Ni faida gani aliyoipata Diallo kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu? | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni faida gani aliyoipata Diallo kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Erythrocyte, Dec 3, 2016.

 1. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 47,466
  Likes Received: 30,075
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

  Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

  Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

  Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
   
 2. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #141
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 47,466
  Likes Received: 30,075
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mgeni hapo Mwanza ?
   
 3. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #142
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  MAPOVU YA NINI BINTI AU UMEACHIKA? CCM NI CHAMA TAWALA HADI 2055 LABDA NDIO WABABAISHAJI NYIE MTAFANIKIWA KWENDA IKULU
   
 4. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #143
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,898
  Likes Received: 8,051
  Trophy Points: 280
  Faida keshaipata.wasirudie makosa
   
 5. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #144
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,362
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Shida yenu ndio hiyo mkikosa hoja mnaanza kejeli?? sasa hta kma ningekuwa binti au nmeachika kuna uhusiano gani na swali langu kuwa nipe mafanikio ya ccm kwa miaka 50 hata moja tu??? swali umeshindwa kujibu umekalia tu ooooh ccm chama tawala mpaka 2055!!! so what??? so chama tawala hta kama mtakula majani eti chama tawala???

  IQ ndogo sana wwe embu pita pembeni huko nisije kukutukana nikamkosea Allah
   
 6. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #145
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 47,466
  Likes Received: 30,075
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama atarudi tena .
   
 7. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #146
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,362
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna watu wanaweza sababisha mtu ukapewa Ban bila kukusudia!!! wanakera sana
   
 8. dolevaby

  dolevaby JF-Expert Member

  #147
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 25, 2013
  Messages: 8,269
  Likes Received: 3,399
  Trophy Points: 280
  ...huu upumbavu uliondika akiuona mtakatifu wako anaweza kukutumia askari
  ..wewe na yeye nani Mwenye Akili Hivi unayohabari kwamba hiyo Mahakama ya mafisadi kuna buibui tu

  Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
   
 9. M

  MaxMase JF-Expert Member

  #148
  Jul 17, 2017
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 527
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Mbona muda wote ni France 24 ndiyo inatangaza si wazime mitambo tujue moja kuwa wameshindwa kulipa deni.
   
 10. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #149
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Kunge kuwa na wagombea wenye nia ya kweli ningehama CCM. Lakini mmmmm Jamani, hata Lowassa?
   
 11. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #150
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,362
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Yaani we jamaa akili zako sijui zikoje yaani unashangaa lowassa kuwa kiongozi unasahau alikuwa waziri mkuu wa lichama lenu ssa cjui nikueleweje??? Hapa ndio naamini siku magufuli akihamia chadema mtaanza muita dikteta!!!!

  Anyway uzuri umeshakubali lichama lako limeoza ndio maana unatamani kuhama nashukuru kwa kulitambua hilo

  Ucku mwema
   
 12. Lobapula

  Lobapula JF-Expert Member

  #151
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,438
  Trophy Points: 280
  bavichaaa ni janga kwa taifa kama yalivyo mafuriko, tetemeko na njaa
   
 13. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #152
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,055
  Likes Received: 3,935
  Trophy Points: 280
  TV,redio,au magazeti ktk chaguzi yanaweza kuchukua na ku declare side fulani wala sio dhambi.
   
 14. W

  WILLIAM MARCONI JF-Expert Member

  #153
  Jul 18, 2017
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 2,057
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Tujikumbushe. Wakati uchaguzi unakaribia, wakati wa kuomba kura za CCM, na hata kwenye mchakato wa katiba, magazeti karibu yote yalikuwa ni private. Kuna yake ya Kenya, yalikuwa kwa Serkali 3 kwa kusukuma ajenda ya Kenya katika ushindani wake na Tanzania wakijua njia pejee kuihujumu Tz ni kufuta Muungano au kugombanisha Bara na visiwani. Yalijya sera ya CCM kwa huyo yaluegemea Ukawa. Wakaja wale Maaskofu wa Ukawa wakataka nchi iitupe CCM, wakakwama kwa Askofu Pengo. Magazeti mengibe ya Kubenea na ya Mbowe yalikuwa Ukawa. Gazeti mengine ni ya Mtanzania na Raia na Raia Mwema haya ni ya EL alinunua kwa Rostam yalikuwa kwake alipokuwa CCM alipofukuzwa yakahqmia Ukawa pamoja naye. Daily News na Habari Leo ni ya serkali lakini tayari yalikuwa yanapigwa vita na magazeti mengi kwamba hayafai. Baki ya ITV na Nipashe na Guardian haya ni ya Kaskazini alikuwa jamaa akawa shrewed akataka kulipwa vinono, hakushabikia sana wakati huo lakini sympathy na neutrality vilikuwa Ukawa. Alipokatwa yakamfuata Chadema. Kwa hiyo wakati wa mchakato EL alikuwa 99% sapoti ya nagazeti na ikawa hivyo hadi mwisho. Fumbua na kufumbua ikaja Star TV, CCM ikapata kasi mpya nguvu mpya, hali ikabadilika 99%. Bado EL ana nguvu ya magazeti lakini hana livw TV, kwa sababu Mengi alishikilia msimamo wake wa kulipwa, si bure. Walilipa hela nyingi lakini hazikutosha, ukionfeza na ukubwa wa CCM na propaganda zilizotupa eti Fisadi Mkuu wa Mwembeyanga eti awe kiongozi wa mabadiliko!! Nchi hailuelewa. Walipomtoa Lipumba waislamu wakaja juu; walipomtoa Dr Slaa ndiyo wakajimaliza kwa vile Slaa tayari alikuwa kajijengea sifa kubwa. EL ghafula akakosa akilu, akakosa mdomo, Lowassa wa zamani mtoa hoja na mhamasishaji mkuu ajawa bubu; kumbe ni mgonjwa! Haya yote yasingetoka kwenye magazeti lakini kwenye TV yalikuwa kaa la moto kwake. Wakabaki kina Mbatiya na kadi ya unafiki na ysaluti (alipewa Ubunge na Kikwete) akaanza ukabila zaidi na ulutheri. Zikabaki sehemu za mjini zenye maduka mengi ya kabila la huko. EL was finished. Kwa hiyo Diallo kaokia CCM kaokia Taifa, kaokoa nchi yetu la sivyo leo tungekuwa na Waarabu kyle Zanzibar na ukabila mkubwa huku Bara. Pangechimbika. Mtu mwungine apate sifa ni Mengi na ITV zake kwa kubaki neutral, ila kwa kuwa alitaka alipwe kwanza aliheshimu misingi ya biashara. Lakini in the end kosa kubwa walilofanya Ukawa na kumtosa Dr Slaa na kutumbukia kwenye dhambi kubwa ya ukabila. Sioni dalilu za mtizamo huu kugeuka, labda safari hii Duni Haji agombee Urais na Tundulissu awe Makamo ; walau itakuwa badiliko kubwa kuachana na ukabila wawekwe Watanzania wa kawaida.
   
 15. c

  chinembe JF-Expert Member

  #154
  Jul 18, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,064
  Likes Received: 3,750
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi sana Diallo kufilisiwa na TRA
   
 16. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #155
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 4,110
  Likes Received: 2,436
  Trophy Points: 280
  Mimi najibu swali moja kwa moja. Kapata kufungiwa biashara ya matangazo na kaamriwa kulipa madeni ya kodi anazodaiwa na tra.
  Naona huyo mwenye jina la west Africa hakumsoma boss wake kipindi kile Mbowe anahamishwa kibabe kwani ile kauli ya watoeni wote mnaowadai bila kuangalia itikadi haikumkaa ubongoni! Amfuate chato akamuulize kama alimaanisha!
   
 17. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #156
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Tangu alipofukuzwa na Bunge ndipo alikosa sifa za kugombea Uongozi kwa kukosa uadilifu. Ninyi kwa kuwa hamjali mambo ya UADILIFU baada ya kumfukuza Dr Slaa endeleeni kukaa naye.
   
 18. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #157
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,362
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Lini lowasa alifukuzwa na bunge??? Yaani hata facts za unayemuita fisadi huzijui haya bado tena unaendeleza ujinga wako eti slaa katimuliwa una barua inayoonyesha slaa kusimamishwa kazi???? Hivi unapata nini unavyoleta uongo hapa yaani hta historia ya siasa za Tanzania huzijui no wonder upo CCM maana kwa reasoning hii naelewa kwanni Tanzania ni kati ya nchi 30 maskini zaidi duniani

  Shame on u maccm......
   
 19. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #158
  Jul 18, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 47,466
  Likes Received: 30,075
  Trophy Points: 280
  Pamoja na uongo wako mrefu sana uliojaa mapovu mengi mithili ya mgonjwa wa kifafa , sasa rudi kwenye hoja , Dunia inaomba kujua FAIDA ALIZOPATA DIALLO KWA UONGO ULE WA KARNE ALIOUFANYA .
   
 20. mkuda wenu

  mkuda wenu Member

  #159
  Jul 18, 2017
  Joined: Apr 29, 2017
  Messages: 14
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Ahadi aliyo ahidiwa moja wapo nikuifanya Sahara media kuwa ya kimataifa" hilo limetimia maana sasaivi wanaonyesha BBC kila saa3 kamili usiku ijuma3 mpaka ijumaa ila mchana hakuna kitu maana niwakimataifa

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 21. NGARUKA

  NGARUKA JF-Expert Member

  #160
  Jul 18, 2017
  Joined: May 5, 2014
  Messages: 392
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...