Ni course gani naweza kusomaa kwa matokeo haya?

Ali Muhammad

Member
Feb 22, 2021
5
3
Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo:

Physics D
Chemistry S
Advance mathematics B

Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
 
Ni chuo cha serikali nipigie kwa 0756936931 kwa maelezo zaidi
Screenshot_20210718-085043.jpg
 
Dogo kafanye BSc. Economics. wala usihangaike kujitutumua kwenye mambo ya Afya ama engineer, fanya iyo kitu na jitahidi kufaulu vyema, na ukipata nafasi wakati unasoma hii course changanganya na optuonal course za finance na investments kutegemea na nafasi ya muda pamoja na chuo unachosoma. Ukifanikiwa kutoka vizuri huku nje unaweza kuwa mtu mzuri hata wasupokuajiri.

Mtu namna yako anakuwa makini na mwenye uthubutu wa kuanza mambo yake mwenyewe. Ukitoka usisubiri kuajiriwa anza kujianzisha mwenyewe.
 
1.Electrical engineering
2.mechanical engineering
3.civil engineering
4.biomedical engineering


Soma moja kati ya hizi utanishukuru badae!
 
Back
Top Bottom