Ni either JPM anakusanya kodi kubwa sana kununua wapinzani au wanaona wenyewe nakuamua kuungana nae

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Gwiji la mitandao ya kijamii Ndg Lemutuz aliwahi kutoa nukuu moja muhimu sana akifanya mahojiano na kituo kimoja cha television,alisema "ukitaka kunibomoa lazima ukubali kunijenga kwanza" yaani huwezi kubomoa ukuta mahali pasipokuwa na kitu.
Upinzani inabidi ikubali kitu kimoja kama inaamini CCM inanunua wapinzani kwa kutumia kodi za wananchi ,either
1.Magufuli anakusanya mabilioni mengi sana ya ziada mpaka baada ya Kulipia miradi mikubwa inayoendelea anabakiza chenji ya kununua wapinzani.
2.Au serikali inakusanya hela kidogo kama Zitto anavyosema hata inakosa shilingi kumi ya kununua wapinzani siku ya mwisho wanajikuta wameingia CCM wenyewe.
Ebu tuambieni lipi ni lipi.
 
Siasa za Majitaka

Hakuna hoja

Wakiwa CCM ni INZI WA KIJANI

Wakiwa CHADEMA NI NYUMBU
 
Back
Top Bottom