Ni Fist Lady gani East & Central Africa waliyofanya vizuri?

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
Sawali langu ni dogo sana ninaomba majibu.
Ni Fist Lady gani East & Central Africa waliyofanya na wanaofanya vizuri kwa watu wao?
Msomi,au Mbunifu na mkweli.
mke wa rais aliye weza kusaidia wanachi katika miradi mbali mbali, kielimu,afya,maendeleo ya kina mama na watoto, mama wa rais aliye kuwa busy kusaidia wananchi kwa ujumla

Ninaomba kutoa hoja
 
mama maria nyerere, mama ali hassan mwinyi, mama mkapa na sasa mama salma kikwete ! just because wame zao ni viongozi wa ccm, wapinzani hawana wake sasa sijui hapo itakuwaje !
 
salma salmini ......kawakilisha taifa kwenye ugeni rasmi kwenye mashindano ya face of africa (hahhaha)
 
Mama Ngina mke wa Kenyata. Uliza wakenya watawaambia she is very respected huko Kenya mwaweza cheki tuu kwa Google.
 
Back
Top Bottom