Ni halali Bastola ya katibu mkuu wa CDM kuonyeshwa hadharani na polisi?

Wamevunja privacy ya Dr. Slaa kwa makusudi kwa nia ya kumchafua na ndio maana hawakuitolea maelezo mengine ya kwamba inamilikiwa kisheria ama isivyo. Siku zao zinazidi kuhesabika japo sijajua kama kunasheria anayoweza kutumia dr. kudai haki yake ya kuondolewa privacy yake. Basi watuambia watu wote kuwa ukiwa kiongozi wa upinzani hauruhusiwi hata kumiliki siraha kihalali hapo tutawaelewa.
 
Polisi wa Arusha wameonyesha jinsi walivyo w2azembe katika kusimamia sheria ,

Hii bastola ni kuwa Dr.Slaa anaimiliki kihalali na yeye ndio aliisalimisha kaunta ya polisi wakati anaambiwa kuwa akabidhi mali zake na wala sio kwamba polisi walimpekua wala nini , so walikua naye kwenye gari akiwa na pistol yake mpaka alipoikabidhi mwenyewe.

Pili, leo asubuhi polisi wamemkabidhi bastola yake , sasa kwa wao kujitokeza hadharani jana na kusema wamemkuta na bastola nio ulimbukeni wa polisi na huenda ndio propaganda walitaka kuifanya sasa ngoja watajibiwa soon .

Nawasikitikia polisi wa TZ ambao hata mshshara wa mwezi huu wamekopwa lakini hawajagundua kuwa tatizo ni Magamba ambao wanawalinda na kutekeleza amri zao ambazo sio halali.

Tujikumbushe hotuba ya Lema bunge la bajeti , mtaelewa
 
Shame on you Slaa...unatembea na bastola ya kazi gani? huna walinzi?

Kwani unapopewa kibali cha kumiliki siraha inakuwa ni pambo la nyumbani mwako? Bastola inakuwa kama chupi yako mtu mwingine wa nje hatakiwi kuiona acha ushamba au mnanjama za kummaliza basi ziwekeni wazi
 
Shame on you Slaa...unatembea na bastola ya kazi gani? huna walinzi?
mfungulieni mashitaka kwamba alikuwa na bastora - unajua mtu akiishiwa anahaha na kubuni mbinu za kitoto, kweli jamaa anawanyima usingizi kabisa.

Move on DR. sisi watanzania wote tuliokuchagua then wakachakachua tupo pamoja na wewe katika kipindi hiki cha kudai haki.
 
Ndugu zangu mimi nadhani nchi pasipo usawa kwa wote sio nzuri hata kidogo, imani ni kitu kizuri na sio cha kuchezea hata kidogo na Tanzania tujivunie sana amani ambayo misingi yake imejengwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Amani ni kitu cha misingi sana lakini lazima tuelewa mambo yafuatayo.


CDM wakati mwingi sana wanaonewa watu wakiandamana kudai haki kwanini dola itumike bila busara kwa njii hii Amani anavuruga nani kama sio serikali, CCM kupitia kwa Jeshi La Polisi. Polisi na serikali acheni kutuvurugia Amani yetu.

Ndugu zangu Umma maana yake ni POWER. Serikali, Polisi na mtu yeyote lazima kuheshimu kwa nguvu zote umma, madaraka na kila kitu including kazi za polisi ni UMMA.

Kibori

Real this now is not only POLICE it is POLICCM
 
Back
Top Bottom