maswimanga
Senior Member
- Apr 15, 2013
- 159
- 26
Kipimo pekee cha taifa tajiri ni uwepo wa mali asili za kutosha na tanzania ni moja ya taifa lenye utajiri wa mali asili nyingi lakini tangu uhuru kiwango cha umaskini kinaongezeka kila siku na achano la matajiri na maskin ni kubwa sana.sasa tatizo ni uwezo wetu wa kufikri na kupanga mambo yetu au mungu alipanga tuwe kama tulivyo.