Ni Frederick Sumaye 2020, bila hivyo uchaguzi utapoteza mashiko zaidi kwa CHADEMA

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,995
2,000
Nitaishangaa sana nia ya CHADEMA katika kuichukua nchi kama hawatomsimamisha "FREDICK SUMAYE" Kupeperusha Bendera ya Chama hicho.

Huwenda ikawa mapema sana kutamka haya , ila kwa mapema hiii hii basi tunayepaswa kumsikia si mwingine zaidi Fredick Sumaye.

Huyu mzee ana motisha , nguvu na hari katika kukijenga chama kuliko hata baadhi ya viongozi wa kongwe wa chama hicho.Ni mtu niseme wa kwanza katika kukijenga chama kwa sasa , anafanya uenezi na uhamisishaji wa hali ya juu , anaiona CDM kama ndio kwanza Imezaliwa leo , huku wengi wakiwa wamepoteza matumaini yeye ndio kwanza movement zimeshika kasi.

Hatuahitaji Darubini maalumu kupima upepo wa kisiasa 2020, ila upepo utakua mbaya zaidi kwa CDM endapo watashindwa kumchagua Candidate Bora na Imara zaidi kuliko kipindi cha nyuma.
Binafsi namuona mpaka sasa namuona "Fredick Sumaye".
Na huyo ndie Mgombea imara mliye nae mpaka sasa atakayeweza kukimbizana na Speed ya CCM 2020.
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,035
2,000
M

Huyu mzee ana motisha , nguvu na hari katika kukijenga chama kuliko hata baadhi ya viongozi wa kongwe wa chama hicho.

Hatuahitaji Darubini maalumu kupima upepo wa kisiasa 2020, ila upepo utakua mbaya zaidi kwa CDM endapo watashindwa kumchagua Candidate Bora na Imara zaidi kuliko kipindi cha nyuma.
Binafsi namuona mpaka sasa namuona "Fredick Sumaye".
Na huyo ndie Mgombea imara mliye nae mpaka sasa atakayeweza kukimbizana na Speed ya CCM 2020.
Kweli wajinga ndio waliwao
 
mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,995
2,000
Kabla hamjaendelea na Povu...kaaeni chini Mtizame vyema . Tunapoongelea Upande Wa Chama ... ni fika kabisa hakuna Candidate atakayeweza kuvivaa Viatu vya Urais 2020 kupia Chadema zaid ya Sumaye
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,849
2,000
Nitaishangaa sana nia ya CHADEMA katika kuichukua nchi kama hawatomsimamisha "FREDICK SUMAYE" Kupeperusha Bendera ya Chama hicho.

Huwenda ikawa mapema sana kutamka haya , ila kwa mapema hiii hii basi tunayepaswa kumsikia si mwingine zaidi Fredick Sumaye.

Huyu mzee ana motisha , nguvu na hari katika kukijenga chama kuliko hata baadhi ya viongozi wa kongwe wa chama hicho.Ni mtu niseme wa kwanza katika kukijenga chama kwa sasa , anafanya uenezi na uhamisishaji wa hali ya juu , anaiona CDM kama ndio kwanza Imezaliwa leo , huku wengi wakiwa wamepoteza matumaini yeye ndio kwanza movement zimeshika kasi.

Hatuahitaji Darubini maalumu kupima upepo wa kisiasa 2020, ila upepo utakua mbaya zaidi kwa CDM endapo watashindwa kumchagua Candidate Bora na Imara zaidi kuliko kipindi cha nyuma.
Binafsi namuona mpaka sasa namuona "Fredick Sumaye".
Na huyo ndie Mgombea imara mliye nae mpaka sasa atakayeweza kukimbizana na Speed ya CCM 2020.
We usimchongee mwenzio kwa Manywele. Je mwenye Chama agombee nafasi gani?
 
Mwadunda

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,831
2,000
Ila vyama vyetu pinzani bado havitoshi, Na sidhani kama kuna demokrasia sio chama kilichonuia kuitoa CCM
 
NJOLO

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
568
1,000
RAIS WA INCHI LAZIMA AWE NA SIFA KUU TATU.
1. AKILI NYINGI YA KUZALIWA (IQ KUBWA).
2. BUSARA
3. HEKIMA
HIVI VITU VITATU VINATAKIWA VIENDANE NA ELIMU YA KUTOSHA KATIKA SIASA, UCHUMI,SHERIA NA UTAWALA.
MPAKA SASA KATIKA CHAMA CHA CHADEMA, KIONGOZI PEKEE ALIYEKUWA AMEKAMILIKA NI DR. SILAA.
HATA LEO AKIRUDI CHADEMA MOTO WA UPINZANI UTARUDI UPYA.
HAWA WALIOTAWALA WAKAONDOKA, KUWARUDISHA NI SAWA NA KULA KIPORO CHA MAHARAGE BILA KUPASHA.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,069

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,782
2,000
Manyumbu yameanza kuparurana.Chama kimejaa mafisadi na wehu,kila kete wanayoitupa haina mashiko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom