Ni chuo gani kati ya hivi ni kizuri katika fani ya accounting na katika kuajirika?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,185
5,105
Kati ya:
1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance)
2. UDOM (B. Com Accounting)
3. Mzumbe (BAF)
4. TIA (BAF in Public Sector)
5. UDSM (B. Com Accounting)
6. University of Iringa (BAF)

In terms of ajira na kujiajiri, and how products are evaluated in labour market?
 
Kati ya:
1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance)
2. UDOM (B. Com Accounting)
3. Mzumbe (BAF)
4. TIA (BAF in Public Sector)
5. UDSM (B. Com Accounting)
6. University of Iringa (BAF)

In terms of ajira na kujiajiri, and how products are evaluated in labour market?
udsm in the best, kampuni nyingi zinaamini ubora wake, pia walimu wake wengi hufundisha CPA, huta pata tabu badae,
 
Dah , nmependa your advice . Ila BAF ya ARDHI UNIVERSITY is the best hakuna cha MZUMBE WA TIA WA MOCU .

Aru hiyo .
 
Kati ya:
1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance)
2. UDOM (B. Com Accounting)
3. Mzumbe (BAF)
4. TIA (BAF in Public Sector)
5. UDSM (B. Com Accounting)
6. University of Iringa (BAF)

In terms of ajira na kujiajiri, and how products are evaluated in labour market?
Hata ukisoma harvard, kama bichwa lako ni zito hutokaa uwe bora.
 
qn of sheba , utasomaje qualification without entry academic requirement au unasema nikaanze na NABE ,?
Maana yake vyuo vyote ni sawa tuu muhasibu anapimwa kwa CPA sio degree alisoma wapi, so nenda kokote. Usifikiri kama ukisoma Mzumbe BAF utapata priority kwenye ajira kumshinda aliyesoma Accounting TEKU lakini ana CPA
 
nimesoma IAA arusha nipo serikaloni kama muhasibu (nlipata cpa baada ya kuajiriwa ). pia nina marafiki ambao hawajaajiriwa ama wanafanya vitu tofauti kabisa ila walisomea uhasibu chuo nlichosomea na vyuo vingine lukuki.

Nakukumbusha tu zile stori za kutegemea ajira ukimaliza chuo flani huwa ni maada za wanafunzi waliojazwa upepo na waalimu wao huko vyuoni ama wahitimu wabichi.
 
Back
Top Bottom