Ni dawa gani zinatumika kwa wagonjwa wa Corona kwa hawa waliopona?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,727
10,023
Nchi nyingi sasa zinakadiriwa kuwa na wagonjwa wa corona huku wengi wao wakipona na wengine wakipoteza fahamu milele.

Hivi ni dawa gani zinawasaidia hawa wanaopona tuanze kujichanga kuweka store bado mapema.
 
Kwa jinsi nilivyosoma mimi wanadai hizo ndo zimesaidia sana
IMG_20200314_150858_124.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom