Ni halali Jakaya Kikwete kuitwa Al-Hajj.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni halali Jakaya Kikwete kuitwa Al-Hajj.?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michael Scofield, Aug 15, 2011.

 1. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzee Farijara Hussein kada maarufu wa chama cha mapinduzi, siku ya ijumaa katika kipindi cha jambo Tanzania, kinachorushwa hewani na TBC1, alimtamka Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ni al-hajji.
  Tena kwa kumsisitizia kabisa Malin Hassan, "al-hajji Jakaya Kikwete". Nachouliza hapa nataka nijue kama mheshimiwa rais ana hadhi.

  Nachojua mimi ili uitwe al-hajji, ni lazima uende safari ya kudhuru miji mitakatifu ya MAKKA na MADINA, ndipo upatwe kuitwa al-hajji. au katika hizi safari zake 315, kuna moja ambayo alikwenda HIJJA bila wengine kufahamu....?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  si alienda kwa babu?
   
 3. Msikilizaji

  Msikilizaji JF Gold Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bado kidogo mtasikia anaitwa PASTOR maana ataitwa title zote
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe naye kapiga kikombe? Ndio maana kilikuwa na baraka za serkali.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  anaweza akawa titled the other way round, kwa kutembelea majiji matakatifu kwa starehe za kidunia kama washngton D.C, PARIS na kwingineko, hizo safari si mchezo, na ujue hzo 315 ni official ambazo wewena mimi tunazjua!!!! je ___???????/
   
 6. L

  Leornado JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  He likes title za kila aina. Nowadays humsikii kwenye tukio lolote la maana zaidi ya kufuturisha. Hivi huyu raisi wetu vipi?? serikali haina dini hata akiitwa alihaji haimpunguzii kuchukiwa na watz.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wamwite alhadji, dokta, professa, mwalimu, kepteni, meja, field marshall, kamanda, mheshimiwa, mtukufu, rais, mewnyekiti yoooooooooote hayamuongezei ubora wala ufanisi kwenye kazi yake

  kibaya zaidi hayaongezi hata lepe la heshima mbele ya watanzania wa mrengo wa kati
   
 8. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,wakubwa napita mimi mwenyewe nilimsikia jamaa wakati anajikomba kwa jamaa alimwagia sifa nyingi sana,naakasisitiza polisi waendelee kupiga watu virungu du nilibadilisha chanell kwa sababu malin hassan alikuwa akishabikia...........................
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nilipo RED imekupuruchuka. Usahihi ni huu

  Napenda kukufahamisha. Hijja ni ibada maalum na ipo kwa wakati maalum na pahala maalum ambapo ni Arafat katika mji wa Makka.
  Muumini wa kiislam anapohudhuria muda huo na wakati huo na pahala hapo kwa usahihi kabisa basi anapotoka anitwa hujjaji kwa mwanamme au hajjat kwa mwanamke.
  Si kila mtu akienda miji ya maka na madina siku yoyote ile anaitwa Hujaji. Kwani kuna safari kuu za Ziara, Umra na Hjja. Umra na Ziara hizo ni wakti wowote muislam akijisikia kutaka kutembelea ikiwa pamoja na kufanya ibada katika miji hiyo mitakatifu.
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  aitwe kwa sifa zote
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea utatueleza nini maana ya Al hajji.
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  Al-Hajji Dokta Dokta Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete ....inapendeza!
   
 13. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Al Hajj Ni neno la kiarabu likiwa na maana ya aliyekamilisha kufanya ibada ya Hijja.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni Al hajji?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,273
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  shehe ubwabwa kisha anza kujiita al hajj kweli kazi ipo
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hawezi kujibu hilo

  Kwani Kikwete ni Dokta?
   
 17. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi vizee vikikaribishwa ikulu kula futari, basi kila aina ya sifa vinatoa kwa unafiki wao.
  Na hawa TBC nawashangaa, siku ile ya ijumaa ilikuwa ni mara ya tatu ndani ya mwezi, kazee kale kualikwa pale studio kumpamba rais, anachoongea ni pumba tupu. sijui wamekosa watu wa kufanya nao mahojiano?
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu kakimbia , kila nikichungulia hapa najiona nipo peke yangu.
   
 19. K

  KUKUBOI Member

  #19
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wanaomwita alhaji ni woga na kujikomba kwake ili awaone nao wanamtukuza ili kibarua kisiote nyasi ni woga wa maisha tu JK hana sifa za kuitwa alhaji na anajukumu kubwa kwa Mungu maana uongozi ni kuwatendea mema na kusimamia haki na kukataza maovu yeye hajalifanya hata moja zaid kuzidisha matatizo kwa wananchi.
   
 20. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna ukakasi gani JK kuitwa al-hajj kama kweli ameshahiji!! au kuna ugiligili mwingine unawatukunya mbongo zilizokwisha kuwa sychronised na itikadi na mrengo wa kushoto kiasi cha kuwafanya wafikiri kwa kutumia viungo vingine tofauti na vichwa vyao!
   
Loading...