Ni chama gani cha upinzani kimejipanga kuiondoa CCM madarakani?

Oct 26, 2021
98
286
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI?

Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani vimeendelea kutoimarika na kupoteza mvuto kisiasa.

Mnamo mwaka 2005 hadi kufikia 2015 CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kwa miaka zaidi ya 10 kilionesha makali yake kwa kusimamisha wagombea imara na kukipa Chama Cha Mapinduzi kama chama tawala toka Tanganyika ipate uhuru wake na kuwa kuundwa kwa Tanzania upinzani wa kueleweka.

Haikuishia hapo bali CHADEMA ilisimama imara katika kuhakikisha inatoa changamoto kwa wabunge wa CCM ambao waliunda selikali tawala kwa asilimia kubwa bungeni. kwenye bunge kwa miaka hii asa kuanzia 2005 mpaka 2020 CHADEMA imetoa changamoto za kisela, kiutekelezaji na kulitaka bunge kubadili sheria asa zilizopitwa na wakati kama kazi kuu ya bunge chini ya ibara ya 64(5) ya katiba ya nchi sura ya 2 ya mwaka 1977.

Vita ya upinzani ilimarika na kupelekea kwa mwanasiasa mkongwe kwa siasa za Afrika ndgu. Zuberi Zitto Kabwe kuanzisha chama cha upinzani. Iki mpaka kufikia sasa makala hii inaruka hewani ACT WAZALENDO haijawa chama kikuu cha upinzani kulingana na vigezo mbalimbali ikiwemo coverage ya wananchi; Mda tokea chama kianzishwe pia viti walivyopata bungeni. Uanzishwaji wa chama iki pia ni kuona ni kwa namna gani sela na itikadi kupishana baina ya viongozi wa juu wa vyama mbalimbali uku wakiwa na lengo kuu la kuiondosha selikali ya CCM madarakani.

Mwaka 2015 vyama vya upinzani viliungana kuona kama wataweza kuiondoa selikali ya CCM madarakani wakimsimamisha mgombea mmoja kwa kupitia UKAWA ambaye alikuwa ni ndgu. EDWARD NGOYAI LOWASA.

Mpaka kufikia sasa inaonesha kuwa selikali ya CCM sio rahisi kuondoka madarakani na je ni chama kipi cha upinzani kimejipanga kwa miaka hii mitatu iliyosalia kuiondoa CCM madarakani?

Je, vyama vya upunzani vitajiunga tena kwa upamoja ili kuleta changamoto mpya kwa CCM?

Je, nani atamaliza mzizi wa fitina wa NEC na Je wapinzani wanaweza kushika dola bila katiba mpya?!
 
Hii CCM kuondoka ni rahisi sana,kinachoibeba imeji attach kwenye Serikali ndio maana ina survive.ila ukiweka mizani sawa hatuna chetu mzee!.
 
Mpaka kufikia sasa inaonesha kuwa selikali ya CCM sio rahisi kuondoka madarakani na je ni chama kipi cha upinzani kimejipanga kwa miaka hii mitatu iliyosalia kuiondoa CCM madarakani?!

Je vyama vya upunzani vitajiunga tena kwa upamoja ili kuleta changamoto mpya kwa CCM?

Je nani atamaliza mzizi wa fitina wa NEC na Je wapinzani wanaweza kushika dola bila katiba mpya?!
Kule zanzibar hakuna utani ACT iko imara sana labda yaje yale mambo yetu kutoka burundi
 
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI?

Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani vimeendelea kutoimarika na kupoteza mvuto kisiasa.

Mnamo mwaka 2005 hadi kufikia 2015 CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kwa miaka zaidi ya 10 kilionesha makali yake kwa kusimamisha wagombea imara na kukipa Chama Cha Mapinduzi kama chama tawala toka Tanganyika ipate uhuru wake na kuwa kuundwa kwa Tanzania upinzani wa kueleweka.

Haikuishia hapo bali CHADEMA ilisimama imara katika kuhakikisha inatoa changamoto kwa wabunge wa CCM ambao waliunda selikali tawala kwa asilimia kubwa bungeni. kwenye bunge kwa miaka hii asa kuanzia 2005 mpaka 2020 CHADEMA imetoa changamoto za kisela, kiutekelezaji na kulitaka bunge kubadili sheria asa zilizopitwa na wakati kama kazi kuu ya bunge chini ya ibara ya 64(5) ya katiba ya nchi sura ya 2 ya mwaka 1977.

Vita ya upinzani ilimarika na kupelekea kwa mwanasiasa mkongwe kwa siasa za Afrika ndgu. Zuberi Zitto Kabwe kuanzisha chama cha upinzani. Iki mpaka kufikia sasa makala hii inaruka hewani ACT WAZALENDO haijawa chama kikuu cha upinzani kulingana na vigezo mbalimbali ikiwemo coverage ya wananchi; Mda tokea chama kianzishwe pia viti walivyopata bungeni. Uanzishwaji wa chama iki pia ni kuona ni kwa namna gani sela na itikadi kupishana baina ya viongozi wa juu wa vyama mbalimbali uku wakiwa na lengo kuu la kuiondosha selikali ya CCM madarakani.

Mwaka 2015 vyama vya upinzani viliungana kuona kama wataweza kuiondoa selikali ya CCM madarakani wakimsimamisha mgombea mmoja kwa kupitia UKAWA ambaye alikuwa ni ndgu. EDWARD NGOYAI LOWASA.

Mpaka kufikia sasa inaonesha kuwa selikali ya CCM sio rahisi kuondoka madarakani na je ni chama kipi cha upinzani kimejipanga kwa miaka hii mitatu iliyosalia kuiondoa CCM madarakani?

Je, vyama vya upunzani vitajiunga tena kwa upamoja ili kuleta changamoto mpya kwa CCM?

Je, nani atamaliza mzizi wa fitina wa NEC na Je wapinzani wanaweza kushika dola bila katiba mpya?!
Wananchi wanaojitambua ndio hukiondoa chama madarakani, Tanzania bado sana tupotupo tu duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom