kwani hao ndio takukuruJamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
kweli kaka nakumbukaHatujasingizia.logic ni kuwa huo ufisadi uliibuliwa na Clifford ndimbo enzi akiwa times FM akafukuzwa kazi.clouds kupitia kipindi cha michezo ndio wakaishikia bango kwelikweli.na kama unafuatilia clouds wao wanampigia tembele kampeni awe rais ajaye wa Tff
Kweli mkuu, dude limeamshwaClouds na shafii dauda wao wakiuamshia dude huponi
Matumizi mabaya ya pesa pale tffSababu ya kukamatwa ni ipi jaribu kutuelewesha