Ni changamoto zipi ambazo umezipitia mpaka kufanikiwa kupata job? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni changamoto zipi ambazo umezipitia mpaka kufanikiwa kupata job?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wild fauna, Sep 21, 2012.

 1. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Zipo changamoto nyingi nyingi wengi wetu tumepitia na bado hatujafanikiwa kupata kazi ila wapo walopitia hzo misukosuko,
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  orodhesha zako
   
 3. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Prakatumba mie nishapeleka application letter kwenye ofice flan yule secretar wa bosi akaniita kando then akanambia hyo kitu uliyoomba ipo nafasi ila tayar hyo position ishaekewa booking kitambo.so katafute mambo mengine ya kufanya hapa hutapata,nikaondoka kichwa chini huku nikifanya doria kuwa ni kweli? Matokeo yake after one week akawekwa mdada pale.ila cha kushangaza sasa yule dada amejifungua juzi na mimba ilikua ya yule bosi wake
   
 4. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimewalaza wachezaji wa yanga wawili chumba kimoja, pesa nikatia ndani na leo hii nimefukuzwa kazi yanga.
   
 5. C

  Complex number JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kujifunza kuwa mvumilivu kwa lazima.
   
Loading...