Ni dhahiri akina Dr Slaa, Dr Migiro, Masilingi na Wazee wengine sasa watarudi nyumbani kupisha damu changa!

Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.

Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.

Kazi Iendelee!
Tupa kule majitu ya Jiwe akina Slaa aliowanunua kukomoa Chadema. Safi sana. Tupa kule Slaa. Akija anakuwa Katibu mkuu CCM
 
Wewe chawa wa ccm.
Hivi Migiro na Slaa hao ni wa kubeza?
Bila shaka Slaa ndiye balozi bora na mwenye ushawishi.
Pili Migiro ni mzoefu sana Kimataifa.
Labda Masilingi arudi home tu hana lolote.
Hoyce Temu naye ni level nyingine
Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.

Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.

Kazi Iendelee!
 
Wewe chawa wa ccm.
Hivi Migiro na Slaa hao ni wa kubeza?
Bila shaka Slaa ndiye balozi bora na mwenye ushawishi.
Pili Migiro ni mzoefu sana Kimataifa.
Labda Masilingi arudi home tu hana lolote.
Hoyce Temu naye ni level nyingine
Umri ukifika lazima urudi nyumbani hakuna anayebezwa hapo.

Masilingi alimshughulikia Tundu Lisu kwenye mdahalo!
 
Back
Top Bottom