana mdogo.//font
Tafsiri yake ni Masaburi ya Matola!
Teh teh teh teh!! Nimepatia
 
He likes title za kila aina. Nowadays humsikii kwenye tukio lolote la maana zaidi ya kufuturisha. Hivi huyu raisi wetu vipi?? serikali haina dini hata akiitwa alihaji haimpunguzii kuchukiwa na watz.

Mkuu mbona unaonekana una chuki katika hili la kufutarisha! kufutarisha watu, ususani kwa watu wasiojiweza ina maana kubwa sana katika Imani ya kiislam katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani karim, au Mkuu umemind wale madogo yatima, kula karibu na Mkuu wa nchi Ikulu? Siku nyingine akiharika watu kufuturu na ww uende, kwanza utapata nafasi ya kuiona Ikulu ilivyo, pili, utakaa kwenye mkeka na Rais wa nchi na kula naye na kujumuika pamoja.
 
Al-Hajji Dokta Dokta Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete ....inapendeza!

Usimpunguzie titles zake.

Alhaji Dokta Luteni-Kanali Mstaafu Mkufunzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Majeshi na Mkulima wa mananasi, baba Ridhiwani na kidume cha mbegu. Mayor of Debonair and DaGama of this drama.
 
Umesahau vingine bana....mheshimiwa mbunge wa zamani wa Chalinze, naibu waziri, waziri kamili.
 
Mkuu mbona unaonekana una chuki katika hili la kufutarisha! kufutarisha watu, ususani kwa watu wasiojiweza ina maana kubwa sana katika Imani ya kiislam katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani karim, au Mkuu umemind wale madogo yatima, kula karibu na Mkuu wa nchi Ikulu? Siku nyingine akiharika watu kufuturu na ww uende, kwanza utapata nafasi ya kuiona Ikulu ilivyo, pili, utakaa kwenye mkeka na Rais wa nchi na kula naye na kujumuika pamoja.
Yaani kukaa na yule mswahili kwenye mkeka pale ikulu hiyo nayo ni sifa? hizi ni sifa za kijinga, hata afutulishe waislamu wote wa Tanzania hawezi kupunguziwa hata tone la dhambi kwa jinsi anavyotupa mateso wananchi na hali ngumu ya maisha.
 
Mkuu mbona unaonekana una chuki katika hili la kufutarisha! kufutarisha watu, ususani kwa watu wasiojiweza ina maana kubwa sana katika Imani ya kiislam katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani karim, au Mkuu umemind wale madogo yatima, kula karibu na Mkuu wa nchi Ikulu? Siku nyingine akiharika watu kufuturu na ww uende, kwanza utapata nafasi ya kuiona Ikulu ilivyo, pili, utakaa kwenye mkeka na Rais wa nchi na kula naye na kujumuika pamoja.

Kwa nini nifuturu kwani umesikia na mimi ni mkaa njaa wa kufata mkumbo? Wengi wanajishindisha njaa kwa gia yakufunga mwezi mtukufu huku roho zimejaa ufisadi na wizi eti uislamu na kucha kufuturusha watu kwa makundi WTF

Hata nishikiwe mtutu siwezi kula meza na huyu mtu.
 
majina mengine hayatolewii ki holela. subiri wenyewe wajue! wataandamana mji mzima. undugunaizesheni kwenye majina kamahayo hakuna kabisa.
 
kwenda kuhiji ni lazima uwe msafi, tena uende na pesa yako ya halali, na familia yako home ibaki na pesa ya halali. Tuwangoje vijana wake hapa jamvini watupe ya kwa babarichione.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom