Ni elimu yetu au ni laana ya mungu?

maswimanga

Senior Member
Apr 15, 2013
159
26
Kipimo pekee cha taifa tajiri ni uwepo wa mali asili za kutosha na tanzania ni moja ya taifa lenye utajiri wa mali asili nyingi lakini tangu uhuru kiwango cha umaskini kinaongezeka kila siku na achano la matajiri na maskin ni kubwa sana.sasa tatizo ni uwezo wetu wa kufikri na kupanga mambo yetu au mungu alipanga tuwe kama tulivyo.
 
Ubinafsi..uvivu...akili zetu hazina akili za kuona mbali na kutumia utajiri tulionao kwa manufaa ya wengi na siyo wachache..
 
Hata Jk alisha sema hajui ni kwa nini Tanzania ni nchi masikini.

Uhaba wa vision,mipango mingi isiyotekelezeka. Wenzetu wasomi wanashinda mahabara kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao.kwetu wanashinda semina,warsha,kongamano,kuunda tume,vikosi kazi,kamati kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu na hakuna utekelezaji. Kidumu chama tawala
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom