Ni faida gani aliyoipata Diallo kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni faida gani aliyoipata Diallo kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Erythrocyte, Dec 3, 2016.

 1. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,810
  Likes Received: 29,176
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

  Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

  Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

  Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
   
 2. Mwanga Lutila

  Mwanga Lutila JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 10, 2016
  Messages: 2,128
  Likes Received: 5,014
  Trophy Points: 280
  Ile ahadi aliyohahidiwa na Pombe hajatimiziwa?
   
 3. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Nafikiri Diallo atakuwa mwenye furaha iliyopea maana mgombea wake ndiye aliyeibuka mshindi. Haiyumkini hiyo ni faida (ROI) ya kujivunia.
   
 4. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,810
  Likes Received: 29,176
  Trophy Points: 280
  Sidhani , maana ahadi nyingi za Magufuli ameziruka , si umeona ya mikopo ya wanafunzi ?
   
 5. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,810
  Likes Received: 29,176
  Trophy Points: 280
  Kwa binadamu yeyote ni lazima awe na aibu , hasa baada ya yale aliyoshiriki kuaminisha jamii kwamba chini ya mgombea wake yangefanikiwa lakini yakafeli vibaya sana ! Hakuna amani Mwanza .
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2016
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 26,960
  Likes Received: 44,930
  Trophy Points: 280
  Anaisoma namba kama machinga wa Mwanza.
   
 7. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

  Take it or leave it.
   
 8. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Hujui unachoandika mkuu Salary Slip. Uliza uelimishwe maana kuuliza sio ujinga.
   
 9. Allen Kilewella

  Allen Kilewella Verified User

  #9
  Dec 3, 2016
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 7,668
  Likes Received: 10,957
  Trophy Points: 280
  Dah! Sahara Communication ilipewa ahadi hadharani kwamba itabebwa. Upendeleo wa wazi kabisa lakini kwa kuwa ulifanywa na waliozoeleka kufanya madudu watu hawakushangaa!!
   
 10. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Very common observable evidences in poor countries. Nothing special. Nothing to question. Nothing to worry about.
   
 11. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,810
  Likes Received: 29,176
  Trophy Points: 280
  Hivi unawezaje kuwa na amani wakati wale ulioshiriki kuwadanganya wanapigwa mabomu kila siku ?
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Si keshafulia huyu jamaa,anaendesha office km nyumba ya traffic.Traffice anaweza chmoa hela bil amahesabu akatoa tuu,au akaamua chakula iwekwe njiani akiwa hana hela. Huyu jamaa kila kodi inamhusu, umiliki wa rasilimali watu nao ni shida,king`amuzi chake ni taabu, vipindi vya star tv ni vya hovyo km futuhi yao. Ndio walikuwa wanadhani anaweza shindana na ITV wakaanzisha ziara ktk media.Walipoona makada wanazimika, wakaja na mpya wamekubali kulipa sijui TCRA,baadae tena wamekubali kulipa kodi TRA.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2016
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,979
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani tumwache tu maana tukianza kumsema sema hivi asije akapata teuzi kwa kuonewa huruma
   
 14. Allen Kilewella

  Allen Kilewella Verified User

  #14
  Dec 3, 2016
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 7,668
  Likes Received: 10,957
  Trophy Points: 280
  Acha ateuliwe kwani hao walioteuliwa wana tofauti gani na yeye!
   
 15. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kwani "determinants" za amani ni zipi?

  Kwani "determinants" hizi ndizo zinaleta amani ya moyo ama kuna "determinants" zinginezo?
   
 16. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2016
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,571
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Naona huyu Diallo alifanya hivyo kwaajili ya Ukanda na Ukabila tu. Mbona hakufanya hivyo kwa Kikwete 2005&2010.
   
 17. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2016
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 19,915
  Likes Received: 42,180
  Trophy Points: 280
  Huyo wamemfilisi kama yule mwandishi, hana ujanja
   
 18. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Ama unamsema ama humsemi sifikiri kama kuna jambo unampunguzia ama unamuongezea.
   
 19. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2016
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Interesting
   
 20. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2016
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,571
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Exactly.
   
Loading...