Ni dhahili vijana hatufai kupewa nyadhifa kubwa serikalini

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Hilo Limejihidhilisha Wakati Vijana Wenzetu

> Poul Makonda = Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam

> Nape Nnauye = Waziri Wa Habar Sanaa na Michezo

> Mwigulu Nchemba = Waziri Wa Mambo Ya Ndan

Hawa ni Vijana Wenzetu Walio pewa Nyadhifa Kubwa tuu Serikalin Lakin Wamenisononesha kijana mwenzio wao kuhusika Katika Sakata Mrembo Wa Bongo Movie Wema Sepetu

Swala Hapa Ni Wao Kuhusika Kwa Namna Ya Kimahusiano ya Kimapenz Kama umeisikiliza vzr ile Clip ya Stev Na mama Yake wema Ndio Utagundua Hayo Na Inaonekana Kuna Mengi Sana Yanafichwa

Yani Mtu Kutokana Na Cheo Chake Anaamua Tuu Kutumia Cheo Chake Kama Fimbo Ya Kuwa chapa watu

Hili sio Jambo Zuri Kabisa Wazee Walianza Kutuamin Na Ndio Mana wakaweza Kutuchagua Katika Nyadhifa Izo

Leo Tunapo Zichezea izi Nafasi Kwa Hakika Tutakuja Kujutia Baadae

AHSANTEN
 
K

Kukataliwa kunauma. Hasa enzi ya via moja 2500
 
sio sahihi chief, makosa yanafanywa na watu wa umri wote, hata kama kweli wananafasi ya kujirekebisha

Mwaka 1964 Salim Ahmed Salimu akiwa na Miaka 22 aliteuliwa kuwa Balozi wa Misri. Kwa sasa tungesema ni mtoto lakini nidhamu na uwezo wake ulimpelekea kuwa nyota ya afrika ya kujivunia mkuu.

umri hauna uhusiano na makosa ya kiuongozi.
 
Sawa mkuu bt aliweza Ku Maintain Status yake Mpaka leo yupo vzr
 
Kosa limefanywa na waliowateua ambao wengi wao ni wazee, hao vijana uliowataja hawana kosa kwakuwa huo ndio uwezo wao, ni kama kuoa kahaba au barmaid halafu unamfumania kisha unalalama ati unaibiwa! Fikiria kumpa nafasi kubwa makonda ukirejea matusi dhidi ya Lowassa na kumtandika makofi Mzee Warioba lakini bado kuna waliomwona anafaa kuwa mkuu wa mkoa tena mkoa wenyewe DSM! Sasa Mchungaji au shekh kuoa kahaba ambae hajastaafu kazi ya kuuza mwili lawama iende kwa kahaba au huyo Mchungaji? Mimi akiteuliwa chizi akafyeka watu mapanga sintomlaumu huyo chizi bali nitamlaumu aliemteua
 
Wapo vijana ktk nchi hii wenye uwezo mkubwa na wameonyesha ila tatizo wengi wao hawapo ccm na hata wale waliopo ccm kama unauwezo wa kuongoza lakini kam babaako hajawahi kuwa rais, wazir mkuu, jaji mkuu, etc hata kama unalala lumumba na shuka lako ni bendera ya ccm utaishia kufunga viatu vya watoto wao ndo angalau utapewa ukuu wa mkoa chezea ccm weye
 
wazee washa kaa sana kwenye izo nyadhifa na hakuna cha maana walicho fanya wacha vijana wapewe tu

ila hao vijana ulio wataja wamejawa na utoto sana mpaka naogopa, uchonganishi wao, kisasi wao yaani vurugu tupu.
 
Mkuu umeongea kinyonge Sana, Nimezoea kukuona jukwaa letu pendwa kule, kuhusu mada yako Ni kweli jamaa wameharibu ILA haina maana vijana wote tupo kama wap, Imagine mtu kama Ben Saanane angepewa kitengo nyeti, tungekua mbali Sana.
 
Mleta uzi nimekubaliana na maelezo yako yote umenichefua hapo uliposema wazee walianza kutuamini!! Kwa mtazamo wako wazee ndio wanaotoa madaraka, kwanini sisi vijana ndio tusiwe wagawa madaraka. Amka ndugu hao wazee ni watafutaji tu kama ww na wala wao sio wagawa madaraka.
 
Kosa limefanywa na waliowateua ambao wengi wao ni wazee, hao vijana uliowataja hawana kosa kwakuwa huo ndio uwezo wao, ni kama kuoa kahaba au barmaid halafu unamfumania kisha unalalama ati unaibiwa! Fikiria kumpa nafasi kubwa makonda ukirejea matusi dhidi ya Lowassa na kumtandika makofi Mzee Warioba lakini bado kuna waliomwona anafaa kuwa mkuu wa mkoa tena mkoa wenyewe DSM! Sasa Mchungaji au shekh kuoa kahaba ambae hajastaafu kazi ya kuuza mwili lawama iende kwa kahaba au huyo Mchungaji? Mimi akiteuliwa chizi akafyeka watu mapanga sintomlaumu huyo chizi bali nitamlaumu aliemteua
Nimejifunza Kitu Hapa Ndugu Yangu Shukran
 
Mkuu umeongea kinyonge Sana, Nimezoea kukuona jukwaa letu pendwa kule, kuhusu mada yako Ni kweli jamaa wameharibu ILA haina maana vijana wote tupo kama wap, Imagine mtu kama Ben Saanane angepewa kitengo nyeti, tungekua mbali Sana.
Nimepigwa marufuku Huko Ndugu Yangu Wife Hatak Kusikia Habar za Ilo Jukwaa Ila 1 day nitachepuka
 
Mleta uzi nimekubaliana na maelezo yako yote umenichefua hapo uliposema wazee walianza kutuamini!! Kwa mtazamo wako wazee ndio wanaotoa madaraka, kwanini sisi vijana ndio tusiwe wagawa madaraka. Amka ndugu hao wazee ni watafutaji tu kama ww na wala wao sio wagawa madaraka.
Nikisema wazee namaana pana Sana ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom