Ni dalili ya utapeli au ndo mwelekeo wa kupata ajira mpya?

Huyo jamaa mahona alishawah jaribu kunitapeli wakat natumia id fulan kabla sijaachana nayo baada ya kusahau password kinachoonekana hawa jamaa ujanja wao n mwisho mbeya tu ndio maeneo wanayoyajua

Mm walidai wataniunganisha na shirika moja HJFMR Kama sikosei jina lake

Wakawa wasumbufu balaa wanataka hela kwanza nikawapotezea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumewaumbua sana Leo n huyu mahona kanitafta inbox anasema atatumia majina mengine na namba zingine so kuweni makini na hawa wapumbavu wasio jua kutafta pesa
 
Matapeli NYIE, Mimi mmeshawahi kuniambia kuwa mpo kwenye office za customer (border Tunduma)... Ety mniunganishie nafasi za uwakalahuyu mwingine mna mwambia ety nyie ni maMANAGER wa kiwanda Cha kahawa....Guys are you serious??ACHENI UPUMBAVU TAFUTENI HELA KWA JASHO..
Mtanitoa damu jama mi nimechangamsha jukwaa tu!!!!

Wala siusiki huku.....

Kwenye hii episode yangu Mwawalo ka play part as manager at GDM na mwenzie Mahona as connector ahaaaaaa Hawa jamaa Ni virus
Afu bado hahajajua kama mchezo umeshitukiwa bado ananitafuta kwa simu kuniuliza nimefikia wapi kuhusu kujiongeza et hata 50,000 kwa kuwa napitishwa bila interview
Hawa jamaa mafala kweli, yani anataka hata fifty kulalake!!
 
Me huwa najiuliza kitu kimoja wazee, hivi hawa wezi na matapeli wanaotumia mwamvuli wa supermarket Mlimani City Au JK Nyerere Airport Terminal huwa wanashirikiana na mamlaka?

Maana hadi huwa wanabandik matangazo yao kweupe tu kila siku na hakuna anayewagusa

Au ndiyo kusema system zetu za security ni mbovu kiasi cha kushindwa kutrack ata simu wanazowek kwa matangazo yao?..

Km ni hivyo Basi hatuna Police hapa maana huo ni udhaifu mkubwa mno.

Ni lini watabadilika hawa police?
 
[/!QUOTE]
wana ujuzi na kukimbizana na vibaka tu
 
Hawa jamaa mafala kweli, yani anataka hata fifty kulalake!!
Jinsi walivyo wanakuaminisha kwa kutaka hela ndogo ndogo,then hapo baadae wanatia ugumu na kukupandia dau ili ushindwe ww, "mkuu ndugu yao" hawampigi mtu humu
 
Mkuu weka na email yao open kabisa watu waione
Wana email nyingi hawa jamaa,nili appy kwa email nyingine waliyonipa waka reply kwa email nyingine pia na bila shaka watakuwa na ID nyingi pia humu jamvini,anyway kikubwa ni kutokubaliana na yeyote mwenye kutaka umpe pesa ili upate ajira,na pia wakihitaji pesa dawa yao ni kuomba muonane physically kwa pembeni unakuwa na wenye dola.
Nilipojaribu kuwaambia kuwa jumatatu tar. 20 September (japo kwa kuwadanganya) kuwa nina safari ya Vwawa hivyo nitashuka hapo mlowo niwapatieni hiyo 50,000 hapo ndo wakastuka na kunipanga niitoe kabla ya siku ya usaili,kudadeki zao
 
😂😂😂😂Ndo huyo huyo mkuu ameweka kabendera ka chama Cha mapunduzi DP, namba zake hizi hapa +255 762 680 907 na +255 757 450 117
HUYU NI TAPELI SANA JAMANI..HUMU NDANI KUWENI MAKINI naikiwezekana aripotiwe
 
Back
Top Bottom