Uchaguzi 2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

Naunga mkono hoja, wagombea uraisi wajitoe ,washawishiwe kwa hoja , bahasha wakigoma zuio la kisheria. JPM hana sababu kuomba kura.Atusaidie fair play ushindani wabunge na madiwani.
 
Yaani mtu aseme ukweli kuwa yuko bungeni kwa wizi wa kura, na wala bunge lisichukue hatua kwa kuwa na mbunge aliye ndani ya bunge kwa wizi! Hapo inahitaji elimu ya chuo kikuu kweli kujua ni siasa maji taka ndani ya bunge kigoyo? Ni sawa na mke wako kusema huyo mtoto unayemlea sio wakwako, na ww unakenua eti mke wako katoa ukweli na sio hisia, bila kufanyia kazi kauli yake!
Huwa wanafikiria pole pole sana,huwa wanakawia kufahamu matokeo ya kauli/matendo yao(Delayed aftermath Thinking), they learns very slow.

Hata wazo LA elimu bila malipo liliposemwa na CDM 2010 walitangaza kuwa haliwekani lakini 2015 wakaliweka kuwa kete yao kurejea madarakani.

Wanashindwa kukiri kukopi na kupaste idea ya CDM na ikibidi kuomba msaada wa mawazo ya namna bora ya kulitekeleza,wanaiboronga elimu bila malipo na inakosa kutoa ahueni iliyotarajiwa.

Waalimu hawana motisha na morality ya kazi ya kufundishaia,mazingira ya kufundishia na miundo mbinu iliyokuwepo before 2015 Ndiyo iliyopo leo 2020 katika shule zetu.

Tusiwashangae,wizi,ufisadi na udhalinu kwa sasa Ndiyo salama yao.Kukataliwa kubaya!!!
 
Membe ni potential formidable opposition dhidi ya Magufuli, in the short run though. Anao vigogo ndani ya CCM watakao muunga mkono japo kwa siri.

Ndiye mgombea wa urais pekee anayeweza kupasua kampeini za CCM 2020 na hata kuongeza viti vya ubunge na udiwani kwa upinzani. Tatizo la upinzani wetu ni kutofanya siasa kisayansi.
 
Membe ni potential formidable opposition dhidi ya Magufuli, in the short run though. Anao vigogo ndani ya CCM watakao muunga mkono japo kwa siri. Ndiye mgombea wa urais pekee anayeweza kupasua kampeini za CCM 2020 na hata kuongeza viti vya ubunge na udiwani kwa upinzani. Tatizo la upinzani wetu ni kutofanya siasa kisayansi.

Mkuu hii sayansi ndio iliyowaingiza kingi wapinzani 2015 wakati wa Lowassa. Kwanini Membe asianzishe chama chake ili atumie hiyo sayansi. Au sayansi yake ni mpaka akute vyama walivyoanzisha wenzao.
 
Hekima ya viongozi wa vyama vya upinzani wafanye uzalendo waokoe gharama tunazopaswa kutumia katika uchaguzi, wajikite katika ubunge na udiwani lakini kwa urais Magufuli ameshashinda hata kabla ya uchaguzi. Ili gharama za karatasi za kura za urais kulipia maendeleo mengine.

Wajifunze kwa maamuzi ya Mrema.
 
Uchu wa madaraka lakini pia kutumika kwao na wakoloni mambo leo ni mtihani, watawaeleza nini mabwana zao hao?
 
Hekima ya viongozi Wa vyama vya upon,ani, wafanye uzalendo waokoe gharama tunazopaswa kutumia ktk uchaguzi, wajikite katika ubunge na udiwani lakini kwa urais Magufuli ameshashinda hats kabla ya uchaguzi. Ili gharama za karatasi za kura za urais kulipia maendelero, mengine.
Wajifunze kwa maamuzi ya Mrema.
Usikute na wewe umemaliza chuo kikuu?
 
Nikweli.. Kuliko kumchosha Magufuli kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kusalimia, naviomba CHADEMA, ACT na CUF wasisimamishe wagombea kwenye nafasi ya Urais na badala yake wajikite kuokoteza wabunge ili Magufuli apite bila kupingwa.
 
Hofu imeshawajaa tayari! Miaka mitano yote amefanya siasa yeye peke yake, sasa hofu ya nini tena? Mnaogopa ya Malawi yanaweza kuwakuta na nyinyi!!
 
Vyama vingine vimwachie visiweke mgombea uraisi ili avikumbuke kwenye teuzi .Vikikomaa visahau teuzi za Rais
 
Nikweli.. Kuliko kumchosha Magufuli kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kusalimia, naviomba CHADEMA, ACT na CUF wasisimamishe wagombea kwenye nafasi ya Urais na badala yake wajikite kuokoteza wabunge ili Magufuli apite bila kupingwa.




ƙama swala ni ƙuzunguƙa nafiƙiri nƴinƴi nɗio mnapaswa ƙumshauri aache maa ƴeƴe amesha zunguƙa sana tena miaƙa ƴote mi5 , naɗhsni sasa ingeƙuwa vƴema iƙiwa ƴeƴe angepumziƙa kisha wenzaƙe wazunguƙe maana sote twafahamu ƴa ƙuwa wao hawaƙuzunguƙia wananchi wao na hii ɓasi iwe zamu ƴao😊😊
 
Back
Top Bottom