Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

... hata chakula unachokula kila siku kina chemicals - chumvi, sugar, etc. What I said is "soda is just a mixture of chemicals"; unlike beer which cooking at least takes place at some stage.
Kama ni Cooking tu hata soda Kuna cooking inafanyika pia. Sema ni vile huwa tunajifariji kwa kuangalia raw materials zinazotumika kutengeneza hivi vitu viwili. Ukisikia bia inatengenezewa ngano, ulezi au mtama basi unaona hiyo ndo yenyewe na imetegenezwa kwa asili Ila ukienda kwenye process yake ya utengenezaji utadundua inakutana na chemicals nyingi sana kuanzia kwenye water treatment ya hayo maji yanayotumika, fermentation yake, filtration yake, bado packaging. Sawa tu na soda ambayo raw material ni maji inawekwa taste na flavor basi
 
Nimejitahidi sana kuacha kunywa soda, Ila naona jitihada zangu huwa zinagonga mwamba. Jana tu peke yake nimekunywa soda 3.
Pole ukianza na nia moyoni unaweza mimi hua sinywagi soda ni mara chache mno sana hata miezi mitatu hupita sina habari kabisa taratibu utaweza anza kupunguza idadi kidogo kidogo utaweza naamini.
 
Pole ukianza na nia moyoni unaweza mimi hua sinywagi soda ni mara chache mno sana hata miezi mitatu hupita sina habari kabisa taratibu utaweza anza kupunguza idadi kidogo kidogo utaweza naamini.
Kukaa week pasipo kunywa naweza. Sema siku nikipata kaupenyo sasa ndo unakuta Kama hivyo nimekunywa tatu kwa siku. Sema ngoja nilitilie mkazo hili. Sinywi soda mpaka Pasaka, kisha baada ya hapo nikae miezi miwili tena.
 
utaweza taratibu tu au utafute mbadala wake mfano juice ya asili alaf uanze kutumia mara kwa mara utaweza kuisahau
 
Sio baadhi nadhani ni zote. Sio mjuzi wa kemia ila nadhani ni lazima kinywaji kiwekewe sukari Ila wanapoweka hamira(fungus) wanaivunja vunja sukari na kuwa kilevi(kwenye fermentation)
Hamira ni Yeast. Zipo baadhi kutokana na aina ya Raw material wanayotumia huwa hawaweki sukari kutokana na usukari wa asili.
 
Kukaa week pasipo kunywa naweza. Sema siku nikipata kaupenyo sasa ndo unakuta Kama hivyo nimekunywa tatu kwa siku. Sema ngoja nilitilie mkazo hili. Sinywi soda mpaka Pasaka, kisha baada ya hapo nikae miezi miwili tena.
Au anza kujizoeza kuichanganya na maji huwa inakuwa nzuri sana.
 
Kwanzia huu mweZi uanze nimaenza taratibu kula biskuti za Eet sum more karibia kila siku..nimeongezeka kilo tatu...

Nimeamua kuacha kabisa..kurundika kisukari ambayo inaturn into fat kwenye mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom