Ni dalili ya utapeli au ndo mwelekeo wa kupata ajira mpya?

Kama ni jamaa anajiita "Mhamasishaji" na anadai yuko Mbeya basi huyo ni tapeli.
 
Kwenye hii episode yangu Mwawalo ka play part as manager at GDM na mwenzie Mahona as connector ahaaaaaa Hawa jamaa Ni virus
Afu bado hahajajua kama mchezo umeshitukiwa bado ananitafuta kwa simu kuniuliza nimefikia wapi kuhusu kujiongeza et hata 50,000 kwa kuwa napitishwa bila interview
Pia kuna dada mmoja huwa wanamtumia.
 
Nilianzisha uzi kuhusu huyu jamaa alivyotaka kunitapeli ila Mods wakaufuta,sijajua kwanini waliufuta.
Mods naona hawataki members kuwa na taharuki na kututaka tuendelee kuamini kuwa jukwaa liko salama.
Uzi huu ukifutwa tutajua ukweli wa jambo
 
We jamaa yaan umeomba msaada afu tumekupa njia sahiv unasema sis ni matapel!!

Nakuambia utajuta na usitutafute tena!!!!

Shwain!!!
Matapeli NYIE, Mimi mmeshawahi kuniambia kuwa mpo kwenye office za customer (border Tunduma)... Ety mniunganishie nafasi za uwakala😂😂😂huyu mwingine mna mwambia ety nyie ni maMANAGER wa kiwanda Cha kahawa....Guys are you serious??🐒🐒ACHENI UPUMBAVU TAFUTENI HELA KWA JASHO..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom