Ni dhahiri kocha Omog anapangiwa kikosi

Week nzima wameshinda Sumbawanga kutafuta point tatu za Prisons. The teh teh!
 
Katika Ratiba ya TFF sijaona ni lini Simba sc, tunacheza na timu ya Ndanda katika mzunguko wa kwanza.
Naona mechi zinazofuata ni dhidi ya Kipuli (Dar), Singida utd (Dar), Kagera (Dar), Majimaji (Dar), ni mechi ya mwisho ya mzunguko wa kwanza.
Sijaona Simba ilipo pangwa kucheza na Ndanda fc.
 
Wewe itabidi ukapimwe kinyesi.... Yani ninawashangaa sana nyie [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG]! Mukiona Simba inapata Mafanikio inawauma sana... Poa wacha iwe Hamna Kitu as long as tunakamata Points 3 kila Game.
Nyie tushikieni nafasi wanaume tunakuja. *****
 
Back
Top Bottom