Ni fani zipi zinamfaa mwanafunzi aliyesoma EGM kuzijaza ili kwenda kusoma Chuo Kikuu?

Maulaga59

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
2,281
2,144
Habarini za muda huu Ndugu zangu.

Naomba msaada wenu! Kuna kijana wangu aliyemaliza kidato cha Sita yupo JKT kwa sasa hivi. Naomba ushauri ni fani zipi au idara zipi zitamfaa kujaza kwenda Chuo Kikuu zaidi ya Bachelor if Arts in Economics! Na vyuo vipi hizo fani zinapatikana!

Asante.
 
Gormahia

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
491
322
Bachelor of arts in Economics aende UDSM au SAUT campus ya Nyegezi Mwanza.

Pia aombe UDSM bachelor of Commerce Accounting UDSM
 
snn

Senior Member
Apr 23, 2015
119
35
Aombe chuo cha serikali cha College of Business education CBE atasoma kozi yoyote kuna IT, Procurement, Business administration, Accountancy N.K kwa maelezo zaidi nitafute kwa 0756936931
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
19,780
30,311
Habarini za muda huu Ndugu zangu.

Naomba msaada wenu! Kuna kijana wangu aliyemaliza kidato cha Sita yupo JKT kwa sasa hivi. Naomba ushauri ni fani zipi au idara zipi zitamfaa kujaza kwenda Chuo Kikuu zaidi ya Bachelor if Arts in Economics! Na vyuo vipi hizo fani zinapatikana!

Asante.
Mwambie aende pale ardhi achague moja kati ya hizi kama form4 alisoma physics..

1. Architecture.

2. Building economics.

3. Land management.

Pia aangalie na SUA kuna kozi inaitwa Irrigation Engineering.
 
slatcher

Senior Member
Aug 5, 2016
132
202
Mwambie aende pale ardhi achague moja kati ya hizi kama form4 alisoma physics..

1. Architecture.

2. Building economics.

3. Land management.

Pia aangalie na SUA kuna kozi inaitwa Irrigation Engineering.
Land management ni nzuri?
 
John-Q

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
643
932
Yeye anataka kuwa nani au kuwa na ujuzi gani? Msikilizie kwanza kisha mpe support usimchagulie atasoma kwa bidii na mapenzi.

Ushauri wangu tuwaache vijana wawe na maamuzi ya cha kusoma au fani wanazozitaka itawasaidia sana katika maisha kwani watafeel responsibility ya maamuzi yao juu ya future yao and they will be accountable too.

Dunia ipo huru sana you can be and do anything. Ukumbusho tupo katika mapinduzi ya nne yaviwanda ( 4IR) and most of the skills zinazohitajika vyuo na shule zetu hawafundishi na ajira hakuna na hazitokuwepo kutokana na kukosa maarifa ya 4IR so mpe kijana exposure na atumie sana Internet na kutengeneza marafiki walioko duniani huko.

Mwisho technical skills ni bora zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom