.. Ni eid-surprise kwa wakazi wa Arusha ama ni nini?

ndegeulaya

Member
Apr 26, 2011
74
13
Eid Mubarak Wakuu ...!!

Hatimaye yale matangazo ya Televisheni ya kituo cha Star TV tuliyoyakosa kwa kipindi kirefu jijini Arusha (ikiwemo na Midahalo kadhaa iliyowahi kuandaliwa na kurushwa 'live' hewani kwa kushirikiana na kituo hicho pekee cha Televisheni) sasa yaweza kupatikana bila ya 'chenga' kwa kutumia Antenna ya kawaida tu ya ndani, tofauti na hapo kitambo ambapo kupata matangazo hayo ilikuwa ni kama tu unatumia Satelite Dish, au Television Cable Network angalau!

Enjoy ....
 
Ngoja Idd iishe wachukue umeme wao, utaiota!!
 
Back
Top Bottom