Ni dhahiri jalada la kashfa ya Richmond litatinga mahakama kuu

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,344
Kwa namna mambo yanavyokwenda, taratibu nimeanza kuamini kwamba hivi sasa ni suala la wakati na majira tu watanzania tutajua siri yote ya mhusika mkuu wa Richmond.

Ili mradi kiongozi mkuu wa nchi kaingia ulingoni kama mlalamikaji kupambana na Lowassa tuliyedhani ndiye mtuhumiwa namba moja wa kashfa ile mambo yanaonekana yatakaa vizuri muda si mrefu.

Ingawa ngumi za jeb za mlalamikaji zinarushwa ovyo hewani wakati zikielekezwa kwa mtuhumiwa huku zikimpalaza msindikizaji wake (Lissu), haijulikani ni kwa nini anampiga jeb msindikizaji badala ya kumdunda moja kwa moja opponent wake.

Lakini lililo dhahiri ni kwamba ilimradi sasa mabondia wamekubali kuingia ulingoni kuzichapa anayesubiriwa ni refa wa kati na majaji washike nafasi zao, tumpate mshindi aliyehusika na kashfa ile ya Richmond.

Ni suala la kusubiri wakati na majira tutamjua mshindi wa Richmond.
 
JK sijui kwa nini hajifunzi katika maisha yake..Amekitia chama kwenye shida kubwa kwa kumuwekea zengwe Lowassa...chama kimeparanganyika vibaya sana..sasa hivi kaana mambo ya Richmond..haya bwana nyie fungulieni tu hilo jini kutoka kwenye chupa mtajutaaaa
 
Hakuna kitu kama hicho kwa jinsi mwenendo wa mambo ulivyo lingekuwepo jk asingelalamika kimafumbo.
 
Justice delayed is justice denied! Kama wao wasipomtaja au kutajana basi watanzania watamtaja. Magufuli hatamlea fisadi huyu papa.
 
JK sijui kwa nini hajifunzi katika maisha yake..Amekitia chama kwenye shida kubwa kwa kumuwekea zengwe Lowassa...chama kimeparanganyika vibaya sana..sasa hivi kaana mambo ya Richmond..haya bwana nyie fungulieni tu hilo jini kutoka kwenye chupa mtajutaaaa
Kigogo mbavuuu zanguuuu...
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaamini kuwa CCM wangekuwa na jalada chafu la Lowasa wangekaa nalo mpaka saa hizi, au Mh angeanza mipasho kuwa anatembea na Lisu, Jalada linawachafua wenyewe zaidi ndio maana unaona wanazungua mbuyu tu.

Kawaulize usalama wa taifa wakakuonyeshe faili la maovu na siri za babu mgonjwa ila usigeuke chizi
 
kwi kwi kwi huo utakuwa usalama wa msoga ndo mana jk mwenyewe anaongea kimipasho ya pwani na sio kama rais mwenye mamlaka vinginevyo mkono wa sheria ungeonekana tangia 2008
 
....richmond ni kokoro....kama lilivokuwa escrow.....ccm hawana wakumfunga paka kengele.....ndio mana walishindwa kumfungulia kesi lowassa.....maana wanajua mhusika mkuu nae atakuwemo....Hivi kwa jinsi lowassa anavyowatesa ccm sasa kweli wangemwacha tu kama angekua amehusika na richmond!!!....wanamjua nani mhusika mkuu ...na lissu kamtaja...kudos lissu!!...tunahitaji watu tz wenye uthubutu kama wa mh.lissu...
 
JK sijui kwa nini hajifunzi katika maisha yake..Amekitia chama kwenye shida kubwa kwa kumuwekea zengwe Lowassa...chama kimeparanganyika vibaya sana..sasa hivi kaana mambo ya Richmond..haya bwana nyie fungulieni tu hilo jini kutoka kwenye chupa mtajutaaaa
....exactly....kama hiyo haitoshi bado JK amesahau tayari kuwa hata issue ya escrow alipotajwa tajwa haijaisha masikioni mwa watanzania bado.....anapoanza kutaja watu richmond anasahau kuwa watu wakifunguka hata yeye hatopona....anasahahu kuwa kuna kiporo kikubwa kwenye kiini macho cha pesa za rumbesa stanbic na ile simba trust.....Jk anataka sasa vita ya urais iwe JK vs Lowassa na si Lowassa vs Magufuli.....na bado kazi ya kuisafisha ccm wala haijaanza....
 
tangia ile taasisi yenu ifungiwe iliyokuwa ikiitwa nyie kwa nyie naona akili zimekuruka kabisa.

JK sijui kwa nini hajifunzi katika maisha yake..Amekitia chama kwenye shida kubwa kwa kumuwekea zengwe Lowassa...chama kimeparanganyika vibaya sana..sasa hivi kaana mambo ya Richmond..haya bwana nyie fungulieni tu hilo jini kutoka kwenye chupa mtajutaaaa
 
hivi mnatumia vigezo gani kuwa lowasa anawatesa ccm? binafsi sioni lowasa akishinda.
angeweza kuwa hata rais mzuri lakini siioni kabisa hiyo nafasi ya lowasa kushinda. mwishoni mwa october tukutane humu tena.

....richmond ni kokoro....kama lilivokuwa escrow.....ccm hawana wakumfunga paka kengele.....ndio mana walishindwa kumfungulia kesi lowassa.....maana wanajua mhusika mkuu nae atakuwemo....Hivi kwa jinsi lowassa anavyowatesa ccm sasa kweli wangemwacha tu kama angekua amehusika na richmond!!!....wanamjua nani mhusika mkuu ...na lissu kamtaja...kudos lissu!!...tunahitaji watu tz wenye uthubutu kama wa mh.lissu...
 
hivi mnatumia vigezo gani kuwa lowasa anawatesa ccm? binafsi sioni lowasa akishinda.
angeza kuwa hata rais mzuri lakini siioni kabisa hiyo nafasi ya lowasa kushinda. mwishoni mwa october tukutane humu tena.
Mimi sioni Pombe Magufuli akishinda uchaguzi wa mwaka huu.

Dalili zote zinakataa. Kura za maoni za humu JF zinamgaragaza Magufuli kwa mbaaali mno. Hebu cheki hapa;

Edward Ngoyai Lowassa = 82%

John Pombe Magufuli = 13%

Wengine = 3%

Unaweza kusema JF imejaa BAVICHA ndiyo maana jamaa anaongoza dhidi ya jamaa yenu. Ondoa hiyo kabisa kichwani mwako!!

Na hii ni reflection ya uchaguzi halisi Na kama kuna error, basi ni -5%!!

Jiandaeni kukabadhi madaraka ya nchi kwa amani kwa sbb mkijifanya kushapaza shingo, tutawatoa kamasi!

Lakini ukumbuke humu
 
nataabika sana na uelewa wako. hivi na bibi yako siku hizi naye anaingia humu JF? unajua JF ina member wangapi? na tena wengine wana IDs zaidi ya 5.
narudia tena. na wasiwasi na uelewa wako.
au kama unamaanishi ushindi wa humu mitandaoni basi lowasa kashinda. maana hata wengi waliopo humu hawaishi Tanzania. tumia akili kufikiri.

Mimi sioni Pombe Magufuli akishinda uchaguzi wa mwaka huu.

Dalili zote zinakataa. Kura za maoni za humu JF zinamgaragaza Magufuli kwa mbaaali mno. Hebu cheki hapa;

Edward Ngoyai Lowassa = 82%

John Pombe Magufuli = 13%

Wengine = 3%

Unaweza kusema JF imejaa BAVICHA ndiyo maana jamaa anaongoza dhidi ya jamaa yenu. Ondoa hiyo kabisa kichwani mwako!!

Na hii ni reflection ya uchaguzi halisi Na kama kuna error, basi ni -5%!!

Jiandaeni kukabadhi madaraka ya nchi kwa amani kwa sbb mkijifanya kushapaza shingo, tutawatoa kamasi!

Lakini ukumbuke humu
 
Kwa namna mambo yanavyokwenda, taratibu nimeanza kuamini kwamba hivi sasa ni suala la wakati na majira tu watanzania tutajua siri yote ya mhusika mkuu wa Richmond.

Ili mradi kiongozi mkuu wa nchi kaingia ulingoni kama mlalamikaji kupambana na Lowassa tuliyedhani ndiye mtuhumiwa namba moja wa kashfa ile mambo yanaonekana yatakaa vizuri muda si mrefu.

Ingawa ngumi za jeb za mlalamikaji zinarushwa ovyo hewani wakati zikielekezwa kwa mtuhumiwa huku zikimpalaza msindikizaji wake (Lissu), haijulikani ni kwa nini anampiga jeb msindikizaji badala ya kumdunda moja kwa moja opponent wake.

Lakini lililo dhahiri ni kwamba ilimradi sasa mabondia wamekubali kuingia ulingoni kuzichapa anayesubiriwa ni refa wa kati na majaji washike nafasi zao, tumpate mshindi aliyehusika na kashfa ile ya Richmond.

Ni suala la kusubiri wakati na majira tutamjua mshindi wa Richmond.

Huyo jk ndiye rais wa JMT aliogopa nini kumtaja moja kwa moja muhusika wa richimond?
 
hivi mnatumia vigezo gani kuwa lowasa anawatesa ccm? binafsi sioni lowasa akishinda.
angeweza kuwa hata rais mzuri lakini siioni kabisa hiyo nafasi ya lowasa kushinda. mwishoni mwa october tukutane humu tena.

Lowasa huwezi kumlinganisha na magufurii, lowasa ndiye rais wa JMT.
 
hivi mnatumia vigezo gani kuwa lowasa anawatesa ccm? binafsi sioni lowasa akishinda.
angeweza kuwa hata rais mzuri lakini siioni kabisa hiyo nafasi ya lowasa kushinda. mwishoni mwa october tukutane humu tena.

Lowasa ndiye rais
 
Attachments

  • 1442425814886.jpg
    1442425814886.jpg
    20.9 KB · Views: 849
Back
Top Bottom