Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Ujinga ujinga wa kushabikia ufisadi na dhulma za chama cha makinikia unawatokea puani sasa na unafiki wote uishie hapo kushabikia chama bovu kisa liko serikalini ukome pumbavu sana wafungie mpaka nyumbani kwake alipe yote aliyoyafanya 2015

kimeo
 
Ameambulia kudaiwa kodi ambazo alifikiri Magu atamkingia kifua asilipe.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kwa Magu hakuna Muahalifu, uwe CCM, uwe Msukuma sharia Msumeno. Alipe kodi kuunga mkono harakati za Chama kupambana na Ufisadi! Na Mishahara ya Watumishi alipe. Naona FRANCE 24 wakijimwaga 106 star times.Magu hana Price!! Lipa kodi Mzee au tupafanye kifusi kama Bilicanas.
 
Kwa akili yako ndogo uliamini Lowassa ataishinda CCM ? Kuna chama gani zaidi y'a CCM kinachofaa kuongoza Nchi. Nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa kuwapa wahuni waingie Ikulu !! NEVER !!
wahuni?? mbona waliouza nchi waliingia ikulu kina mwinyi mkapa na kikwete!!! maccm sio wahuni wakati tuna utajiri wa kila aina ila dhiki kila mahala mnanishangaza sana eti hamtaki muhuni!!!! hivi kipi ambacho ccm wamefanikiwa miaka 50 niambie hapa kma una ubavu huo hta kimoja tu niambie

mnakera sana eti nch isiende kwa wahuni wakati magufuli wenu huyo amekiri miaka 50 nchi ilikuwa imeoza na ilikaribua kuuzwa yote then ndio mnasema wahuni gani hao zaidi ya ccm???

hivi huu uchama unawafaidisha nni???
 
Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
Ana Furaha gani ili hali accounts sake zimefungiwa na TRA kwa kushindwa kulipa kodi? watangazaji wake mahiri wanamkimbia kila kukicha. Mishahara ya wafanyakazi wake ina suasua. Madeni kibao likiwemo la ukodishaji ndege, warusha matangazo ya satellite, mabenki n.k. Hapa anaisoma namba.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Magu hakuna Muahalifu, uwe CCM, uwe Msukuma sharia Msumeno. Alipe kodi kuunga mkono harakati za Chama kupambana na Ufisadi! Na Mishahara ya Watumishi alipe. Naona FRANCE 24 wakijimwaga 106 star times.Magu hana Price!! Lipa kodi Mzee au tupafanye kifusi kama Bilicanas.
Acha uongo , Mbona Bashite haguswi ?
 
wahuni?? mbona waliouza nchi waliingia ikulu kina mwinyi mkapa na kikwete!!! maccm sio wahuni wakati tuna utajiri wa kila aina ila dhiki kila mahala mnanishangaza sana eti hamtaki muhuni!!!! hivi kipi ambacho ccm wamefanikiwa miaka 50 niambie hapa kma una ubavu huo hta kimoja tu niambie

mnakera sana eti nch isiende kwa wahuni wakati magufuli wenu huyo amekiri miaka 50 nchi ilikuwa imeoza na ilikaribua kuuzwa yote then ndio mnasema wahuni gani hao zaidi ya ccm???

hivi huu uchama unawafaidisha nni???
Ubarikiwe sana .
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Mkuu unaandika hii makamala kama UKAWA ama mchunguzi wa masuala ya chaguzi? Kila nchi ambayo ina vyombo binafsi vya habari hufanya exactly kama Diallo alivyofanya. Kuna vya mrengo wa kushoto na kulia na vingine vipo kati. Kule Marekani usitegemee CNN ikaandika wasifu wa mgombea wa Republican hata kama anafanya vizuri sababu kubwa ni kwamba cnn ni watu wa mrengo wa kushoto. Fox News pia hawawezi kutangaza mazuri ya Democrat sababu wao wapiga chapuo wa Republican. Tatizo lenu kubwa watu kama wewe mtoa mada mnataka kila mtu afuate yale ninyi mnataka halafu mnajifanya mnapenda demokrasia.

UK, kigazeti cha The Sun kilimsaidia sana Tony Blair kushinda chaguzi nyingi mpaka alipostaafu, lakini uchaguzi wa mwaka 2010 Rupert Madorch alimwambia Gordon Brown kwamba wanahamisha goli na kulihamishia Conservative. Na wsmefanya hivyo mpaka sasa. Daily Mirror wao ni Labour. Hii ninapenda tu kukufahamisha mambo ambayo baadhi yenu mliochangia huu uzi myajue. Pamoja na kutoipenda ccm, lakini mara nyingi nataka kubishana kwa hoja, pamoja na kukubaliana kutokubaliana na hii ndiyo demokrasia. Diallo ni CCM ulitaka apigie kampeni UKAWA? Kama unaamini hivi basi itakua si kosa mtu akakuita majina la wale wakazi wa masai mara ama Serengeti
 
Ana Furaha gani ili hali accounts sake zimefungiwa na TRA kwa kushindwa kulipa kodi? watangazaji wake mahiri wanamkimbia kila kukicha. Mishahara ya wafanyakazi wake ina suasua. Madeni kibao likiwemo la ukodishaji ndege, warusha matangazo ya satellite, mabenki n.k. Hapa anaisoma namba.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app

Akiba ya maneno ni akiba mujarabu
 
Wewe unaweza kumuelimisha salary slip? Sijawahi kuona ziro brain kama wewe umuelimishe masters kama salary slip

Swissme

ha ha haaa

sikujua kwamba swissme nawe ni kati ya wanaoamini uwepo wa wamiliki wa maarifa.

Hakika usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Hapo juu umeeleza vizr. Lakini hapo chini kwamba watu wa kanda ya ziwa star TV ni Kama ibada.huo ni uongo maana Hakuna bar yoyote inayo onyesha taarifa ya star. Hata kwangu nyumba ni ITV. Nyingine huwa kwa vipindi maarufu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kudaiwa kodi ndio faida aliyoipata

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
siku zote mwanasiasa hana rafiki wala adui wa kudumu anapotaka madaraka atakuahidi mengi lakin mwisho wa siku ni wakwanza kusahau
 
Ni kweli ccm ilikuwa imeoza lakini kwa sasa uozo huo umeshaisha,kwa rais aliyeko madarakani hataki ujinga wa kujuana,walqa urafiki wa kidokozi,hivyo ni bora kuendelea na ccm ambayo imeonyesha nia ya dhati katika kusimamia rasilimali za nchi,mtu anaponiambia kwa sasa nichague upinzani simuelewi kabisa
 
Umedanganyika vibaya sana!
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom