Ni Emirates tu iliyokuwa profitable toka 2018 kwenye biashara za ndege

siasa za ccm tunazijua wenyewe si mmesema hamshiriki uchaguzi tena kwahio mmebaki kama kikundi, sasa msisumbue vyama vya siasa sasa
CAG kateuliwa na JPM, aliyekuwa VP alikuwa VP wa JPM. JPM hachafuliwi bali tunaboresha mazuri aliyoyafanya. Nyinyi mnaopiga kelele za kumsafisha ndo mnamchafua. CCM INA WENYEWE.
 
kama ripoti ya CAG ni kweli basi alisema uongo na alitakiwa kua accountable but haimaanishi kupata hasara ya ndege it was a bad choice kununua ndege
Kwahiyo umekubali kuwa mlikuwa mnapika hizo report?
 
CAG kateuliwa na JPM, aliyekuwa VP alikuwa VP wa JPM. JPM hachafuliwi bali tunaboresha mazuri aliyoyafanya. Nyinyi mnaopiga kelele za kumsafisha ndo mnamchafua. CCM INA WENYEWE.

si ndo maaan kuna kufukuzwa kama huna maaaana, huyu alichooongea chote ni halali ya kukuzwa kipindi kile
 
Back
Top Bottom