Ni haki Katibu mkuu wa CCM Kinana kutumia Usafiri wa Polisi katika kazi za chama?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Katibu Mkuu-CCM, Kinana akitumia pikipiki ya polisi kwenda Kijiji cha Ilyamchele, kuendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi

Kuna kosa gani hapa limefanyika?
attachment.php
 

Attachments

  • 11406963_1248732645141151_6257641485688612355_n.png
    11406963_1248732645141151_6257641485688612355_n.png
    195.8 KB · Views: 4,698
Polisi ni ccm na ccm ni polisi, Hakuna kosa hapo mkuu..!!! Makosa pekee yanayoonekana hapo ni kutovaa Helmet kwa wote wawili..!!!

Halafu utakuwa umejitendea haki ukiomba mods wakueditie kichwa cha habari mkuu. Maana kande si kande Mkorogo si Mkorogo..!!! Siku nyingine tulia ndipo uandike. Kuna watu wanapotezea habari kulingana na kichwa chake.

BACK TANGANYIKA
 
achana na hilo dogo tu we hakikisha unajiandikisha wewe na watu wako tayari kwenda kuiadabisha hiyo sisiem ifikapo Oktoba!
 
Katibu Mkuu-CCM, Kinana akitumia pikipiki kwenda Kijiji cha Ilyamchele, kuendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi
Kuna kosa gani hapa limefanyika?

11406963_1248732645141151_6257641485688612355_n.png




 
Ni makosa Baba yako kutembelea usafiri wako? serkal ni ccm na ccm ndo serkal upo hapo? ccm oyee!
 
bora anayesafiri kwa magar ya polisi ambayo ni kodi za watanzania kuriko wale wanaotembea na M4C AMBAYO NI MSAADA WA CAMERON aliyetaka tusain mikataba ya ushonga tukakata na kufuta uzamini wa badi ya mikopo,nyie mkamuona anafaa na kwenda kuomba msaada kwa mlango wa nyuma.
 
Watafurahi October, kila mtu ajiandikishe na apige kura

mwaka huu ccm hatumpishi mtu ambaye hata kujenga hoja hawezi ,ccm makini itampitisha mtu ambaye hata wawakilishi wenu hawafurukuti kwenye majukwa ktk kujenga hoja, mtajibeba,subirini kama fisi anavyosubili mwishowe kunakucha.
 
mwaka huu ccm hatumpishi mtu ambaye hata kujenga hoja hawezi ,ccm makini itampitisha mtu ambaye hata wawakilishi wenu hawafurukuti kwenye majukwa ktk kujenga hoja, mtajibeba,subirini kama fisi anavyosubili mwishowe kunakucha.

kumbe bado giza totoro la miaka 50
 
Back
Top Bottom