ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Tunaomba msaada kwako Waziri wa Elimu utusaidie kwa hili
Mtu umetumikia kusoma miaka kadhaa either O level ama High School baada ya kuhitimu let's say 2005 cheti/Certificate ikapotea au kuungua Moto.. Leo hii Unakwenda kuomba msaada Baraza wanasema sie hatuprint tena vyeti vya miaka Ya nyuma..! Ila ukitaka wanaweza kukupa form ujaze then ulipie Tsh 100.000/=halafu usubiri mwezi mzima ndipo wakutengenezee Statement of results!!
Hili linatuumiza sana sie watanzania wenye shida hiyo.. Nyie baraza ndiyo waratibu wa mitihani na ndiyo mnaohusika na kutunza kumbukumbu za watahiniwa wote nchini. Iweje inafika mahala mnashindwa ku re print tena cheti husika baada ya upotevu ? Licha ya mhanga kuhangaikia police loss report na tangazo gazetini? Hivi Hamuoni thamani na kuheshimu muda wa mtu aliyoutumia kutafuta elimu? Kumdai mtu kiasi cha shilingi laki moja ili mumpe matokeo yake hamuoni kua ni dhambi kubwa kwa mungu? Ni nani au sheria hii au kiwango hicho cha pesa kiliwekwa na Nani?
Kwako Waziri Wa Elimu tusaidie neno hili ufike pale Baraza uweze kuliweka sawa na watahiniwa wote hata wa miaka Ya nyuma waliopoteza vyeti wapewe vyeti vyao kwa amani ikiwa tu watakamilisha taratibu hizo za Police loss report na tangazo la gazeti na vitambulisho
Wizara ya Elimu tusaidieni kwa hili.