Ni elimu yetu au utamaduni wetu?

maswimanga

Senior Member
Apr 15, 2013
159
26
Kweli watanzania wanatumia muda wao kujifunza siasa za tanzania na africa au kujadili watu na vyama vyao. Hebu tafakari siasa za cuf na walipo leo,siasa za laila na alipo leo,siasa za mpinzani wa mgabe na alipo leo,je tunafanya siasa au tunatafuta ajira kwenye siasa zetu?
 
Back
Top Bottom