mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Nitaishangaa sana nia ya CHADEMA katika kuichukua nchi kama hawatomsimamisha "FREDICK SUMAYE" Kupeperusha Bendera ya Chama hicho.
Huwenda ikawa mapema sana kutamka haya , ila kwa mapema hiii hii basi tunayepaswa kumsikia si mwingine zaidi Fredick Sumaye.
Huyu mzee ana motisha , nguvu na hari katika kukijenga chama kuliko hata baadhi ya viongozi wa kongwe wa chama hicho.Ni mtu niseme wa kwanza katika kukijenga chama kwa sasa , anafanya uenezi na uhamisishaji wa hali ya juu , anaiona CDM kama ndio kwanza Imezaliwa leo , huku wengi wakiwa wamepoteza matumaini yeye ndio kwanza movement zimeshika kasi.
Hatuahitaji Darubini maalumu kupima upepo wa kisiasa 2020, ila upepo utakua mbaya zaidi kwa CDM endapo watashindwa kumchagua Candidate Bora na Imara zaidi kuliko kipindi cha nyuma.
Binafsi namuona mpaka sasa namuona "Fredick Sumaye".
Na huyo ndie Mgombea imara mliye nae mpaka sasa atakayeweza kukimbizana na Speed ya CCM 2020.