Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Jambo moja ambalo JF moderaters wanatakiwa kujua ni kwamba, members kudai issue moja mara kadhaa siyo repetition bali ni kuonesha the urgency and importance of the matter at hand. Hivyo kulink hiyo thread ni ufinyu wa mawazo.
Watanzania, tudai tume huru ya uchaguzi. Tuna watanzania ambao wapo ndani ya vyama vya siasa na ambao hatumo kwenye vyama. Sote tunahitaji tume huru. Tudai hili jambo pasipo kuhusisha vyama vya siasa.