Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

Hapa nchini katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na mambo ya kusikitisha sana kutoka kwa mhimili wa mahakama.

Mwendenendo wa Mahakama zetu nchini umekuwa ni mwenendo usio na afya njema katika utoaji wa haki nchini, na kwa bahati mbaya inaonekana mahakama yetu imeridhika na kuridhia hali hii na matokeo yake tunaona leo hii kesi hasa zile zenye maslahi ya kwa watawala zinaamuliwa kiajabu ajabu bila kujali kuwa kwa kufanya hivyo unaumiza wananchi.

1. Kauli ya Jaji Mkuu kuwataka majaji waamue kesi si kwa kuangalia sheria tu bali waangalie na mihimili mingine inasema nini

Wakati akimuapisha Jaji kiongozi (Mustafa Seyani), Jaji Mkuu alitoa kauli hilo, Hii maana yake nini?, maana yake ni kuwa Majaji sasa wanakwenda kuingiza ndani ya hukumu zao matashi na miongozo ya watawala, miongozo ya watawala. Kwahiyo Jaji mkuu anaagiza mahakama icompromise wajibu wake wa kutafsiri sheria zilizotungwa na bunge na kutenda haki na badala yake majaji waanze kutafsiri sheria katika lenzi ya watawala wanataka nini. Kwa kweli hii kauli na agizo la jaji mkuu ni ya kusikitisha sana. Kiufupi ameiweka mahakama katika nafasi ya kucollaborate kufanya dhulma katika nchi!

2. Kumekuwepo na rushwa ya madaraka kwa majaji

Kipindi cha Magufuli, Hakimu aliyetoa hukumu ya kuwafunga akina Mbowe na Msigwa (kesi ya Akwilina Akwilin) alipandishwa cheo na kuwa Jaji, Hakimu aliyemfunga Sugu alipandishwa cheo na kuwa Jaji. Na hukumu za mahakimu wote hao baadae zilitenguliwa na mahakama za juu, Leo Jaji Seyani akiwa anakaribia kutoa hukumu ya shauri dogo linalohusu wasaidizi wa Mwenyekiti Mbowe katika kesi inayomhusu pia Mwenyekiti Mbowe anapandishwa cheo na kuwa Jaji kiongozi. Hii kama siyo rushwa ni nini?. Hawa Majaji wakiletewa kesi zenye maslahi kwa watawala ambao waliwateua watatenda haki kweli?Mfumo wa mahakama unaoruhusu, kukubali, kushiriki na kubariki teuzi za namna hii kimsingi ni mfumo ambao uko tayari kutumika kuharibu haki nchini

3. Precedence ya hukumu hizi zinazotolewa kuridhisha watawala zitaumiza wananchi kwa miaka mingi ijayo, sijui kama Majaji wetu wanalifahamu hilo.

Leo hii Jaji Seyani anaenda kutoa hukumu, hanukuu kifungu chochote cha sheria kujustify hukumu yake. Anatoa hukumu kwa "kudhani", "kwa maoni yake binafsi", hafanyi reference yoyote. Hii inaweka precedence gani?. Jaji anatoa hukumu bila kuzingatia miongozo na sheria za kipolisi katika ukamataji, uchukuaji wa maelezo, na ushahidi wa wazi wa watuhumiwa kuteswa, na yeye jaji anakiri kuwa kuwa mtuhumiwa anaonekana aliumizwa sana, lakini anatoka hapo anatoa hukumu ya kumnyima haki victim. Hii inaweka precedence gani katika utendaji wa jeshi la polisi?, Maana yake ni kuwa jeshi la polisi litakamata watu, kuwatesa, na mahakama za chini zijazo zitatumia hukumu ya Jaji Seyani kama reference ya kujustify matendo yao. Laiti Jaji Seyani angejua Damage aliyoifanya katika mizania ya haki nchini, basi cheo chake hicho cha Ujaji Kiongozi angeona si lolote si chochote!. Binafamu umri wetu ni mdogo sana, Haya mavyeo ya kukaa nayo muda mchache yanafaa nini halafu unaondoka duniani unaacha precedence za kuumiza watu kwa miaka lukuki?

4. Mahakama imekuwa ikishiriki michezo ya mhimili wa dola kutesa, kupotezea muda watu

Tumeona kesi nyingi zikitajwa tu lakini mashauri hayaanzi, eti ushahidi haujakamilika, kesi zinachukua hata miaka. Mahakama inao uwezo wa kufutilia mbali kesi za namna hiyo. Watu wanaumia, lakini as long as kesi ni za kisiasa, au mhimili wa serikali umeweka mkono wake, Mahakama haifurukuti kutenda haki. Tuliona hilo kwenye kesi ya Masheikh wa uamsho, na zipo kesi nyingi nchini za namna hii. Sasa katika mazingira haya hii mahakama ni ya kuaminika?

HITIMISHO
1. Hatuna mahakama huru Tanzania, ni wajibu wa kila mwananchi anayejielewa kupigani katiba mpya ili ndani yake tupate mfumo wa mahakama ulio huru

2. Ni dhahiri kuna ushirika usio mtakatifu wa mihimili hii mitatu, na kwa bahati mbaya mfumo wa Mahakama nchini umeamua kujidogosha tena wakati mwingine bila sababu za msingi, na hivyo tegemea tu kutotendewa haki iwapo serikali imedhamiria usipate haki. Serikali ikikukamia huna kimbilio

3. Hukumu za hawa majaji, ambao teuzi zao ni za mashakamashaka ni msumali wa moto katika uwanja wa haki nchini. Kamwe hawatokuwa watu wa haki, bali siku zote watalinda maslahi ya waliowateua

4. Jaji Mkuu ameshindwa kuwa mkuki wa haki nchini. Kwa hukumu zote kandamizi, na Maagizo anayoyatoa ya namna kesi ziendeshwe, ni dhahiri hakuna namna haki nchini inaweza kusitawi chini ya uongozi wake au uongozi wa aina yake, Ajitafakari aone mbona wenzie akina cjief justice Nyalali walikuwa hawana mambo kama yake, anashindwa nini kujifunza kutoka kwao?
Huyu jaji kupandishwa cheo sababu ya kesi ya mbowe na dini yake tu. Hana uadilifu wa kushika madaraka makubwa kama aliyozawadiwa
 
Haya mambo ya kesi yasikie tu kwa mwenzako,kwa hali ilivyo nchi hii wakubwa au wenye pesa wakiamua kukupoteza hakika utapotea tu,hili jambo liliwahi nifka hakika ctosahahau hili nchi
 
Binadamu watu wa ajabu sana.

Kwakuwa hakijatendeka kile ulichotarajia ndo una finalise eti hakuna mahakama nchini na majaji hawafanyi kazi kwa weledi mbona haya hukuyasema kwa kesi ya Sabaya bali mliishia kushangilia na kuisifu mahakama ile ile unayoilalamikia leo?

Tuache unafiki, tuacheni mahakama itimize majukumu yake kama ilivyokuwa kwa kesi nyingine ikiwemo ya Sabaya!

WATU KAMA NYIE KWA UNAFIKI HUU NDIO MNAFANYA HATA JUHUDI ZA KUDAI KATIBA MPYA ZIWE MFU, MNAANGALIA MASLAHI YENU TU NA SI YA UMMA MNATEGEMEA NANI ATAWAUNGA MKONO?

TUTAELEWANA TU!
Mboye na sabaya nani mwenye kesi ya kubumba?

Kingai na mahita walipoteana mahakamani kwenye maswali Kuhusu PGO inavyofanya kazi

Jaji siyani kumbuka kauli hii "Ee mwanadamu uliyezaliwa na mwanamke siku zako za kuishi dunian ni chache"
 
Huyu jaji kupandishwa cheo sababu ya kesi ya mbowe na dini yake tu. Hana uadilifu wa kushika madaraka makubwa kama aliyozawadiwa
Ulichokisema ni 100%, japo watu wanapata shida kuunena ukweli huu.

Kwa sasa huyu mama anaunda kundi lake la kumlinda na kupitisha ajenda zake. Na katika hili kwanza anajishika kwenye kwenye vigezo viwili.

Wanaoshamgilia sasa, huko mbeleni watapiga kelele sana, watakapojiona wote wapo uani wakati wenzao wakiwa chumbani.
 
Hapa nchini katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na mambo ya kusikitisha sana kutoka kwa mhimili wa mahakama.

Mwendenendo wa Mahakama zetu nchini umekuwa ni mwenendo usio na afya njema katika utoaji wa haki nchini, na kwa bahati mbaya inaonekana mahakama yetu imeridhika na kuridhia hali hii na matokeo yake tunaona leo hii kesi hasa zile zenye maslahi ya kwa watawala zinaamuliwa kiajabu ajabu bila kujali kuwa kwa kufanya hivyo unaumiza wananchi.

1. Kauli ya Jaji Mkuu kuwataka majaji waamue kesi si kwa kuangalia sheria tu bali waangalie na mihimili mingine inasema nini

Wakati akimuapisha Jaji kiongozi (Mustafa Seyani), Jaji Mkuu alitoa kauli hilo, Hii maana yake nini?, maana yake ni kuwa Majaji sasa wanakwenda kuingiza ndani ya hukumu zao matashi na miongozo ya watawala, miongozo ya watawala. Kwahiyo Jaji mkuu anaagiza mahakama icompromise wajibu wake wa kutafsiri sheria zilizotungwa na bunge na kutenda haki na badala yake majaji waanze kutafsiri sheria katika lenzi ya watawala wanataka nini. Kwa kweli hii kauli na agizo la jaji mkuu ni ya kusikitisha sana. Kiufupi ameiweka mahakama katika nafasi ya kucollaborate kufanya dhulma katika nchi!

2. Kumekuwepo na rushwa ya madaraka kwa majaji

Kipindi cha Magufuli, Hakimu aliyetoa hukumu ya kuwafunga akina Mbowe na Msigwa (kesi ya Akwilina Akwilin) alipandishwa cheo na kuwa Jaji, Hakimu aliyemfunga Sugu alipandishwa cheo na kuwa Jaji. Na hukumu za mahakimu wote hao baadae zilitenguliwa na mahakama za juu, Leo Jaji Seyani akiwa anakaribia kutoa hukumu ya shauri dogo linalohusu wasaidizi wa Mwenyekiti Mbowe katika kesi inayomhusu pia Mwenyekiti Mbowe anapandishwa cheo na kuwa Jaji kiongozi. Hii kama siyo rushwa ni nini?. Hawa Majaji wakiletewa kesi zenye maslahi kwa watawala ambao waliwateua watatenda haki kweli?Mfumo wa mahakama unaoruhusu, kukubali, kushiriki na kubariki teuzi za namna hii kimsingi ni mfumo ambao uko tayari kutumika kuharibu haki nchini

3. Precedence ya hukumu hizi zinazotolewa kuridhisha watawala zitaumiza wananchi kwa miaka mingi ijayo, sijui kama Majaji wetu wanalifahamu hilo.

Leo hii Jaji Seyani anaenda kutoa hukumu, hanukuu kifungu chochote cha sheria kujustify hukumu yake. Anatoa hukumu kwa "kudhani", "kwa maoni yake binafsi", hafanyi reference yoyote. Hii inaweka precedence gani?. Jaji anatoa hukumu bila kuzingatia miongozo na sheria za kipolisi katika ukamataji, uchukuaji wa maelezo, na ushahidi wa wazi wa watuhumiwa kuteswa, na yeye jaji anakiri kuwa kuwa mtuhumiwa anaonekana aliumizwa sana, lakini anatoka hapo anatoa hukumu ya kumnyima haki victim. Hii inaweka precedence gani katika utendaji wa jeshi la polisi?, Maana yake ni kuwa jeshi la polisi litakamata watu, kuwatesa, na mahakama za chini zijazo zitatumia hukumu ya Jaji Seyani kama reference ya kujustify matendo yao. Laiti Jaji Seyani angejua Damage aliyoifanya katika mizania ya haki nchini, basi cheo chake hicho cha Ujaji Kiongozi angeona si lolote si chochote!. Binafamu umri wetu ni mdogo sana, Haya mavyeo ya kukaa nayo muda mchache yanafaa nini halafu unaondoka duniani unaacha precedence za kuumiza watu kwa miaka lukuki?

4. Mahakama imekuwa ikishiriki michezo ya mhimili wa dola kutesa, kupotezea muda watu

Tumeona kesi nyingi zikitajwa tu lakini mashauri hayaanzi, eti ushahidi haujakamilika, kesi zinachukua hata miaka. Mahakama inao uwezo wa kufutilia mbali kesi za namna hiyo. Watu wanaumia, lakini as long as kesi ni za kisiasa, au mhimili wa serikali umeweka mkono wake, Mahakama haifurukuti kutenda haki. Tuliona hilo kwenye kesi ya Masheikh wa uamsho, na zipo kesi nyingi nchini za namna hii. Sasa katika mazingira haya hii mahakama ni ya kuaminika?

HITIMISHO
1. Hatuna mahakama huru Tanzania, ni wajibu wa kila mwananchi anayejielewa kupigani katiba mpya ili ndani yake tupate mfumo wa mahakama ulio huru

2. Ni dhahiri kuna ushirika usio mtakatifu wa mihimili hii mitatu, na kwa bahati mbaya mfumo wa Mahakama nchini umeamua kujidogosha tena wakati mwingine bila sababu za msingi, na hivyo tegemea tu kutotendewa haki iwapo serikali imedhamiria usipate haki. Serikali ikikukamia huna kimbilio

3. Hukumu za hawa majaji, ambao teuzi zao ni za mashakamashaka ni msumali wa moto katika uwanja wa haki nchini. Kamwe hawatokuwa watu wa haki, bali siku zote watalinda maslahi ya waliowateua

4. Jaji Mkuu ameshindwa kuwa mkuki wa haki nchini. Kwa hukumu zote kandamizi, na Maagizo anayoyatoa ya namna kesi ziendeshwe, ni dhahiri hakuna namna haki nchini inaweza kusitawi chini ya uongozi wake au uongozi wa aina yake, Ajitafakari aone mbona wenzie akina cjief justice Nyalali walikuwa hawana mambo kama yake, anashindwa nini kujifunza kutoka kwao?
Maendeleo hukwama kutokana na kunyimwa haki, 'whatever affect a person directly, affect all indirectly'
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
AIgmal.jpg
 
Wapenzi wa chadema mna Tatizo la ubinafsi kama wa Tundu Lissu. Tunasema sheria ni msumeno hukata pande zote. Mnataka mahakama iwe inapendelea chadema tu? Tulishuhudia majigambo ya makomandoo PGO etc na akina Erythrocyte wakawa wabobezi wa sheria! Tukawmbiwa Amsterdam keishatinga uwanjani. Tukamwona Sky Eclat anavyonguruma na kama kawaida brazaj akionesha ufahari wa kufasiri sheria. Mnakera muwe na subra wakati mwingine! Maneno mengi na tambo za kumnyanyapaa Kiangi na mtoto wa mahita
 
Mkuu acha unafiki.

kwa maoni yako na wafuasi wa Mbowe kwa wao ili waone Haki imetendeka wanataka Mahakama iamue kama wanavyo taka wao.

kinyume chake wanaibuka na madai ya kuchafua vyombo vyetu!! na kudai Mahakama haija tenda haki.

Huo sio utawala wa sheria, utawala wa sheria ni kuheshimu maamuzi yoyote ya Mahakama.

2. Mlitaka Asiteuliwe kuwa Jaji kiongozi eti kisa anasikiliza kesi ya Mbowe?! huo utaratibu wa wapi!! hoja za kitoto kabisa!!

Jaji Siyani ana sifa zote nzuri hata wafuasi wa Mbowe walimsifu sana tena sana sasa kutokana na sifa hizo alizo nazo za uadilifu zimempendeza Mhe. Rais na Kumteua awe msimamizi wa Majaji wote sasa tatizo lipo wapi hapo?!

Ifike mahali Vyombo vyetu vinapaswa kukemea tabia hii ya wafuasi wa Mbowe kutaka kushinikiza Mahakama ziamue kama wanavyotaka wafuasi wa mbowe, hili ni jambo hatari sana ktk utendaji wa Haki.

Mtoa mada uchambuzi wake hauna uthibitisho zaidi ya hisia zenye lengo la kuushinikiza Muhimili wa mahakama kutenda haki kwa jinsi wanavyo taka wao.
Mbowe na genge lake wanataka kuziendesha Mahakama, Polisi na vyombo vingine kwa mbinu za kubeza na kudhihaki n.k, vyombo vyote vinapaswa kuwa Makini sana wa genge hili kamwe wasikubali kuhadaiwa na kauli za genge hili.

Mahakama haiendi hivyo.
Siku wewe na ndugu yako yatakapokufika na utaelewa alichokiandika hugo Jamaa
 
Umesema vema kabisa,hawa jamaa wao hutaka lao lipite tu hata Kama ni la hovyo ndo hawahawa meno yote yalikuwa nje Sabaya alipomwagiwa mvua ya miaka,na angeshinda kesi wangesema majaji wanapendelea.
Siyo wa kuwasikiliza hawa hawana chema,hizi zote ni dalili za kutaka nchi isitawalike.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom