Ni dhahiri akina Dr Slaa, Dr Migiro, Masilingi na Wazee wengine sasa watarudi nyumbani kupisha damu changa!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,467
2,000
Damu changa gani?mtu alisha staafu jeshini muda mrefu leo unamteua awe balozi wakati vijana kibao wamehitimu na vyeti hapo diplomasia wanalima matikiti...kwangu si sw
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,977
2,000
Yanarudi yale yale - please revisit your skewed comments hivi kisaikolojia zina dhilisha kitu gani kuhusu hulka yako?? Ni wazi una chuki binafsi na baadhi ya mabalozi ambao wako nje wakiwakilisha Taifa letu - mtu uwezi kuwa na maendeleo maishani mwako ukiwa driven na wivu na roho mbaya - nyie mna mamlaka gani yakumpangia Madam President afanye nini ahache nini? FYI you lot don't count at all - yaani kwa akili zenu za ajabu ajabu za kuto ona mbali hata umri aliyo ufikia Rais wetu nae mnamuona umri umekwenda hivyo hafahi!!!

Akili za kitoto kabisa - mara ooh kuna mabalozi wamekwisha jiona ni wazungu,mara ooh taasisi nyingi za Serikali zimejaa wazee wanapashwa kuondolewa na kuingizwa vijana as if unaweza kubadirisha badirisha uongozi Serikalini na Ubalozini like bolts in a machine!! Kama huna ajila tafuta kazi nyingine za kukuingizia kipato kuliko kushinda humu mkiwasema sema Watanzania wenzenu vibaya mpaka mnafikia hatuwa ya kuwataja majina!!! - Kumbuka mama Samia hawezi kusikiliza ngonjera zenu zilizo jaa uchonganishi.
Sikuwa nimeelewa mpaka nililorudi juu kuangalia aliyeandika hii comment ndiyo nikaelewa
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,068
2,000
First and foremost, kajifunze kiswahili sanifu, wapi inafaa R na wapi inafaa L, acha ujinga.

Mama yetu Samia kafanya best decision kutoa mabalozi wazee waliokaa huko nje miaka na miaka, ww kama imekuuma kanywe sumu, na bado fagia fagia itaendelea tu,
Mtu kama Masilingi yafaa apumzike, too old na has nothing new.

I repeat kajifunze lugha ya mama yako kiswahili vizuri, acha kuchanganya L mara R. Shithole

Here we go again!! Tell you what Amigo? Your demonic traits of behaving like a drunken comet gonna cost you an arm and leg siku za usoni.

Sitachoka kukumbusha kwamba wewe ni binadamu mwenye envy by default - mfano: kati ya mabalozi wote why pick on "Masillingi" na kuanza kumsema sema vibaya - kwani amewahi kukwaza nini katika maisha yako? Punguza wivu ndugu yangu.
 
Bunsen Burner

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
581
1,000
Mhurumie huyo jamaa 'nshomile', anayeonekana ni mnufaika na mtetezi wa mabalozi ambao ni 'deadwood'....kazi iendelee.
First and foremost, kajifunze kiswahili sanifu, wapi inafaa R na wapi inafaa L, acha ujinga.

Mama yetu Samia kafanya best decision kutoa mabalozi wazee waliokaa huko nje miaka na miaka, ww kama imekuuma kanywe sumu, na bado fagia fagia itaendelea tu,
Mtu kama Masilingi yafaa apumzike, too old na has nothing new.

I repeat kajifunze lugha ya mama yako kiswahili vizuri, acha kuchanganya L mara R. Shithole
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,525
2,000
Here we go again!! Tell you what Amigo? Your demonic traits of behaving like a drunken comet gonna cost you an arm and leg siku za usoni.

Sitachoka kukumbusha kwamba wewe ni binadamu mwenye envy by default - mfano: kati ya mabalozi wote why pick on "Masillingi" na kuanza kumsema sema vibaya - kwani amewahi kukwaza nini katika maisha yako? Punguza wivu ndugu yangu.

I repeat second time, ur a total shithole, legs and arms labda nizichomoe zako, alafu mie napiga vibaya sana, usibishane na mm, napiga unakatika vipande, physically and mentally plus financially uko million times behind me, so keep shut, nasema wazee kama akina Masilingi hawafai, tena huyo Masilingi ni inshomile kama ww, so am repeating last time, shithole ww, na i will beat you, kazi kumpinga Mh. Rais humu tu, kaondoka Magu wa watu, mmempiga vita wee, now mnaanza na Mama Samia, i will beat you utakimbia like wild dog, acheni upuuzi, kazi kupinga pinga kila kitu.. Weweee ooh 😳🚑🚑
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,928
2,000
Hao jamaa ni Oil chafu, wameshachoka na wamezeeka, ndio mwisho wao umefika.

Hivi kale kachangudoa kalikoolewa na Dr.Slaa katakubali kweli kurejea tena Tz? Thubutu, huenda katasaka danga la kizungu ili kabakie huko huko. Dr. Slaa ajiandae kurejea mwenyewe Tz kuja kula mihogo ya kule Mbulu!
Zama zake zimekwisha.
khaaaaah
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
6,550
2,000
Wewe chawa wa ccm.
Hivi Migiro na Slaa hao ni wa kubeza?
Bila shaka Slaa ndiye balozi bora na mwenye ushawishi.
Pili Migiro ni mzoefu sana Kimataifa.
Labda Masilingi arudi home tu hana lolote.
Hoyce Temu naye ni level nyingine
Ubora wake ni upi na alishawishi nini?
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,116
2,000
Vituo bado kupangiwa lazima muombe nchi anayopangiwa wale waridhie ndioa ataenda
 
Kagemro

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
1,432
2,000
Hao jamaa ni Oil chafu, wameshachoka na wamezeeka, ndio mwisho wao umefika.

Hivi kale kachangudoa kalikoolewa na Dr.Slaa katakubali kweli kurejea tena Tz? Thubutu, huenda katasaka danga la kizungu ili kabakie huko huko. Dr. Slaa ajiandae kurejea mwenyewe Tz kuja kula mihogo ya kule Mbulu!
Zama zake zimekwisha.

When stupid minds discuss people, Life goes on. Working hard is what defines us.

C4013A87-FC96-4C7D-8AAF-5A2FD94A17F5.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom