Ni haki Katibu mkuu wa CCM Kinana kutumia Usafiri wa Polisi katika kazi za chama?

Polisi ni ccm na ccm ni polisi, Hakuna kosa hapo mkuu..!!! Makosa pekee yanayoonekana hapo ni kutovaa Helmet kwa wote wawili..!!!

Halafu utakuwa umejitendea haki ukiomba mods wakueditie kichwa cha habari mkuu. Maana kande si kande Mkorogo si Mkorogo..!!! Siku nyingine tulia ndipo uandike. Kuna watu wanapotezea habari kulingana na kichwa chake.

BACK TANGANYIKA
Ahahaha. Umenichekesha mkuu
 
Katibu Mkuu-CCM, Kinana akitumia pikipiki ya polisi kwenda Kijiji cha Ilyamchele, kuendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi

Kuna kosa gani hapa limefanyika?
attachment.php



Huu ni ukiukwaji sheria, huyu mtu lazima achukuliwe sheria kali na inabidi afungwe ama kunyongwa.
 
Hivi Hiyo ni piki piki ya polisi?
Kipi kinaonesha ni pikipik ya polisi? au kisa polisi Ndo anaendesha ?

nataka kuulewa tuu?
 
hii kitu haikubaliki na huyu askari ni lazima achukuliwae hatua kwa kutokuvaa kofia ngumu yeye na abiria wake , je huyo abiria kinana alilipa bei gani na imeingia kwenye kasma ipi ?
 
Hivi Hiyo ni piki piki ya polisi?
Kipi kinaonesha ni pikipik ya polisi? au kisa polisi Ndo anaendesha ?

nataka kuulewa tuu?
hata kama ingekuwa ya kiraia
unadhani ni sahihi polisi wa usalama barabarani kufanya deiwaka tena akiwa na sare , halafu deiwaka yenyewe ya viongozi wa vyama ?
 
hata kama ingekuwa ya kiraia
unadhani ni sahihi polisi wa usalama barabarani kufanya deiwaka tena akiwa na sare , halafu deiwaka yenyewe ya viongozi wa vyama ?

Basi Sawa Mkuu,

Kumbe pikipik si ya jeshi la polisi. ...Kama ni Huyo polisi amekiuka sheria za kazi....ruksa kumchukulia hatua
 
Watanzania wengi ni kama mke anayepigwa na mmewe kila jua likizama lakini ukimwambia arudi kwao anakataa ila anaendelea kutoa sifa eti mmewe kila akimuumiza anampeleka hospitali....ujinga wa hali ya juu kusifia CCM-jamaa wanapiga pesa na kukupatia tshirt za kijani halafu unaendelea kuteseka
 
mwaka huu ccm hatumpishi mtu ambaye hata kujenga hoja hawezi ,ccm makini itampitisha mtu ambaye hata wawakilishi wenu hawafurukuti kwenye majukwa ktk kujenga hoja, mtajibeba,subirini kama fisi anavyosubili mwishowe kunakucha.

Hivi wale mafisi wenu wako wapi siku hizi?
 
bora anayesafiri kwa magar ya polisi ambayo ni kodi za watanzania kuriko wale wanaotembea na M4C AMBAYO NI MSAADA WA CAMERON aliyetaka tusain mikataba ya ushonga tukakata na kufuta uzamini wa badi ya mikopo,nyie mkamuona anafaa na kwenda kuomba msaada kwa mlango wa nyuma.

Hivi bajeti ya mwaka huu,wafadhili wamekubali kutupiga tafu kidogo?
 
Back
Top Bottom